operesheni haki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    Operesheni Haki yaiharibu CCM nchi nzima, wachambuzi wa siasa waifananisha na Operesheni Sangara ya 2012

    Taarifa ya sasa duniani na hasa baada ya ccm kurudia makosa yale yale ya miaka yote , ya kukubali kushindwa hoja na kuamua kulitumia Jeshi la polisi kudhibiti Chadema badala ya viongozi wake wa chama akiwemo Shaka Hamdu ambaye ni Katibu wa uenezi na itikadi , zinadokeza kwamba hii Operesheni...
  2. Erythrocyte

    Operesheni Haki: Kampeni za kimataifa kuwafikia Diaspora. Mbowe, Lissu, Mnyika kuhutubia

    Baada ya kukamilisha Operesheni Haki kwenye kanda 10 za Tanzania kwa mafanikio makubwa, sasa ni zamu ya Kimataifa, Tundu Lissu, John Mnyika pamoja na mwamba mwenyewe Freeman Mbowe kuunguruma kidigitali. Wote Mnakaribishwa.
  3. Idugunde

    Baada ya kuleta chokochoko za vurugu CHADEMA yapuuzwa Tanzania nzima. Operesheni Haki waliyofanya yaonekana ni batili

    Huu ndio ukweli wa mambo. Kama kuna chama kina gundu basi ni Chadema maana kila wanalogusa kwao linabuma. Kwa mkwara mzito walikuja na operation digital haki. Lakini ghafla bin vuu wakakengeuka na kudai kwa udi na uvumba wapo radhi kudai haki zao hata kwa kutumia majambia. Tafiti za kisayansi...
  4. Erythrocyte

    Operesheni Haki: Freeman Mbowe awasili Chakechake, Mkoa wa Kusini Pemba

    Kama tulivyoahidi kuwavurumishia taarifa zote za operesheni haki inayoendelea kote nchini Tanzania, leo tena tunaendelea kuwaletea yanayojiri huko Pemba, ambako tayari Mwamba Mbowe ameishawasili huko Chakechake, Mkoa wa Kusini Pemba , na Kupachikwa jina jipya la USTAADHI ABUBAKAR MBOWE. Mh...
  5. Erythrocyte

    Operesheni haki yaingia Pemba

    Kwa mujibu wa Taarifa za dunia, ulioitwa Uchaguzi Mkuu wa 2020, Pemba ndio eneo lililoongoza kwa mauaji ya raia, wakiwemo watoto na vikongwe. Wote waliounga mkono Maalim Seif na upinzani walishughulikiwa ipasavyo, zipo tetesi kwamba kulikuwa na majeshi ya kukodi kutoka nchi za kigeni ili...
  6. Erythrocyte

    Operesheni Haki yaingia Mlandizi , Freeman Mbowe aongoza Vikao vya Majadiliano

    Kama tulivyosema tangu awali ni kwamba Ile Kampeni ya kuamsha ari ya wananchi kudai Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi imeingia Kanda ya Pwani . Leo imepigwa Mkoa wa Pwani , Mlandizi , ambako Mwamba mwenyewe ameongoza vikao vya Mashauriano .
  7. Erythrocyte

    Awamu ya pili ya Operesheni Haki kutikisa tena, itaanzia Kanda ya Pwani

    Ile kampeni ya kuhamasisha upatikanaji wa Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi iliyotikisa Nchini Tanzania ya OPERESHENI HAKI , itaendelea tena baada ya kusimama kwa muda kwenye Kanda ya Pwani na baadaye Zanzibar na Pemba , Taarifa hii imetolewa na Katibu Mkuu wa CHADEMA Mh John Mnyika...
  8. Erythrocyte

    Operesheni Haki: Freeman Mbowe atinga Jimbo la Mtama

    Baada ya kushuhudia mapokezi ya Mwamba Freeman Mbowe kwenye kampeni ya Operesheni Haki jimbo la Mtama, nimeona nichukue muda kiasi kumpongeza Nape Nnauye kwa kuhakikisha anapitishwa bila kupingwa kwenye uchaguzi wa 2020, alitumia akili sana ! Hali yake ni mbaya mno. Hebu jionee mwenyewe.
  9. Erythrocyte

    Operesheni Haki yatinga Ruangwa, Umati wajitokeza kumpokea Freeman Mbowe

    Hilo ndilo jimbo ambalo anatokea Waziri Mkuu wa Tanzania Mh Kasimu Majaliwa , kwenye kilichoitwa uchaguzi Mkuu wa 2020 Mh huyu alipita bila kupingwa, baada ya wagombea wa upinzani kuzuiwa kuchukua ama kurejesha fomu , huku wengine wakitekwa na kuokotwa Mkuranga wakiwa hoi. Video hii ya Mapokezi...
  10. Erythrocyte

    Operesheni Haki, Lindi: Wananchi Nachingwea wasimamisha msafara wa Freeman Mbowe, waomba neno la matumaini

    Mwamba Mbowe pamoja na Umwamba wake leo amegonga mwamba huko Nachingwea baada ya wananchi kulala barabarani wakilazimisha awasalimie. Ikumbukwe kwamba Mwamba Mbowe au Mtemi Isike yuko Kanda ya Kusini kwenye kampeni ya Operesheni Haki yenye lengo la kuhamasisha upatikanaji wa Katiba mpya na Tume...
  11. Erythrocyte

    Operesheni Haki, Songea: Benson Kigaila ongoza semina, majadiliano na vikao vya ndani

    Mkakati kabambe wa kuchagiza Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi, ukiambatana na mdogo wake aitwaye Chadema Digital ambao uko Kanda ya Kusini, leo umetikisa Mkoa wa Ruvuma kwa kuvunja rekodi ya Mahudhurio. Naibu Katibu Mkuu Mh Benson Kigaila aliongoza semina, majadiliano na vikao vya ndani.
  12. Erythrocyte

    Freeman Mbowe aingia Kanda ya Kusini, ni katika Mkakati unaondelea wa Operesheni Haki

    Mwenyekiti wa Chadema Mwamba Freeman Mbowe anaendelea na kampeni ya kuhamasisha upatikanaji wa Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi , kampeni hiyo imebatizwa jina la Operesheni Haki . Anatarajiwa kuongoza vikao kadhaa vya Mashauriano ndani ya Kanda hiyo. Pichani Mwamba Mwenyewe akisaini...
  13. Erythrocyte

    Operesheni Haki yaingia Iringa, Maandalizi ya kumpokea Mbowe yakamilika

    Kwa vile tuliahidi kuwaletea kila kitakachojili kwenye ule mpango mpya wa Chadema unaoitwa Operesheni Haki , na kwa vile bado mpaka sasa Ahadi inatajwa kuwa deni nchini Tanzania, basi hatuna budi kuwaletea kinachojili huko Iringa ambapo maandalizi yote ya kumpokea Mwamba Freeman Mbowe na timu...
  14. Erythrocyte

    Operesheni Haki yaingia Kanda ya Nyasa, kuanzia Mbeya Mjini

    Ule mkakati kabambe wa kudai Katiba Mpya na Tume huru ya uchaguzi, ukiambatana na usimikwaji wa Chadema Digital nchi nzima sasa umeingia Kanda nzito ya Nyasa, kwa kuanzia Mkoa wa Mbeya. Ikumbukwe kwamba Mbeya ndio Mkoa ambao Chalamila alitokea kabla ya kupigwa laana na Wazee wa Kyela baada ya...
  15. Erythrocyte

    Freeman Mbowe atua Mkoani Morogoro, ni katika Mkakati wa Operesheni Haki

    Operesheni Haki ambayo imeingia Kanda ya Kati, kwa kuanzia na Mkoa wa Dodoma, sasa leo ni zamu ya Morogoro ambapo Mwamba Mwenyewe Freeman Mbowe atahutubia baraza la Mashauriano la Mkoa huo. Kwa taarifa tu ni kwamba Tayari moto wa operesheni haki na Chadema digital ushaingia mitaani ambapo...
  16. Erythrocyte

    Freeman Mbowe atinga Kanda ya Kati kuendelea na Operesheni Haki

    Operesheni haki ambayo ndio mpango mpya wa Chadema kwa sasa, wenye lengo la KIZALENDO la Kuhamasisha upatikanaji wa Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi imeingia Kanda ya Kati. Freeman Mbowe na kikosi chake wanatarajiwa kuongoza kikao cha Kimkakati cha Kanda hiyo. Ikumbukwe kwamba Mwenyekiti...
  17. Erythrocyte

    Freeman Mbowe na Timu yake waingia Kanda ya Magharibi, ni katika muendelezo wa Operesheni Haki

    Wakuu msituchoke, tuliahidi kuwafikishia kila kitu kitakachojiri kwenye ziara za Mkakati mpya wa CHADEMA inayoitwa OPERESHENI HAKI, hii ni kampeni ya kuchagiza upatikanaji wa Katiba Mpya na Tume huru ya Uchaguzi . Baada ya kupita kwenye kanda kadhaa sasa imeingia kwenye Kanda ya Magharibi...
  18. Erythrocyte

    Operesheni Haki yaingia Kanda ya Ziwa Victoria: Freeman Mbowe atua Mwanza

    Amepokelewa na Bavicha Mkoa Wa Mwanza , ambapo taarifa zinaonyesha kwamba Mkakati wa Operesheni Haki utakuwa Kanda hiyo kwa muda wa siku 3 , Kuanzia Juni mosi mpaka Juni tatu . Mungu ibariki Chadema .
  19. Erythrocyte

    Mapokezi ya Freeman Mbowe yatikisa Musoma Mjini

    Tuliahidi hapa kwamba tutawaletea kila kinachojili kwenye Mkakati mpya wa CHADEMA wa OPERESHENI HAKI Unaoendelea nchini kwa kishindo, na kwa vile Ahadi ni deni basi hatuna budi kuitimiza. Katika mwendelezo huo huo tunawaletea ziara ya Mwamba Mbowe (ambaye pia ni kiongozi wa kimila wa wamasai )...
Back
Top Bottom