ofisini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. V

    JamiiForums Tanzania Imarisha ulinzi wa mali zako nyumbani na ofisini kwa kufunga CCTV CAMERA leo.

    Karibu tukufungie cctv camera leo kwa ubora wa hali ya juu na kwa gharama nafuu. Huduma zetu ni za uhakika na tunazingatia mahitaji ya mteja. -Tunazo camera nzuri zinazoonyesha picha nzuri 24/7 Tunazo brand maarufu za Dahua na HIk Vision Tunatoa mafunzo bure kwa mteja jinsi ya kutumia na...
  2. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ofisi za CHADEMA sasa ni kama mahame, watu hawaaminiani hata kuacha maji ya kunywa ofisini, huzuni imejaa kwa kupoteza marafiki

    Ofisi za chadema ni jumba la huzuni, marafiki wanakimbia jengo walilolipigiania kulijenga. Chuki na uadui ni mkubwa sana kiasi kwamba mtu hakubali kuacha maji au chakula ofisini kwa kuhofia kufanyiwa madhara na wenzake. Wakurya wamejaa kama nzige. Kila mahali huyu anamsengenya huyu. G55 wana...
  3. nipo online

    JamiiForums Tanzania Dogo wa kazi kaambiwa aripoti ofisi ya serikali ya mtaa juma tatu asubuhi

    Jumamosi ya mwisho wa mwezi ni ya usafi huku adi sa 4 asubui , Leo asubui dogo kafungua goli (salon) sa 3 na nusu , gafla kaja mtendaji kamuuliza jina na kuchukua namba yake ya simu, kisha kamwambia Leo hajafanya usafi aripoti ofisini juma 3. Dogo kabaki ameshangaa maana hata ofisi ya serikali...
  4. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Ofisini mkiwa na boss anayependa bata mnapata hela

    Ukweli ndo upo hivyo mkiwa ofisini au kwenye duka au popote unapopatia maokoto mkiwa na boss mjanja, akiishiwa anaumiza akili mfanye nini mpite wapi mpate pesa. Ila mkiwa na mkuu ambaye mkoloni mla ugali wa muhogo na dagaa daily ambaye mshahara wa mwezi uliopita bado anao na posho ya week...
  5. CFX

    JamiiForums Tanzania Umebanwa Na kazi unataka mtu wa Kukuingizia Data kwenye Mfumo wako wa Ofisini?

    Habari naitwa Rashid kama kichwa cha habari kinavyoeleza, Unaweza kuwa unahitaji usaidizi wa muda wa kuingiziwa data zako kwenye mifumo ofisini kwako Usisite Kunitafuta, Nina ingiza Data kwenye Database na mfumo wowote Ule kwa usahihi. Namba za Simu 0627225627/ 0745747368 Email...
  6. CFX

    JamiiForums Tanzania Umebanwa Na kazi unataka mtu wa Kukuingizia Data kwenye Mfumo wako wa Ofisini?

    Habari naitwa Rashid kama kichwa cha habari kinavyoeleza, Unaweza kuwa unahitaji usaidizi wa muda wa kuingiziwa data zako kwenye mifumo ofisini kwako Usisite Kunitafuta, Nina ingiza Data kwenye Database na mfumo wowote Ule kwa usahihi. Namba za Simu 0627225627/ 0745747368 Email...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Jifunze umuhimu wa kufanya Fumigation sehemu zifuatazo, Nyumbani, Ofisini, Shuleni na kwenye Maghala

    FUMIGATION ina jumuisha mambo mawili 1.Kunyunyiza 2.kufukiza Watu wengi wamewahi kuona FUMIGATION ya kunyunyiza ila hawajui kuhusu FUMIGATION ya kufukiza,,, Hii inasababishwa na ukosefu wa Elim katika jamii kuhusu jambo hili. Kwa mfano kuna watu wengi hupita mitaani na kujinasibisha kuwa...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kama mwanaume, hizi ni baadhi ya changamoto za kufanya kazi na wadada, sehemu moja ya ofisini

    Habarini, Sijui kama kuna wengine mmeliona hili, kwenye mazingira ya kazini, kuna vitu nimevi-observe mwanaume ukifanya kazi na wadada 1) Kutumwa kazi ambazo ni unreasonable: Imagine mtu anakwambia hawezi beba dumu dogo la maji na mwanaume uko hapo, yani mtu anakwambia hawezi beba dumu la...
  9. Nyamwage

    JamiiForums Tanzania Wakuu naweza kujiunganisha na huduma ya eSIM mimi mwenyewe nikiwa home au mpaka niwafate vodacom ofisini kwao

    Uzi tayari
  10. MK254

    JamiiForums Tanzania Trump alisema asikute huo uchafu hapo, hao mateka waachiwe kabla hajafika ofisini, na tayari HAMAS wamekubali

    Trump alipiga mkwara kwamba akiingia akute mateka wameachiwa la sivyo kutakua jehanamu, naona HAMAS, magaidi wenye mlengo wa kiislamu wamekubali amri, yule jamaa ni chizi, patanyooka sana hapo ukanda huo...... Hamas has accepted draft agreement for Gaza ceasefire and hostage release, officials...
  11. xi maha

    JamiiForums Tanzania Nikitaka kujiunga UTT Amis ni lazima niende ofisini kwao?

    Hivi nikitaka kujiunga UTT amis ni lazma niende ofisini kwao?? Na je, mfuko gani una return nzuri?
  12. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hapo ofisini kwenu ukiwa umefulia ukifika muda wa lunch huwa unatumia mbinu gani kuzuga ili watu wasikushtukie kuwa umefulia?

    Me kiukweli mara nyingi huwa nazuga muda huo ndio nachapa kazi kwelikweli au nasingizia tumbo haliko vizuri. Je wewe huwa unatumia mbinu gani usishtukiwe kuwa umefulia?
  13. Mudawote

    JamiiForums Tanzania Ajitafutia kiti ofisini na kujiendesha baada ya kustaafu

    GTs, Hakika ukiyasikia ya miaka hii ya utumishi wa umma na kustaafu utashangaa hivi kwanini watu wanang’ang’ania ofisini baada ya muda wa utumishi kuisha? Kuna mtumishi mmoja hapa Dar alistaafu kwenye taasisi moja ya umma, akaongezewa mkataba kwa mfululizo miaka miwili, mwaka wa tatu...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Makumbusho: Polisi wadaiwa kuvamia Ofisi za "Reachout Tanzania", wakidai kumtafuta Wakili Lusako Alphonce, ambaye hakuwa ofisini

    Polisi wenye silaha wadaiwa kuvamia ofisi za Taasisi ya Reachout Tanzania zilizopo maeneo ya Makumbusho jijini Dar es Salaam, wakidai kumtafuta Mwanasheria wao Lusako Alphonce, ambaye hakuwa ofisini. Polisi hao, wakiwa na sare na wengine hawana sare, walitishia kuvunja milango licha ya kuambiwa...
  15. Jane Lowassa

    JamiiForums Tanzania Kuvaa jezi ofisini kupigwe marufuku

    Huu mtindo unapata kasi sana. Upigwe marufuku kwasababu ni aibu kwa taifa. Ofisini ni sehemu ya heshima
  16. V

    JamiiForums Tanzania Taasisi nyingi za serikali watumishi wake hawapokei simu za Ofisini utapiga mpaka uchoke

    Hivi karibuni serikali ya jamhuri ya muungano Wa Tanzania chini ya Rais Samia suluhu Hassan, karibu kila ofisini ya serikali kuna simu za Ofisi ambazo Mwananchi Akiwa na Jambo Akihitaji ufafanuzi basi hutakiwa kupiga simu nakupewa Majibu yatakayo saidia kutatua changamoto Yake. Matumizi ya simu...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Guinea: Video ya Baltasar Engonga akifungwa Pingu na kufikishwa Rumande kwa kashfa ya video za ngono ofisini

    Mkurugenzi wa Shirika la Kitaifa la Upelelezi wa Fedha (ANIF) nchini Equatorial Guinea, Baltasar Ebang Engonga, ameonekana akiwa amefungwa pingu na kupelekwa kituo cha polisi baada ya video za ngono zilizorekodiwa kuenea mitandaoni siku kadhaa zilizopta. Engonga amekuwa gumzo kubwa kufuatia...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Paul Mselle: Wenye changamoto ya kucheleweshewa “Passport” wafike ofisini watapata majibu

    Msemaji Mkuu wa Idara ya Uhamiaji na Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano, Mrakibu wa Uhamiaji, Paul John Mselle amesema Watu ambao wamekuwa na changamoto ya kudai kucheleweshewa kupata Pasi ya Kusafiria (Passport) wanatakiwa kufika Ofisi za Uhamiaji waelezee changamoto zao. Amesema hayo wakati akijibu...
  19. Last_Joker

    JamiiForums Tanzania Vijana wanaoponda 'White-Collar' Jobs: Ajira za Ofisini au hujasoma Chuo Kikuu?

    Unajua, siku hizi ukiwasikiliza vijana wengi, wanaonekana kuchukia zile kazi za ofisini za saa 9 mpaka 5. Utasikia wanasema, “Ah, ajira za ofisini ni utumwa tu” au “Kwa nini niteseke na mshahara wa mwezi wakati kuna biashara na fursa za mtandaoni?” Sasa swali linakuja, ni kweli ajira za ofisini...
  20. Jay_255

    JamiiForums Tanzania MEZA KUBWA YA OFISINI INAUZWA

    Meza ni kubwa na inafaa kwa matumizi ya ofisi Bei 80,000 Tu ipo Tabata kwa mkuwa 0711707070
Back
Top Bottom