Nimekaa nikawaza sana ila sijapata jibu mpka sasa. Israel inatambulika kimataifa,kwanini Palestina haitambuliki kimataifa?
Mpaka sasa bado sijaona faida ya UN mpaka sasa,hakuna mgogoro UN imeweza kuuthibiti kama mlezi wa dunia, kwanini isitambue Palestina kama nchi huru, iwe na jeshi lake...