oktoba 29

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Tume ya Uchunguzi Oktoba 29: Ripoti Huru

    AMEONYESHA UWEZO WA KUTOA HAKI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU Kutoka uongozi wake kama Jaji Mkuu wa Tanzania hadi majukumu ya Umoja wa Mataifa, Jaji Chande ameonyesha uwezo wa kutoa haki katika mazingira magumu. Tume ya Uchunguzi ya matukio ya 29 Oktoba chini yake itatoa ripoti yenye mamlaka na...
  2. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Jaji Chande na Ukweli wa Oktoba 29

    Jaji Chande ni nguli kweli kweli kwenye mambo haya!.. 🚨Tuna imani kubwa sana kuwa ripoti hii itaeleza ukweli wa nani alikuwa nyuma ya vurugu za 29 Oktoba 2025 🚨Kwa uzoefu huu wa Jaji Chande hatukuhitaji wazungu kuja kuchunguza mambo ya 29 Oktoba 2025 #UkweliOktoba29
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume ya uchunguzi ya Matukio ya Oktoba 29 sioni kuponya maumivu bali itaongeza maumivu na hasira za Watanzania

    Kesho Aprili 23 Inayojiita Tume ya uchunguzi wa Matukio ya uvunji wa amani na vurugu yalitokea Oktoba 29 inayoongozwa na Jaji Chande itatoa ripoti yake. Watanzania wengi wameikataa tume hiyo tangu kuundwa kwake na Samia kwa sababu ipo kwenye lengo la kuitetea serikali na Vyombo vya ulinzi na...
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwanini mnawatetea sana Chadema, kwenye ishu ya Oktoba 29?

    Nimekuwa nikifuatilia mijadala mingi kuhusu nafasi ya Chadema katika maandamano yaliyoacha athari mbaya kwa jamii. Kinachonitatiza ni kauli zinazoeleza kuwa chama hicho au viongozi wake hawakuhusika kabisa. Naomba ufafanuzi wa kina zaidi kuhusu hili. Ni kweli kwamba mara kadhaa tumeshuhudia...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yakutana na ujumbe wa African Women Leaders Network, yaeleza yalitokea Oktoba 29

    Mapema leo, uongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ulikutana na ujumbe wa African Women Leaders Network uliokuwa ukiongozwa na aliyekuwa Rais wa Liberia, Ellen Johnson Sirleaf, akiwa ameambatana na aliyekuwa Rais wa Ethiopia, Sahle-Work Zewde. Ziara ya ujumbe huo nchini Tanzania...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya LHRC yarejea mauaji ya Oktoba 29, yayaita kipindi cha giza

    Dar es Salaam. Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimetoa ripoti ya Haki za Binadamu ya mwaka 2025 kikiyataja mauaji ya Oktoba 29, 2025 kuwa kipindi cha giza katika ulinzi wa haki za binadamu Tanzania. Mauaji hayo yalifanyika baada ya maandamano kuzuka katika mikoa mbalimbali nchini...
  7. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 BAKWATA wafanya Dua kuiombea Tume ya Matukio ya Oktoba 29

    KATIBU wa Baraza la Ulamaa BAKWATA Taifa, Sheikh Hassan Said Chizenga, ameongoza dua maalumu ya kuiombea Tume ya Matukio ya Oktoba 29, akisisitiza umuhimu wa haki, uwazi na maridhiano katika mchakato mzima kuelekea ripoti ya tume hiyo. Dua hiyo inalenga kuiombea Tume iweze kutekeleza majukumu...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Media na wasanii Bongo ni wanafiki sana, walikufa watu wengi Oktoba 29, 2025 hamkupost, akifa mtu mmoja post kila kona

    Media na wasanii Bongo ni wanafki sana, walikufa watu wengi Oktoba 29, 2025 hamkupost, kafa mtu mmoja post kila kona halafu mnajiita nyie ni vioo vya jamii. Nyie ni vioo vya jamii gani? Mbona hiyo jamii haiwatambui kama vioo, kwanza vioo mmetoa wapi, unafki tu
  9. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Muchunguzi: Hakuna anayejua kilichomo kwenye ripoti ya Tume matukio ya Oktoba 29, tusameheane yalishatokea hatuwezi kuyafuta

    Mchambuzi wa masuala ya siasa na diplomasia, Dennis Muchunguzi, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo Aprili 13, 2026, amesema si sahihi kuanza kutoa hukumu au kuzusha taarifa zisizo na msingi kuhusu ripoti ya Tume ya Uchunguzi wa Matukio Oktoba 29 wakati bado...
  10. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wananchi wampongeza Rais Samia kuunda Tume ya Uchunguzi Matukio Oktoba 29

    Wakuu, Nilivoona hii habari nikakumbuka sauti ya Mange Kimambi 'issue iko deep' 😂 😂 😂 😂 😂 --------------- Wananchi wamempongeza Samia Suluhu Hassan kwa uamuzi wake wa kuunda tume maalum ya kuchunguza matukio ya vurugu yaliyojitokeza kabla na baada ya Oktoba 29, 2025, wakieleza kuwa hatua...
  11. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Nani atasimamia utekelezaji ikiwa mamlaka zilizounda Tume ya kuchunguza matukio ya Oktoba 29 zitaguswa?

    Hili ndilo swali linalobeba kiini cha wasiwasi wa wengi kuhusu hatima ya mapendekezo ya Tume. Suala si kutolewa kwa ripoti pekee, bali ni nani atasimamia utekelezaji wake endapo mapendekezo yatagusa mamlaka ya waliounda chombo hicho. Hapa ndipo mjadala wa uwajibikaji unakuwa mzito zaidi, ambapo...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wasira: Waliochoma moto Ofisi ya chama Oktoba 29, walijua wanaichoma CCM, CCM huwezi kuichoma, haichomeki

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema hayo Machi 27, 2026, Mjini Bunda Mkoa wa Mara alipokuwa akiweka jiwe la msingi ujenzi wa jengo la ofisi za CCM Wilaya ya Bunda ambazo zilichomwa moto katika na vurugu za Oktoba 29, 2025. Aidha, alionya tabia...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Mjadala wa wazi kati ya Viongozi wa Dini na Wananchi kuhusu Amani na yaliyotokea Oktoba 29, 2025

    Mjadala wa wazi kati ya viongozi wa Dini na Wanananchi kuhusu Amani na yaliyotokea Oktoba 29, 2025 Mwanza katika ukumbi wa Nyakahoja leo Machi 26, 2026. Viongozi wa dini wanaoshiriki mjadala wa leo ni; Sheikh Hamisi Mataka - BAKWATA, Mwenyekiti wa Halmashauri Kuu Bishop Nelson Kisare -...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania BAKWATA: Kila mmoja anapaswa kupata funzo kwa kilichotokea Oktoba 29, 2025

    Salamu za BAKWATA katika baraza la Eid El Fitr zilizotolewa na Katibu Mkuu wa BAKWATA, Alhaj Nuhu Jabir Mruma
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania BAKWATA: Pongezi za ziada ziende kwa vyombo vya ulinzi kuhakikisha Amani na Usalama vilirejea ndani ya muda mfupi Oktoba 29

    Katibu Mkuu wa Bakwata, Alhaj Nuhu Mruma, akizungumza kwenye Baraza la Idd el-Fitri leo tarehe 21 Machi, 2026 jijini Dar es Salaam.
  16. Idugunde

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Vurugu za Oktoba 29 zilifanywa na wanaCCM waliopinga rais Samia kupitishwa na mstaafu Kikwete bila mkutano mkuu, sio CHADEMA

    Ukweli ndio huu CHADEMA haujahusika na vurugu na wala haikushiriki kabisa. Lissu alikuwa jela hiyo Oktoba 29 na Heche alikiwa jela. Hawakuhamasisha mtu. WanaCCM ambao mpaka leo walishachukia mstaafu Kikwete kumpitisha rais Samia bila kufuata utaratibu wao wanaCCM ndio walihamasisha vurugu hiyo...
  17. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Human Rights Watch: Raia ambao hawakuwa kwenye maandamano walipigwa Risasi kuanzia Oktoba 29 kufuatia maandamano kwenye Uchaguzi Mkuu

    Human Rights Watch imesema kuwa vikosi vya usalama vya Tanzania vilikandamiza maandamano wakati na baada ya uchaguzi mkuu wenye utata wa mwaka 2025, viliua na kujeruhi watu ambao hawakuwa wakishiriki katika maandamano hayo. Human Rights Watch imethibitisha vifo vya watu 31 ambao hawakushiriki...
  18. McLaren

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mahakama Kuu yaidhinisha uhalali wa Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Oktoba 29

    Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imeidhinisha uhalali wa Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, baada ya kutupilia mbali shauri lililokuwa likipinga uhalali wake. Uamuzi huo umetolewa leo Ijumaa, Machi 13, 2026 na...
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Aliyechukua kitu kituo cha mafuta cha Panone Arusha Oktoba, 29 arudishe, kuna vijana watano hadi sasa wamefariki kwenye mazingira ya utata

    Kuna mambo yameanza kuleta taharuki! ========= Hali ya wasiwasi imetanda katika baadhi ya maeneo ya wilaya ya Arumeru mkoa Arusha baada ya vifo vya vijana zaidi ya watano kutokea katika mazingira ya utata huku ikidaiwa kuwa mtu mmoja mmiliki wa kituo cha mafuta alitoa siku chache kwa yeyote...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu kamuwahi huyu Mgambo, ila angemuacha angesema Kuhusu mauaji ya Oktoba 29

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, Machi 9, 2026 alizungumza na Wananchi wa Namanyere, Mkoani Rukwa. ========== Huyu mgambo kuna kitu alitaka kusema Mwigulu akamuwahi kwa kumuuliza kiasi cha pesa anachodai ili kuepusha dhahama, nadhani angemuacha dakika moja tu angesema walitumwa kuua watu...
Back
Top Bottom