ombi

Kom Ombo (Arabic: كوم أمبو‎, Coptic: Ⲉⲙⲃⲱ Embo, Ancient Greek: Ὄμβοι Omboi, Ptol. iv. 5. § 73; Steph. B. s. v.; It. Anton. p. 165) or Ombos (Juv. xv. 35) or Latin: Ambo (Not. Imp. sect. 20) and Ombi – is an agricultural town in Egypt famous for the Temple of Kom Ombo. It was originally an Egyptian city called Nubt, meaning City of Gold (not to be confused with the city north of Naqada that was also called Nubt/Ombos). Nubt is also known as Nubet or Nubyt (Nbyt). It became a Greek settlement during the Greco-Roman Period. The town's location on the Nile, 50 kilometres (31 mi) north of Aswan (Syene), gave it some control over trade routes from Nubia to the Nile Valley, but its main rise to prominence came with the erection of the Temple of Kom Ombo in the 2nd century BC.

View More On Wikipedia.org
  1. Kenya2022 Ombi la Zuio la Ruto kuapishwa akishinda Urais lafikishwa Mahakama kuu

    Raia 11 wamesema uapisho wa William Ruto na Rigathi Gachagua utakua ni ukiukwaji wa Katiba ya Nchi yao hivyo kuwasilisha ombi katika Mahakama ya Juu nchini humo kuzuia kuapishwa kwao iwapo watachaguliwa katika Uchaguzi wa leo Wamefafanua kuwa Kwa kuzingatia masharti ya Sura ya Sita ya Katiba...
  2. Yah: Ombi la tenda ya Kubandua nembo kwenye jezi za Simba

    Kwanza nawapa pole watani kwa chupli chupli nyingi klabuni kwenu. Kwakuwa changamoto ni fursa, naomba ule mzigo wa jezi zenu muulete kwangu niwasaidie kubandua nembo za mdhamini wenu wa awali ili tuweke nembo ya mdhamini wa B26 zenye utata. Mods msifute Uzi huu mpaka mtani wangu Barbra ausome...
  3. J

    Rais Samia akataa ombi la kuipandisha hadhi Mbalizi kuwa Halmashauri ya mji

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Serikali anayoiongoza haina mpango wa kukata maeneo kwa kuyapandisha hadhi, badala yake wanajielekeza kwenye utatuzi wa shida za wananchi hapa nchini. Rais Samia ametoa msimamo huo leo Ijumaa Agosti 5, 2022 akiwa Mbalizi mkoani Mbeya baada ya...
  4. M

    Mamlaka za Uteuzi zieleze sababu zinapowatumbua wateule

    Tunawaombeni jitahidini sana pale mkiwa Mnawatumbua Wateule Wenu basi muwe pia mnatueleza na sababu Kuu za Kutumbuliwa Kwao kwani hii itasaidia mno katika dhana nzuri ya Transparency and Accountability na hata kuwa ni Funzo kwa wale Wateuliwa wapya.
  5. P

    Senzo aomba kutokuongezewa mkataba wake na Yanga, Akubaliwa ombi lake

    Afisa Mtendaji Mkuu wa Yanga, Bw Senzo Mazingiza ameomba kutokuongezewa mkataba wake na Yanga kwa sababu za kifamilia Kutokana na ombi hilo kamati ya utendaji ya Yanga ilikutana leo katika Hotel ya Serena na kukubali ombi hilo la Bw Senzo Mkataba wa Senzo na Yanga unamalizika tarehe 31/07/2022...
  6. T

    Ombi: Rais Samia, mteue Dkt. Bashiru Kakurwa kuwa Waziri wa TAMISEMI au Nishati

    Kwako mkuu wa nchi yetu Mhe.Samia Suluhu Hassan kijana wako nina ombi mahususi si kwa ajili yangu ila kwa maslahi mapana ya taifa letu, kwa heshima na taadhima naomba nichukue muda wako kulifikisha mbele yako. Ombi langu ni moja tu nalo ni kumteua Dkt.Bashiru kuwa waziri wako wa TAMISEMI au...
  7. N

    Ombi langu Simba day: Wazomeeni magarasa wakitambulishwa

    Siyo mimi tu washabiki wengi wa Simba wamestushwa na baadhi ya sura walizoziona leo kwenye msafara wa kwenda Egypt Kwa kuwa wenye maamuzi wameamua team iendelee na hekaheka za kutegemea wakimbiaji toka pembeni na siyo M CF wenye akili timamu basi nawaomba wapenzi wa simba mtakaojitokeza tarehe...
  8. R

    Ombi langu kwa CCM ni waonee huruma Wananchi kwa kuchagua viongozi waadilifu

    Habari wana JF, Binafsi sijawahi kuwa Mwanachama wa CCM na ni ukweli usipingika kwa Hiki Chama kutoka madarakani itakuwa Ngumu sana sana kuliko tunavyofikiri Sasa hivi kwa hali ilivyo sio rafiki sana kama ilivyo kwa tawala zilizopita za CCM pesa zetu zinapotea sana na raslimali zetu zinapotea...
  9. F

    Serikali itolee ufafanuzi iliposema elimu bila ada kwa kidato cha tano, Mbona bado walimu hawajapelekewa fedha wala barua kuhusu jambo hili?

    Hivi majuzi wakati waziri wa fedha akiwasilisha bajeti kuu ya serikali bungeni alisema elimu ya kidato Cha tano na sita nayo itakuwa bila ada. Jambo hili ni jema na la kupongezwa lakini kuna kitu hakipo sawa. Wakati serikali ikitangaza hili jambo wanafunzi wanaokwenda kuanza form five mwaka huu...
  10. M

    Ombi: Usambazaji wa Picha za Rais Samia Mitandaoni akiwa Marekani ziendane na 'Direct Economic Impact' Mifukoni mwa Watanzania

    Naanza kuona taratibu Nguvu Kubwa inatumika kumuonyesha Mheshimiwa Rais Samia akikubalika zaidi na Wazungu (hasa hasa hawa Wamarekani) na kwamba aliyekuwa Boss wake hakuliweza au hakulifanikisha hilo ila kwa bahati mbaya mno Nguvu hiyo hiyo haitumiki Kuwafafanulia Watanzania ni jinsi gani Ziara...
  11. R

    Ombi kwa makampuni ya Simu, Tigo, Vodacom, Airtell, Halotel etc: Kama mnaweza tutengenezee VIBUBU vya kwenye simu/Mtandao

    My point is this: Tumezoea kuweka hela kwenye VIBUBU vya mbao ambavyo ikifika muda uliojipangia unakibomoa. SASA, ni imani yangu kuwa you can design a programme ambayo mtu anaweza akawa anaweka pesa zake (kama tunavyoweka kwenye M-pesa, Tigo pesa etc) na kuzitoa muda aliopanga ambapo kabla ya...
  12. K

    Rais Samia, kataa ombi la Jenerali Venance Mabeyo kustaafu

    Nimeangalia video ambayo Mkuu wa majesho yetu, Jenerali Venance Mabeyo akiongoza harambee ya kuchangia fedha kwa ujenzi wa moja ya parokia ya Kanisa Kaoliki, nadhani ni ya Kawe kama sijakosea. Katika misa na hafla ile Generali Mabeyo aliwaongoza vizuri sana wanajeshi wenzake wakachangia fedha...
  13. Natafuta kitabu kinachoitwa "Why has Nobody Told me this Before"

    Habarini wanajukwaa, nina imani kila mtu ni buheri wa afya. Ninaomba kama kuna mtu anaeweza kuwa na pdf file ya kitabu cha "WHY HAS NOBODY TOLD ME THIS BEFORE - Dr. Julie Smith" anisaidie. Hata kama ni link ya kuweza kukidownload pia ni sawa. Natanguliza shukrani. Mbarikiwe sana.
  14. F

    Ombi: Rais Samia ikikupendeza futa Waraka Na 1 wa mwaka 2015 kutoka kwa Mkuu wa Utumishi wa Umma

    Mhe. Rais Mama Samia Suluhu Hassan ninaombi kwako ikikupendeza na kuona inafaa ulifanyie kazi. Ninaomba uufute waraka Na 1 wa mwaka 2015 kutoka kwa mkuu wa utumishi wa umma. Waraka huu umetoa taratibu kadhaa kwa watumishi wa umma ili waweze Kugombea nafasi za kisiasa. Nina sababu za kukuomba...
  15. Ombi la Ukraine 🇺🇦 kujiunga na Umoja wa Ulaya lakubaliwa

    Bunge la Ulaya limepitisha ombi la Ukraine la kujiunga na jumuiya hiyo kwa kura 637 za 'ndiyo' 13 za 'hapana' huku wajumbe 26 wakiamua kutopiga kura. Siku ya Jumanne, nchi nane wanachama wa EU zilitaka yafanyike majadiliano ya haraka kuhusu uwanachama wa Ukraine katika umoja huo. Jumapili...
  16. Ombi: kesi ya mheshimiwa Mbowe itengenezewe kitabu

    Niungane na wenzangu kuwapongeza wale wote walikuwa wanaleta live updates za kesi hii Naomba sana ikiwezekana waunganishe sehemu moja kutoka pale na kutengeneza kitabu ambacho bila shaka kinaweza kusomwa vizazi na vizazi kwa wale waliofuatilia kesi hii wataungana na Mimi kuwa hata namna ya...
  17. Ombi maalumu kwa wake za watu,mnatuangamiza

    Hapa hatujadili mapenzi,tunalalamikia mauaji yanayoendelea kuhusiana na wivu wa kimapenzi. Vifo vingi vinavyoendelea kuripotiwa vimehusishwa na wivu wa kimapenzi. Wanandoa wanauana na kudhuliana. Wavamizi wa ndoa wanauana na kudhuliana. Taifa linazidi kupoteza nguvu kazi na jamii zinapoteza...
  18. Ombi kwa Rais Samia: Mrudishe Kalemani Wizara ya Nishati

    Ni ombe kwamba Rais Samia amurudishe Medard Kalemani pale Wizara ya Nishati atakusaidia. Mpeleke January sehemu nyingine akafanye kazi zake huko. Mfano; Unaweza ukampeleka Mazingira na Muungano ama Viwanda. Huku Nishati anakuharibia sana, nadhani ni uwezo wake mdogo kumudu mambo magumu...
  19. DOKEZO Responded Ombi kwa Rais Samia: Chuo cha Diplomasia kipewe Jina la Dr. Salim A. Salim ikipendeza

    Nimejaribu kukumbuka kwa haraka haraka kuna kitu gani kinataja jina la Dr. Salim kwa kumbukumbu ya utumishi wake kwa taifa letu. Sijui kuna barabara au daraja gani limepewa jina lake. Ikumbukwe kwenye utumishi wa kimataifa hakuna mtu aliyeitangaza na kuacha alama kimataifa kama Dr. Salim A...
  20. Mkuu wa Mkoa wa Mara apewa amri na mwananchi akitaka choo kianze kazi mara moja 😂

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…