pamoja

Pamoja FM is a community radio station based in the slums of Kibera in Nairobi, Kenya. It was started in 2007. The slum is a lively, vibrant place and is characterised by a continuous buzz of activity. Operating from a small office at the top of a tall building overlooking Kibera, the station has close ties with the community that is actively involved in contributing to the broadcast content. Pamoja FM has received its primary funding from USAid and it focuses on community issues through debates and feature broadcasts, as well as airing a range of music shows and news.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    JamiiForums Tanzania SoC02 Sayansi na Teknolojia katika matokeo hasi katika vyombo vya usafiri na matumizi ya simu kwa vijana wa karne hii pamoja na lugha yetu

    SAYANSI NA TEKNOLOJIA KATIKA MATOKEO HASI KATIKA VYOMBO VYA USAFIRI NA MATUMIZI YA SIMU KWA VIJANA WA KARNE HII PAMOJA NA LUGHA YETU. Sayansi na teknojia imekuwa msaada mkubwa katika karne hii ya 21,kumekuwa na mavumbuzi mengi na ya kisasa,Sayansi na teknolojia imezalisha na kuwaibua wataalamu...
  2. JamiiForums Tanzania Pamoja na safari nyingi za JK lakini tulikula bata

    JK alisafiri kila leo, alijenga Shule nyingi za Kata, aliajiri Watumishi wengi kila mwaka, alipandisha Mishahara na pia alilipa hadi Watumishi hewa bila TOZO, kitaa Maisha yalikuwa mazuri dola 1 ilikuwa 1,600 tu.
  3. JamiiForums Tanzania SoC02 Mbingu kumi na nne

    MBINGU KUMI NA NNE Tanzania ni binti mrembo wa Kiafrika ambaye kwa bahati mbaya alifiwa na wazazi wake pamoja na mdogo wake wa kiume akiwa na umri wa miaka kumi na mitano tu.Ilichukua masaa kadhaa tu kumfanya binti huyu mrembo kuuitikia upweke uliobisha hodi ndani ya nafsi yake na kumfanya...
  4. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kufanya kazi kwa wazungu huwa kuna maslahi mazuri pamoja na kujaliwa utu au ni stori tu za vijiweni?

    Wengi (sio wote) Kunakuwaga na zile stori kwamba ukifanya kazi kwa mzungu umelamba dume, kuanzia maslahi yaani Mshahara na posho utapata kwa wakati tena kwa kiwango kizuri, utahehimiwa utu wako n.k. Ila sasa ukiwa mvivu, inachelewa kazini, kutoka toka muda wa kazi, kunaongea sana kuliko kazi...
  5. P

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tufanye hivi kwa pamoja kama Taifa

    Maendeleo ya nchi yetu yamekuwa ya polepole sana sababu kuu ni matumizi makubwa ya pesa kwa watu wachache yasiyo ya lazima,vnchi yetu inakadiriwa kuwa na watu 60M. Nni nchi inayokabiliwa na changamoto ya ukosefu wa ajira, umeme, maji, hospitali, elimu bora na vitu vingine vingi ambavyo...
  6. JamiiForums Tanzania Visa 406 pamoja na vifo 7 vya Monkey pox vyarekodiwa Afrika

    Mkurugenzi wa WHO kanda ya Afrika, Matshidiso Moeti, katika mkutano wa Mawaziri wa Afya wa Afrika, amesema visa hivyo vimerekodiwa katika Nchi 11 na kuongeza kuwa kuna haja ya kuongeza mwitikio wa utambuzi na matibabu ya wakati wa magonjwa Katika Mkutano huo unaofanyika nchini Togo, washiriki...
  7. W

    JamiiForums Tanzania SoC02 Uwezo unaoweza tishia ulimwengu ni pamoja na system hacking kuanzia mifumo ya si mpaka computer

    Je! Unajua unaweza kudukua Iphones? Unafahamu ndicho chanzo cha tajiri namb 1 duniani Jeff Bezos kuachwa na mkewe?unafahamu aliyefanya hilo tukio ni King Salman kiongozi wa Saudi Arabia? Kuna imani kwamba iphones zina strong security ni ngumu kuichezea, inawezekena! Swala la kudukua...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini umaskini na ujinga huenda pamoja?

    Wakati ambapo unawaza namna gani ujikwamue kutoka kwenye umaskini; kuna mwingine anawaza namna gani azidi kukukandamiza kutokana na umaskini wako! Hoja ya maskini mara nyingi huonekana kama ni malalamiko yasiyo na maana. Na hutafutiwa majibu ili kudhoofisha hoja hizo. Maskini (iwe ni mtu...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kwa pamoja tunaweza: Ratiba ya mechi za kususia za simba hii hapa,wacheze na majukwaa matupu

    Mmeona wenyewe jana hata baada ya poor display na officialy kugeuka kuwa wateja wa utopolo fc kwenye kupokea medali wengine walivyokuwa wanachekacheka kama NDALAKYUYA Hawana cha kupoteza hao wajinga, jana usiku wamegonga konyagi zao, wamelala na malaya zao huku wengine mnaingia nyumbani kwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kulamba Asali, Mbowe alaani utitiri wa magari, msafara wa Rais hauendani na kubana matumizi

    Adai ni matumizi mabaya ya pesa za umma. Mwigulu Nchemba auchuna. Mbowe ahoji utitiri wa magari msafara wa Rais ======= Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema utitiri wa magari katika msafara wa Rais Samia Suluhu Hassan hauendani na dhana ya serikali ya kubana matumizi. Amesema...
  11. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Unguja kuanza ujenzi wa barabara za juu (Flyover)

    Mradi wa ujenzi wa barabara za juu (Flyover) katika mkoa wa mjini magharibi kisiwani unguja, unatarajiwa kuanza hivi karibuni baada ya Serekali ya Mapinduzi Zanzibar kupitia katibu mkuu wa wizara ya ujenzi mawasiliano na uchukuzi wa Zanzibar Bi.Khadija Khamis Rajab kusaini mkataba na...
  12. JamiiForums Tanzania Watanzania wenzangu tushirikiane kwa pamoja, hawa watu wamevuka mipaka

    Bei za vifurushi vimepanda mno, ukijiunga zinaliwa fasta, najitahidi kujibana lakini wapii, hata kama kuwemo kwa tozo/kodi za serikali lakini sio sababu ya wao kutupandishia kiasi hicho, ni too much kwakweli, wamevuka mpaka. Mimi ni mpenzi na mfuatiliaji wa football, and many times naangalizia...
  13. JamiiForums Tanzania Pamoja na bei ya mafuta kupanda, watu wanaendelea kutumia magari na vyombo vingine vinavyotumia mafuta. Je ni kweli wako vizuri kipesa?

    Kwa maelezo ya waziri mkuu mstaafu mhe. Msuya akiwa kwenye kipindi cha dk 45 cha ITV, ni kama amemaanisha kwamba uwepo wa magari mengi mjini au barabarani ni kutokana na hali za maisha kutofanana. Ni kama vile wanaotumia vyombo hivyo hawaoni tofauti ya kupanda kwa bei. Na kwamba wana hali nzuri...
  14. 0

    JamiiForums Tanzania Fumbo la kuku

    Pamoja na udhalimu wote ambao kuku anafanyiwa na bidamau bado kuku hajawahi kuuwaza Uhuru wake..!! Sio kuku tu hata binadamu hajawahi kufikiria kumpatia kuku Uhuru wake ili akaishi mbali kwa amani pasi na hofu ya kisu chake..! Kwa hifadhi ya mabanda machakavu pamoja na shibe ya masalia ya...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kukosekana ufahamu wa pamoja wa kimsingi kwa Watanzania

    Habarini nyote! Ni staajabu ya pekee almost in everything thing ni vululuvululu kila kitu ushabiki ukichaa tu logic na reasoning sifuri, kukubaliana vitu obvious hamna kila kitu ukichaa tu, critical and analytical perspectives za issues hamna. Taifa hili linaenda wapi? Tugutuke na tusaidiane...
  16. JamiiForums Tanzania SoC02 Changamoto ni fursa; Uchafu ni fursa kwa kuzalisha umeme, gesi ya kupikia, vilainishi pamoja na mbolea yenye virutubisho

    Uchafu ni kitu chochote ambacho hakina matumizi kwenye mazingira; mfano chupa zilizoishiwa matumizi, karatasi, makapi ya mazao mbalimbali,majani ya matunda, mabaki ya vyakula na vinginevyo. Kwa hiyo kutokana na uchafu, mazingira yanakua sio safi na salama kwa viumbe hai ndani yake. Asilimia 37%...
  17. JamiiForums Tanzania SoC02 Pamoja na msistizo mkubwa katika masomo ya Sayansi na VETA, Wizara Ya Elimu msisahau Historia

    Na Malenja jr Ninapotaka kufanya jambo kubwa kwa nchi huwa nawasikiliza wanaopinga uamzi wangu, najibizana nao kwa hoja, nikiona hoja zao zina nguvu kuliko zangu naacha niliyokuwa nayo natekeleza hayo matakwa yao lakini nionapo hoja zao ni dhaifu katika kunikosoa huwa naendelea na yale...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Hii ndo sababu ya jina simba kutangulia, kila zinapotajwa pamoja simba & yanga

    Salaam wakuu, wengi hudhani ni mazoea tu, au pengine humaanisha simba ni kubwa kuliko yanga, jambo ambalo si sahih. ukweli ni kwamba, jambo hili limetokana na simba kuzaliwa na yanga, hivo kiprotokali jina la mtoto lazima lianze then la mzazi ndo hufuata, natumai walokua hawajui jambo hili...
  19. JamiiForums Tanzania Plot4Sale DODOMA nauza Kiwanja kwa matumizi ya Taasisi mbalimbali

    Kiwanja kipo eneo la Nzuguni centre kabisa kwa wasiokufahamu ni Karibu na stendi kuu ya mabasi ya mikoani na soko kuu la ndugai . Kiwanja ni kwa ajili ya matumizi ya taasisi za kidini, shule na matumizi mengine. Kiwanja kina hati kabisa na hakidaiwi ukubwa ni HECTARES 3.1 kama inavoonekana...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia, asema kuna mabadiliko makubwa zaidi yanafuata, ameanza na Jeshi la Polisi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Viongozi wateule wafuatao: 1. Inspekta Jenerali CAMILLUS MWONGOSO WAMBURA, kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) 2. Aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi (GP) SIMON NYAKORO SIRRO, kuwa Balozi Wa Tanzania Nchini Zimbabwe 3. Balozi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…