ofisini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Responded NIDA: Kujua kama Kitambulisho chako cha NIDA kimechapishwa, huna ulazima wa kwenda Ofisini, unaweza kujua kwa njia ya Mtandao

    Baada ya Wananchi mbalimbali kupitia Jukwaa la JamiiForums.com kuweka wazi malalamiko yao ya kutopata taarifa ya kujua lini hasa kitambulisho cha NIDA kinakuwa tayari kwa wale wapya waliojisajili na wale ambao wamefanya mchakato wa kupata vitambulisho vipya, Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa...
  2. Just Pray

    Paresso: Rais Samia ana siku 90 yuko ofisini takribani mambo 10 aliyoahidi watanzania anaenda kuyatimiza

    Mbunge wa Viti Maalum(CCM) Mkoa wa Arusha Cecilia Daniel Paresso Cecilia Paresso amesema ahadi ambazo alizitoa Rais Samia Suluhu Hassan kuwa atatekeleza ndani ya siku 100 tayari ameanza kuzitekeleza ikiwemo mpango wa bima ya afya kwa wote na mikopo kwa wajasiriamali. Akizungumza Februari 2...
  3. Masai wa Town

    Je, Naweza Kufungua Madai ya NSSF Online Bila Kufika Ofisini Kwao na Yakakubaliwa?

    Wakuu, Nataka nifungue madai ya fao la kukosa ajira. Shida ni kwamba NSSF hawapokei simu wala kujibu emails. Nimesikia kuwa siku hizi Madai ya NSSF yanafanyika Online kwa 100%. Hakuna haja ya kwenda Ofisini kwao. Je, Kuna aliyewahi kutumia hii njia? Attachment nilizonazo: Certificate of...
  4. mirindimo

    Walioko ofisini nafasi za juu lakini hawafai kuwepo walitakiwa kushtakiwa

    Yale mauaji ya October 29 yaliyo ongozwa na Polisi wetu kuanzia aliesababisha mpaka alieshiriki kuua hapaswi kua Ofisini sasa hivi.Aliekua anampa report Rais kua wale ni raia kutoka nchi jirani yule ndio angekua wa kwanza kuacha kazi na kushtakiwa. Halafu Polisi waliosema kua ni AI sasa hivi...
  5. BIG BROTHER ALEX

    Nikipenda huwa nakaba hadi penati hakuna kupumua

    Nilikua mahala kwenye SIKUKU zetu hizi, nikiwa na jamaa YANGU tunapiga stori, akanijuza changamoto zake za mahusiano. Changamoto kubwa ni kuhusu mpenzi wake kufahamiana na washikaji kibao akidai ni Wana TU wengine ni kaka zake, nothing else, Jamaa hicho kitu kinamkera sana mpaka wanagombana...
  6. stakehigh

    Mwaka 2026, hakikisha unaombea kuachishwa kazi. Kuna mengi katika maisha zaidi ya kuingia ofisini kila siku

    UOGA ndo kitu kinachoweza kuelezewa kwanini mpaka sasa hutaki kuacha kazi, lakini hio kazi utaiacha mwishowe kwa lazima ukifika umri flan. Kama ipo siku lazima utafukuzwa kwa lazima ama kustaafu kwanini usianze maandalizi mapema! Tushachoka kuskia taarifa za watu kujiua bila kua na sababu hivo...
  7. JanguKamaJangu

    Buyobe: Kamishna wa ardhi Dar hakutakiwa kubaki ofisini baada ya hili alilotamka RC Chalamila

    Kupitia Ukurasa wake wa X (Twitter), Fortunatus Buyobe ameitag taarifa ya SwahiliTimes kuhusu Mjane kurejeshewa umiliki wa nyumba aliyoilalamikia hivi karibuni, kisha Buyobe akaandika: Kamishna wa ardhi mkoa wa Dar es Salaam hakutakiwa kubaki ofisini baada ya hili. Huyo aliyekuwa anamtoa...
  8. Its Tesha

    Msiwe serious sana na kazi ni muda wa mapumziko ofisini

  9. Mashamba Makubwa Nalima

    Brr!!!Brr!! sms mpya najua mshahara kumbe TAKUKURU, wazee acheni utani, wezi mnawajua na taarifa tumeleta hapo ofisini

    Acheni hizi ghasia kwa sisi raia tunayoipenda nchi yetu kuliko viongozi. Tunalipa kodi kila siku na tungependa kuona hizi pesa zinamnufaisha kila mTanzania, sio wale wanajipendekeza na wanasiasa , bali kila mtu anufaike na hizi pesa zetu. Taarifa mnaletewa kila siku ila mnaleta maigizo hapa...
  10. Fbn

    Polisi mnapoingilia mahakama hipo siku mahakama itaingilia polisi ofisini kwenu

    Siwezi shangaa Tanzania ilipofikia kwa sasa maana BASATA na TCRA wanaweza kuwa michepuko ya mtu mwengine. Sio tu wao hata idara nyingi sasa mfano wizara ya michezo ikaweza kucontrol TRA sasa. Tuje kwenye mada sasa mfano mahakama kuona polisi wakiingilia mahakama na kufanya kama sehemu ya ofisi...
  11. Sales man

    Hata kama wanabeba Hivi unaweza kubeba watu wote hawa kila mkoa ? 😳

    Hata kama wanabeba Hivi unaweza kubeba watu wote hawa kila mkoa ? 😳 Cc Lucas Mwashambwa
  12. N

    Kwanini bado mawaziri wapo ofisini ilhali bunge limevunjwa? Makatibu wakuu walipaswa kuendesha wizara wakati huu

    Leo katika pitapita zangu mitandaoni nimeona waziri Dakta Jafo amefanya uteuzi na amemteua Fred Vunjabei nikashangaa na kushtuka sana. Tanzania Ili uwe waziri ni lazima uwe mbunge (mhimili mwingine). Kwa Sasa bunge hilo lilishavunjwa, je uhalali wa kuendelea kuwa mawaziri na kutoa amri na...
  13. A

    KERO ATCL wamepoteza mzigo wangu, na ukienda ofisini kwao hawatoi ushirikiano

    Niliagiza mzigo kutoka dar kuja kigoma jana tar 15/08/2025 kupitia ATCL kutokana na uharaka niliokuwa nao, ambapo mzigo huo ulifikishwa saa 4 asubuhi na ratiba ya ndege ilikuwa inaonyesha inaondoka saa 7 mchana ilikuwa inafika kigoma saa 10. Jioni nimeenda kufuatia mzigo huo nikaambiwa...
  14. T

    Vifaa bora vya shuleni na ofisini

    Habari wadau .... Je unahitaji vitu bora vizuri vya shule na ofisini??? Basi usisite kutafuta Trumark Stationery & Books. Tupo Kimara Stopover delivery services Tanzania nzima Just Call 0765 76 76 96
  15. M

    NAFASI YA KAZI: Kusimamia Akaunti kwa Kutumia Robot (Kazi ya Ofisini - Dar es Salaam)

    Natafuta vijana wenye umri kati ya miaka 20 hadi 28 kwa ajili ya kusimamia akaunti za biashara kwa kutumia mfumo wa roboti (robot) katika mazingira ya ofisi iliyopo Kinyerezi Mwisho, Dar es Salaam. ✅ Robot tayari ipo, kazi yako ni kuingia kwenye akaunti, kufuatilia maagizo ya robot, na...
  16. A

    Majeshi ya Kisiasa -Israel-Iran wanapigana vita wakiwa ofisini

    1. Majeshi ya wenzetu wameyaboresha (Jeshi dogo, teknolojia kubwa). 2. Tofauti na Majeshi ya kisiasa yaliyojaa Ubabe wa kipuuzi, Timu za Mpira, canteen na fremu za maduka na kumbi za harusi. Kupata kazi humo lazima uandikiwe vimemo ili ukapasue tofali kwa kichwa. 3. Bali wenzetu wasomi...
  17. R

    Ndugu Rhimo Simeon Nyansaho Mkurugenzi mpya PSSSF mtazame vizuri huyo mhasibu hapo ofisini

    Kwanza kabisa nikupongeze kwa kuamininiwa na mh. Rais kuisimamia taasisi hiyo nyeti inayohusika na maslahi ya watu wanaotaabika kwa miaka kibao. Kumekiepo na malalamiko dhidi ya mtangulizi wako kwani alishindwa aidha nguvu na hao watumishi wa ofisi au ilikua ni maelekezo yake. Mambo yalikua...
  18. Pdidy

    SIMBA IFUNGUNGIWA KWA UTOVU WA NIDHAMU NTAPUMZIKA SIKU NNE BILA KWENDA OFISINI

    NIMEONA VIJANA WAMEANZA KUCHUNGIZWA KWA UTOVU WA NIDHAMU BERKANE WAMENIPA OFF SIKU MBILI SIKWENDA KAZINI LAKINI KWA HUU UJINGA WA SIMBA ZNZ NA UTOVU WA NIDHAMU NATANGAZA KUPUMZIKA AIKU NNE RASMI NIKISIKIA WAMEFUNGIWA NA CAF IWE FUNDISHO NA HTA KWA MASHIRIKISHO NA MABODI YANAYOBEBA UJINGA...
  19. Just Pray

    Makamu wa Rais: Viongozi wanolazimisha penzi ofisini washughulikiwe

    Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango ametoa onyo kwa baadhi ya viongozi wa umma wanaotumia madaraka yao vibaya kwa kulazimisha mahusiano ya kingono kazini, hasa kwa waandishi waendesha ofisi (makatibu mahsusi). Dkt. Mpango alikuwa akizungumza katika mkutano wa 12 wa Chama cha Waandishi Waendesha...
  20. Waufukweni

    Try Again atuliza taharuki kuhusu Mpanzu, adai Mpanzu ni mali halali ya Simba na alisaini Miaka Miwili ofisini kwake

    Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi Simba SC, Salim Abdallah Muhene maarufu 'Try Again' ameeleza yanayoendelea kuhusu Elie Mpanzu kuwa yupo Klabuni humo kwa mkopo. "Elie Mpanzu ni mchezaji halali wa Simba alisaini mkataba wa miaka miwili tena alisaini ofisini kwangu sasa yanayoendelea kwasasa ni...
Back
Top Bottom