ofisi

  1. Dalali mbeya jiji

    JamiiForums Tanzania House4Rent Jengo kwa ajili ya matumuzi ya ofisi

    Jengo kwa ajili ya matumizi ya ofisi linapangishwa Mbeya mjini. Ni jengo zuri na la kisasa. Kodi laki 7 kwa mwezi mazungumzo yapo. Wasiliana nasi+255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa!!
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya ya Serikali ya 'HUDUMA PAMOJA CENTER' haina jenereta? Umeme ukikatika huduma zinasimama

    Katika kuhakikisha wananchi wanapatiwa huduma za haraka bila usumbufu hasa kuepuka kutumia muda mwingi kwenye ofisi za umma, Serikali iliamua kuanzisha Kituo jumuishi cha huduma (HUDUMA PAMOJA CENTER) ambacho kina ofisi za taasisi mbalimbali za Serikali eneo moja. Miongoni mwa ofisi zinazotoa...
  3. 90sgeneration

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ofisi inayohusika na jambo hili

    Wakuu kuna mama ana binti mgonjwa ameshindwa gharama ya operation ni kubwa sana, Anauliza ni Ofisi gani aende na vithibitisho vyake, pamoja na barua yake wamgongee muhuri au wampe barua yenye muhuli apite mtaani aombe michango kwa wasamalia wema, sababu hajui utaratibu na hataki kuomba omba...
  4. G-love

    JamiiForums Tanzania Majengo yanauzwa Tabata

    MAJENGO Bei Tsh 1.3 B
  5. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA wakiongozwa na John Mnyika waitikia wito wa kufika kwenye Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa

    Hivi ndivyo Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mnyika alivyoongoza jopo la viongozi wa chama hicho kufika kwenye ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa leo, Jumanne Machi 18.2025 Soma Pia: CHADEMA yafikisha No Reform No Election kwa Msajili wa Vyama vya Siasa Francis...
  6. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Huyu ndie Abdulmalik al-Houthi, kiongozi wa wahuthi. Hivi ndivyo kabango kake kwenye ukata wa ofisi yake kalivyoandikwa

    "Allah Akbar (Mungu ni mkubwa) - Kifo kwa Amerika - Kifo kwa Israeli - Laana juu ya Mayahudi Ushindi kwa Uislamu" Sijui lakini, ila kama huyo allah anakuruhusu ulaani na kufanya maangamizi kwa viumbe wake wengine tofauti na wewe, mimi nafikiri unamuongelea allah mwingine.
  7. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Ugomvi wa ndugu 2,waliojariwa ofisi moja

    Hawa ndugu wakiumu,waliozaliwa na mama mmoja ila baba tofauti,wote ni madereva na asili yao ni wahindi.Maisha yao wanayoishi ni kama waafrika kabisa,kwa kila kitu,kula,kuvaa,mademu ni kama wafanyavyo wabantu.Wameajiriwa na tajiri mmoja,sasa bosi wao akawaambia kuwa wajiandae kwa safari ya kenya...
  8. G

    JamiiForums Tanzania NATAFUTA OFISI

    Za siku nyingi wakuu, kama kichwa kinavyojieleza , Natafuta office space sqm 15 hadi 25 ambayo ipo vizuri kidogo na angalau iwe na parking , biashara ni consultation budget yangu 500,000-700,000 mwisho, mwenye msaada anichek chap tuone tunafanyaje,, maeneo pendwa ni posta, masaki, kijitonyama...
  9. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya DPP ifutwe au kunyang'anywa mamlaka ya kuonea watu yasiyo na kikomo wala kuhojiwa

    Japo inaendeshwa kwa fedha ya walipa kodi wengi maskini na wanyonge, ofisi ya Mwendesha Mashitaka mkuu wa Serikali (DPP) ni chombo au zana yenye kila ukoloni na uvunjaji wa sheria hasa kuwa na kile kisheria huitwa discretionary powers au mamlaka yasiyohojika. DPP anaweza kutumiwa na watawala...
  10. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya CHADEMA Mikocheni ina ukumbi mkubwa sana, kwanini wanaranda randa katika kumbi za hoteli za kifahari, wakati wanasema hawana hela?ufisadi?

    Ofisi ya chadema makao makuu mikocheni ina ukumbi mkubwa sana, kwa nini wasifanyie vikao hapo? Wanaenda kukodi kumbi za makumi ya mamilioni wakati wanalia chama hakina hela? Chama kinafanyia maamuzi hotelini? Wanapishana na watu wametoka kuzini au wana mataulo walikuwa wanaoga? Chadema, tumieni...
  11. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Police kamateni viongozi wa LBL ofisi zote nchi nzima mikoa yote kabla pesa hazijatoroshwa nchini

    Hawa watu ni wahuni wameshawapiga watz wanataka kusepa na pesa sasa. Meneja wao huo hapa anaitwa Emily yupo Uingereza +44 7429 429168. Ukiangalia list ya makampuni ya Uingereza hii kampuni haipo. Ukiingia google ukasearch scarm company imo so iliwezekanaje hawa wahuni kupewa vibali vya kufanya...
  12. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Hapo mwanzoni utendaji ulikuwa mgumu kutokana na kutumia majengo yenye ufinyu wa ofisi na kuchelewesha huduma kwa wananchi

    Hapo mwanzoni utendaji ulikuwa mgumu kutokana na kutumia majengo yenye ufinyu wa ofisi na kuchelewesha huduma kwa wananchi. Hali imebadilika baada ya Rais Samia kuwajengea jengo jipya la halmashauri ya Bumbuli ambalo limerahisisha huduma kwani lipo katikati ya halmashauri hiyo lakini linatoa...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ujenzi Ofisi Mpya ya Mkuu wa Wilaya Chunya Kupangiwa Bajeti 2025/2026

    UJENZI OFISI MPYA YA MKUU WA WILAYA CHUNYA KUPANGIWA BAJETI 2025/26 Naibu Waziri, Ofisi ya Rais - TAMISEMI, Mhe. Dkt. Festo Dugange amemuelekeza Mkuu wa Mkoa wa Mbeya kuweka kwenye bajeti ya mwaka wa fedha 2025/26 maombi ya fedha kwaajili ya ujenzi wa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Chunya. Mhe...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Ugumu wa mawasiliano, Taasisi na Ofisi za Serikali

    Ni bahati mbaya sana kuona mawasiliano mengi ya Ofisi na Taasisi za Umma zitumii namba za simu walizoweka katika mtandao hasa za TTCL. Simu nyingi hazipatikani kwa kuwa hazijalipiwa hivyo kuleta usumbufu mkubwa sana kwa mtu mwenye kuhitaji huduma katika Taasisi husika. Kama namba...
  15. dr namugari

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Rais wa Burundi yaleta gumzo mtandaoni

    Ktk hali ya kustaajabisha juz waziri mkuu wa zamni wa Kenya ndugu Raila omong Odinga alikwenda nchini Burundi kuomba uungwaji mkono kwa rais wa Burundi kweny kinyanganyiro cha mwenyekiti wa umoja wa Africa Basi bhna picha zilipigwa na odingi akiwa ktk moja ya ofisi ya Rais wa Burundi kitendo...
  16. Dalali wa Mjini

    JamiiForums Tanzania Udalali nayo ni ofisi pia

    Habari ndugu zangu. Ni siku nyingine tena kwenye chini ya JUA. Baada ya kuzurula sana kutafuta gari ya Uber na bolt bila mafanikio huku nikiwa napiga Domo (Dalali) Kuna jamaa humu alinichek nikakutana nae tukapanga fresh Gari iwekwe gesi maana Gari yake ilikuwa CC 1700.Brother hujanipigia tena...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Ni bora upange karibu na ofisi kwa kodi kubwa au upange mbali kwa gharama kubwa na usafiri wa taabu

    Upange karibu na ofisi kwa kodi kubwa Mfano: Upange kwa gharama X, umbali wa ofisi dakika 10 au Uende mbali kwa nusu ya kodi ya kuwa karibu, Gharama za usafiri kubwa na usafiri ni taabu Mfano: Upange mbali kwa nusu ya gharama X, usafiri laki 1, unaamka alfajiri kuwahi usafiri
  18. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Patrick Aussems almaarufu Uchebe aonekana ofisi za GSM

    Haijajulikana amefuata nini. Ila watu wachawi sana,mmemsagia kunguni mwenzenu kuwa hafiki pasaka na hajafika kweli ilaCV yake imeboreahwa Soma Pia: Kocha Saed Ramovic aaga wachezaji rasmi
  19. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania Dar Es Salaam: Huduma zote zilizokuwa zikitolewa ofisi yetu ya Kariakoo sasa zimehamishiwa kwa muda jengo la Diamond Plaza

  20. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Wakati Chama cha Mapinduzi kinaelekea kutimiza miaka 48 tangu kuzaliwa kwake, moja ya kitu kinajivunia ni kuwa na ofisi nzuri zenye hadhi na muonekano

    Wakati Chama cha Mapinduzi kinaelekea kutimiza miaka 48 tangu kuzaliwa kwake, moja ya kitu kinajivunia ni kuwa na ofisi nzuri zenye hadhi na muonekano wa chama. Hii ni ofisi ya CCM Kata ya Manzese ambayo muonekano wake ni bora na yenye kuvutia. Asante Dotto Magari kwa kututembelea na...
Back
Top Bottom