ombi

Kom Ombo (Arabic: كوم أمبو‎, Coptic: Ⲉⲙⲃⲱ Embo, Ancient Greek: Ὄμβοι Omboi, Ptol. iv. 5. § 73; Steph. B. s. v.; It. Anton. p. 165) or Ombos (Juv. xv. 35) or Latin: Ambo (Not. Imp. sect. 20) and Ombi – is an agricultural town in Egypt famous for the Temple of Kom Ombo. It was originally an Egyptian city called Nubt, meaning City of Gold (not to be confused with the city north of Naqada that was also called Nubt/Ombos). Nubt is also known as Nubet or Nubyt (Nbyt). It became a Greek settlement during the Greco-Roman Period. The town's location on the Nile, 50 kilometres (31 mi) north of Aswan (Syene), gave it some control over trade routes from Nubia to the Nile Valley, but its main rise to prominence came with the erection of the Temple of Kom Ombo in the 2nd century BC.

View More On Wikipedia.org
  1. Ombi kwa Ali Kamwe

    Sisi wakazi wa bunju tunaomba utuwekee bango letu la matokeo ya mechi yetu kati ya Belouzdad na Yanga pale mlipoweka bango la mwanzo. Pia msiwasahau na wale watu wa manzese pamoja na marudio ya mechi ya leo. Asante sana
  2. Paul Makonda amtaka mwandishi kumuuliza mama yake baada ya kumhoji tuhuma za kumshambulia Lissu

    Makonda amehojiwa na mwandishi wa habari kwamba Lissu amesema ulihusika na shambulia lake Dodoma Jibu amepewa kamhoji MAMA YAKO Bashite ameshindwa hata kukana kwamba hakufanya lile tukio, ni wazi jibu la kwanza ilikuwa ni kukataa kuhusika Damu ya mtu ni nzito bana.
  3. M

    Kwa heshima ya nchi naona Al Ahly imekubali OMBI

    Tanzania kukubali kuwa mwenyeji katika ufunguzi wa mashindano haya ya Caf ni heshima kubwa sana. Hivyo haiwezekani uongozi wa Caf ukubali Simba ifungwe game hii ya ufunguzi. Hivyo itakuwa tayari mkakati wa kuiomba Al Ahly umeshafanyika kukubali kuachia . Simba leo tule raha zetu mwanzo...
  4. Tanzania Kuwasilisha Ombi CAF Matangazo ya Kiswahili

    TANZANIA KUWASILISHA OMBI CAF MATANGAZO YA KISWAHILI Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amesema Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) inatarajia kuwasilisha ombi la kurusha matangazo ya mechi zitakazochezwa katika...
  5. Ombi kwa Serikali: Madalali wote Dar es Salaam watambuliwe na wasajiliwe

    Kutokana na tatizo la ajira kuwa kubwa tunashuhudia vijana wengi kujiingiza katika shughuli mbalimbali wengi wapo kwenye bodaboda na kundi kubwa pia limejiingiza kwenye udalali wa aina mbalimbali. Kwa jinsi bodaboda wanavyotambuliwa kwa vyombo vyao tunaiomba serekali yetu iwatambue madalali...
  6. Kuongezeka Ph.D za Heshima: Kuna haja TCU watoe ufafanuzi wa matumizi ya title ya Dr. kwa Ph.D za heshima na Ph.D za ukweli?

    Wanabodi, Kiukweli kabisa mfumo dume bado ni tatizo kubwa kwa baadhi ya Watanzania wenzetu na haswa wa Kanda yetu fulani!. Japo Rais Nyerere, Mwinyi na Mkapa, walitunukiwa PhD za heshima za honoris causa lakini hawakuitwa kwa title za Dr. Lakini Rais Jakaya Kikwete baada ya kutunukiwa aliitwa...
  7. Ombi langu kwa viongozi wa waamini wa dini zote!

    Naomba kutumia jukwaa hili kuwaomba viongozi wa dini zote kuacha kabisa kulumbana kwasababu za mambo ya kisiasa. Badala yake viongozi hawa waungane kwa pamoja na kutoa tamko la kuliombea TAIFA. Yawepo maombi ya siku kadhaa ya kuliombea taifa. Tunakoelekea sio kuzuri, hali ya uchumi inazidi...
  8. Ombi la Kazi

    Heshima zenu wakuu! Kama kichwa Cha Uzi kinavyojieleza. Mimi ni Kijana wa miaka 23 Nina shahada ya kwanza (Bachelors degree) ya usimamizi ya Manunuzi na Ugavi niliyohitimu mwaka 2022.Tokea nimehitimu sijabahatika Bado kupata kazi,hivyo basi ninaandika Uzi huu kuomba kama Kuna mtu yeyote humu...
  9. Baada ya IGA ya DPW na Bandari zetu, licha ya mapungufu, HGA yake inakuja. Ombi kwa Serikali yetu sikivu, tunaomba Maximum Transparency kwenye HGA

    Wanabodi, Kama kawaida yangu ya kuwaletea trends mbalimbali, leo naomba niwaletee hii trends za kinachoendelea kwenye hii issue. Baada ya IGA ya DPW na Bandari Zetu, HGA yake iko njiani inakuja! Naomba kukiri nimekuwa inspired kupandisha bandiko hili kwa bandiko la mwana JF huyu. Wananchi...
  10. Ombi kwa Serikali: Iruhusu huduma ya kujitoa uhai (euthanasia)

    Ombi langu kwa serikali ya JMT: Mimi kama mwananchi wa taifa hili la Tanzania nina ombi kwa serikali yangu ya JMT kuruhusu huduma maalumu ya kujitoa uhai (Euthanasia) kwa magonjwa maalumu tu. Hii huduma nilikuwa napendekeza iwe inapatikana kwa wagonjwa maalumu wenye magonjwa maalumu yasiyo na...
  11. S

    Ombi la wazi kwa Mheshimiwa Tundu Lisu

    Ni mfuatiliaji na mshabiki halisi wa Mheshimiwa Tundu Lisu, na namuhesabu kati ya wasomi waliosheheni elimu ya sheria. Ninachohitajia kwake ni kutumia hekima na busara amuombe radhi na msamaha Raisi Samia. Photos speaks thousands word.
  12. Ombi kwa vijana ambao wapo katika ndoa, watoto ndio ndugu zako

    Habari JF: Natumaini ni wazima wa afya na mchaka mchaka unaendelea wa kutafuta maisha na amani ya moyo, msisahau pia na kujipenda wenyewe. Nilikuwa na mawazo au ushauri kidogo kutokana na changamoto nilizozipitia mimi na zengine tunaziona kwa ndugu zetu au familia zilizotuzunguka. Maana vitu...
  13. Hili ndio ombi maalumu la Mussa kwa binadamu kuondolea adhabu ya moto wa Jahannam

    Naam, Siku moja Nabii Mussa (a.s) alimueleza MUNGU yakwamba; Ewe Mwenyezi MUNGU nina maombi nataka nikuombe. Mungu akamjibu, omba ombi lako lolote Mussa, mimi nitakujibu. Mussa akamueleza Mwenyezi Mungu Ewe mwenyezi Mungu, ninakuomba hizi habari za kuwachoma watu kwenye moto siku ya mwisho...
  14. Ombi la mtoto kwa baba yake mzazi (SHAIRI)

    watoto (wanafunzi) wanaendelea na story zao za hapa na pale huku wanasimuliana jinsi siku ilivyokuwa nzuri shuleni. watoto hao wanaagana na kila mmoja anaenda nyumbani kwake, Huyu mmoja anakaribia kwake na anamkuta baba ake akiwa ana furaha sana. baba anamuita mtoto wake na kumuambia jinsi...
  15. Ombi la kusitisha mashambulizi kwa muda wa masaa 72 juu ya sakata la Tanganyika kuuzwa kwa DP World

    Imefika wakati najiuliza, hivi angekuwa ndio Mama yangu anapigwa spana namna hii non- stop ningejisikiaje? Nimejikuta namuonea huruma tu huyu mama, maana anaweza kuwa mama yangu mzazi kabisa. Imefika wakati najiuliza, is she being ‘black mailed’?, kwamba she has no choice? Au amekuwa...
  16. M

    Ombi kwako Eng. Hersi Said: Wana yanga tunaomba msimu ujao timu akabidhiwe Charles Boniface Mkwasa (Master)

    Nikiwa kama mwanachama na mwandamizi wa tawi la Yanga, Magufuli Terminal napenda kumfikishia Rais Eng.Hersi Said maazimio tuliyoafikiana wanachama wa tawi la Yanga, Magufuli Terminal kuwa tunahitaji kukuona Master Charles Boniface Mkwasa akiiongoza timu yetu katika kampeni ya kuutetea ubingwa wa...
  17. N

    OMBI: Tamisemi iweke wazi majina ya vyeti ambayo vimeonekana kuwa vilishatumika katika ajira za serikali, yaani vinatumiwa na mtu zaid ya mmoja!

    Jana wazir kairuki alisema kua, katika mchakato wa maombi ya ajira kuna watu waliwasilisha vyeti ambavyo vilibainika kuwa vimeshatumiwa na watu wengine, wapo kwenye ajira hivyo maombi yao yalifutwa automatic Namuomba waziri kairuki aweke bayana vyeti hivyo ambavyo vimetumika zaidi ya mara moja...
  18. Ombi la Rais kuhusu Fei Toto kwa Yanga ni agizo lakini lisivunje kanuni za FIFA

    Mpira ni taasisi yenye lugha yake, taratibu zake na sheria zake. Mpira ndio taasisi inayoruhusu mtu kuuzwa kwa mkataba fulani wa muda fulani kwa kiasi fulani. Hii inafanyika kwakuwa: 1. kila timu inataka wachezaji wazuri kuliko timu pinzani. 2. Wachezaji wazuri sio wengi sana kwenye jamii...
  19. Waajiri wafanye ukaguzi kupitia CV za waajiriwa ili kupata watu wenye sifa za kuhudumia wananchi

    Sisi kama Wananchi tumekuwa tukikumbana na changamoto mbalimbali kama vile kutokusikilizwa na wahudumu, kutokuhudumiwa kwa wakati, kudhalilishwa na mengineyo mengi. Imefikia mahali mama mjanzito anajifungua salama lakini baadhi ya wauguzi wanaua watoto na kung'ofoa viungo vyao vya mwili bila...
  20. Ombi kwa Nasreddine Nabi kuelekea Mechi ya Marumo

    Kesho naomba Kocha Mkuu wa Yanga aanze na kikosi hiki ili tuweze kuzuia na kupata ushindi; 1. Diara 2. Djuma Shabani 3. Kibwana Shomari 4. Bacca 5. Mwamnyeto 6. Sureboy 7. Mzize 8. Aucho 9. Mayele 10. Mudathir 11. Farid Musa Substitute; 1. Metacha mnata 2. Dickson Job 3. Lomalisa Mutambala 4...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…