palestina

  1. Webabu

    JamiiForums Tanzania Ona jinsi Israel ilivyoichafua na kuibana mbavu Palestina

    Kwa wale wenye umri kama wa kwangu enzi hizo watakuwa na uzoefu wa majina ya miji ya kipalestina ambayo kwa sasa yote imezingirwa na makazi ya mayahudi wanaohamishwa kutoka mataifa mengine duniani kuja kuwabana wapalestina katika lengo la kuwamaliza. Hayo maeneo yenye bluu iliyokoza ndiyo...
  2. Webabu

    JamiiForums Tanzania Palestina wachukua uamuzi wa kiume, wakataa kilemba cha ukoka

    Waziri wa mambo ya nje wa Palestina Riyad al-Maliki amekataa kuchukua uenyekiti wa jumuiya ya nchi za kiarabu unaozunguka ikiwa ni kupinga kitendo cha baadhi ya nchi za kiarabu kurudisha uhusiano na Israel taifa linalokalia ardhi zao na kuwanyima haki za kuishi. Amesema kuna heshima gani kwa...
  3. kitonsa

    JamiiForums Tanzania Nyuma na hospitali ya Palestina, Sinza kuna nini? Wanajeshi wamezuia njia

    Leo nilikuwa kwenye kampeni fulani Sinza, pale nyuma ya hospitali ya Sinza Palestina, nikapita njia nyuma na hospitali nikakuta kuna kibao kimeandikwa "USIPITE HAPA" Kwa kuwa najua kusoma nikarudi nyuma, ila niliona kuna WANAJESHI Swali langu ile njia kwa nini imefungwa? NB: Nasikia ukipita...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli Palestina hawana Jeshi?

    Hellow, Wakuu naomba kujuzwa kuhusu habari hii tajwa hapo juu ama kama kuna threads ilishawai kuzungumzia Palestina pamoja army power yake tafadhali. Kuna mahala nilisikia kwamba Palestina hawana Jeshi zaidi ya Jeshi la Polisi pamoja na intelligence na kitengo cha kumlinda Rais. Wajuzi wa...
  5. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Palestina yasitisha mahusino yote baina yake na Israel na Marekani

    Rais wa Mamlaka ya Palestina Mahmoud Abbas amesitisha mahusiano yote na Marekani na Israel, yakiwemo yanayohusiana na usalama, baada ya kuupinga mpango wa amani ya Mashariki ya Kati uliopendekezwa na Rais wa Marekani Donald Trump. Abbas alikuwa mjini Cairo kuuhutubia mkutano wa dharura wa...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kwani hospitali ya Mlonganzila ipo wilaya gani pamoja na ile hospitali ya Palestina?

    Nauliza tu ili niwe na uhakika sehemu za kupata huduma za kiafya niwapo wilayani Ubungo. Nijuavyo Ubungo wana miundombinu mingi sana tena ya kisasa. Pale Mburahati kuna kituo cha kisasa kabisa cha polisi kadhalika panajengwa soko la kimataifa Stendi kuu ya mabasi ya mikoani n.k, n.k...
  7. Kaka Pekee

    JamiiForums Tanzania Onyo la kistaarabu dhidi ya uhusiano wa Tanzania na Israel

    Inabidi tuanze kujifikirisha tena kidogo kwa fikra yakinifu dhidi ya Faida na Hasara za Uhusiano wa kidplomasia na Mataifa yenye Migogoro ili tusije kuingia kwenye kaburi ya Halaiki lililochimbwa na Reputations za Migogoro hiyo kwa kuingia Kichwa kichwa. Leo Tunashuhudia Palestina wakitupa...
Back
Top Bottom