Mohammad Bagheri – Mkuu wa majeshi ya jamhuri ya Kiislamu ya Iran (Chief of Staff of the Armed Forces.)
Hossein Salami – Kiongozi mkuu wa Jeshi la walinzi wa mapinduzi ya kiislamu (commander of IRGC.)
Amir Ali Hajizadeh – Mkuu wa Kikosi cha Anga cha jeshi la walinzi wa mapinduzi ya...
Makamishna wa TRA
Wakurugenzi wa miradi ya wafadhili (donor-funded projects)
Wakuu wa vyuo vikuu vya umma
Maafisa wa ubalozi (diplomats)
Wakurugenzi wakuu wa manunuzi (chief procurement officers)
Wakuu wa idara ya uhamiaji, polisi, magereza
Wakurugenzi wa bodi za mikopo au elimu
wafanyakazi...
1. Mtu anaenasibisha uongozi wa Samia na uzanzibar au uislam.
Samia hatumii vifungu vya dini kufanya mambo yake, keanza mengi yapo kinyume na dini, pili wa Zanzibar nao pia ni wahanga wa CCM, ni makundi machache yanayonufaika na CCM ndio wanaoshangilia hapa wapo wanajamiiforums wengi
2...
Baada ya jana Makolo kufungwa na kutupwa nje ya kombe la shirikisho. Ifuatayo ni orodha ya wachezaji wa Timu za ligi kuu wasio na kiwango cha kuchezea ligi kuu.
1. Ally Salim (Simba)
2. Chamou Karabou (Simba)
3. Che Fondoh Malone (Simba)
4. Lionel Ateba (Simba)
5. Steve Mukwala (Simba)
6. Joshua...
Hawa ni wale wasanii ambao bado hawajaukubali ukweli na kila wakihojiwa wanasema wanaanda album au kuna kazi zao zinakuja mashabiki wasikilizie tu;
1. Q Chief
2. TID
3. Baraka da Prince
4. Young Killa
5. Mh. Temba
6. Chege
7. Rich Mavoko
8. Aslay
9. Maua Sama
10. AY
11. Fid Q
12. Joh Makini
13...
Kwema wakuu. Huu ni Uzi maalumu kwa ajili ya bar zenye wahudumu wazuri nchini Tanzania.
Weka la bar, mtaa ilipo, wilaya na mkoa.
Naanza Mimi : ONE POINT ipo Chanika wilaya ya Ilala jijini Dar Es Salaam.
1. Mke wa Mwalimu
2. Mke wa Mkapa
3. Wake wa Mwinyi
4. Mke wa Karume Sr
5. Mke wa Lowassa
6. Mke wa JPM
7. Wake wa Sokoine
8. Mke wa A. Jumbe
9. Mke wa I. Wakili
Watu wa kanda ya ziwa huwa nawakubali Sana jinsi wanavyo ongea. They are so funny.
Check video ya huyu popoma kutoka kanda ya ziwa inavyo trend.
Tunasubiri interview kama Abass Chionda.
Baadhi ya majina hayo ni kama
1. Sokratis Papastathopoulos
(Greece)
2. Jakub Błaszczykowski:
(Poland)
3. Grzegorz Krychowiak:
(Poland)
4. Wojciech Szczęsny:
(Poland)
5. Yevhen Olehovych Konoplyanka:
(Ukraine)
6. Jakub Wawrzyniak:
(Poland)
7. Panagiotis Tachtsidis:
(Greece)
8. Hakan Çalhanoglu...
Top 10 African countries with the weakest currencies in Africa 2025
1)-São Tomé and Príncipe 🇸🇹 22,281.8 Dobra
2)-Sierra Leone 🇸🇱20,969.5 Sierra Leonean Leone
3)-Guinea 🇬🇳 8,626.3 Guinea Franc
4)-Uganda 🇺🇬 3,673.6 Ugandan Shilling
5)-Burundi 🇧🇮 2,954.3 Burundian
Franc
6)-Democratic...
Smart phone revolution imekuja na changamoto zake , hasa kwa wale wasioweza kujidhibiti na kujikuta wakipost ama maudhui yasiyo na maadili au maudhui yasiyo natija kwa jamii. Orodha hii itakuwa refu kulingana na utafiti wangu siku za usoni.
1. Malkia wa nyuki
2. Cynacute
3. Hello tanzania
4...
1. Mafuta ya kula :
Kaa ndani na mafuta yako Lita tatu. Kila siku usiku saa tano yachemshe hadi yatokote kisha hifadhi kwenye chupa ya chai. Ukiwa na chupa zaidi ya moja itakuwa vizuri zaidi.
Usiku wakivunja wewe wamwagie na hayo mafuta ya moto usoni. Wanaweza kufa hapo hapo wote na watakao...
Katika orodha hii tunatarajia kuorodhesha wachezaji nguli katika ukanda huu wa CECAFA. [Kenya , Uganda , Tanzania, Rwanda na Burundi] Orodha hii itazingatia mafanikio ya mchezaji katika soka, ukubwa wa ligI. Alizocheza, Timu ya taifa , miongoni mwa maswala mengine ya soka
1. MacDonald Mariga...
Filamu ya katuni (uhuishaji) ya Kichina "Nezha 2", ambayo ni muendelezo wa "Nezha 1: Kuzaliwa kwa Mtoto wa Shetani" hivi karibuni imefuatiliwa sana kote duniani. Baada ya kuingia kwenye nafasi ya tano katika mapato ya filamu zilizoonyeshwa kanda ya Kaskazini ya bara la Amerika na ya tatu huko...