ofisi

  1. A

    PreGE2025 Heche: Kuna mkakati wa kutumia msajili wa vyama vya siasa na polisi kuteka ofisi za CHADEMA

    Serikali ya CCM, Rais Samia kama kuna watu wanakushauri haya basi wanakupotosha sana. Nafikiri hamjui kiu ya Watanzania kutaka mabadiliko. Kila hila mnazopanga na kufanya dhidi ya chama chetu mnakiimalisha zaidi.Sisi hatutawapigia magoti.
  2. Manipulation: Mbinu iliyotumika na CIA kukichukua kisiwa huko Ufilipino na Sakata la Sumu Ofisi za Chadema huko Mbeya.

    Kuelekea Vita kuu ya Pili ya Dunia Marekani alikuwa na uhitaji mkubwa sana wa visiwa katika Bara la Asia kwa ajili ya kujenga Kambi zake za kijeshi.Moja ya maeneo yaliyotambuliwa na Marekani ni visiwa vilivyopo karibu na Nchi ya Ufilipino. Pamoja na kutumia mbinu zote kuwashawishi wakazi wa...
  3. PreGE2025 Wasiojulikana wavamia Ofisi za CHADEMA Kanda ya Nyasa na kumwaga sumu eneo lote kwa lengo la kuwaua Viongozi na Wanachama

    Wakuu! Sumu hiyo inaripotiwa kusababisha maumivu ya pua, kichwa, macho na koo. OCD wa Mbeya na timu yake walifika mapema kuchukua sampuli. Wapo wanaodai huu ni mkakati wa kisiasa kutumia kemikali hatari.
  4. M

    Ruvuma: TRA yataifisha gari Na kumkabidhi ofisi ya mkuu wa mkoa

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Ruvuma imekabidhi rasmi gari aina ya ISUZU kwa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma kwa ajili ya matumizi ya serikali, baada ya kutaifishwa kutokana na kuingizwa nchini kinyume cha sheria. Makabidhiano hayo yamefanyika katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa mjini...
  5. T

    DOKEZO Waandishi wa habari wa vyombo rasmi niwaombe mtembelee kuripoti mateso kwenye ofisi za NIDA Ukonga, Mombasa

    Kiukweli sijajua kama tatizo ni mfumo ama watendaji wa serikali au ni kitu gani lkn itoshe kusema hali katika ofisi za nida hapa ukonga Mombasa ni ya kuchosha, kufedhehesha na ya kukatisha tamaa. Kama hatutapaza sauti tutaendelea na huu utaratibu ambao sielewi kama kweli kama nchi tumeshindwa...
  6. Usaili wa ajira za polisi 2025

    Jamani naomba nisaidieni location ya ofisi ya polisi wanapofanyia usaili (kuanzia kesho) kwa watu wa kidato cha nne na sita wilaya ya ilala. siku na muda kamili kwa ziada ya maelezo nitashukuru
  7. Baada ya Gambo kuanza kuishambulia ofisi ya Rais TAMISEMI, rasmi natangaza mazishi ya ubunge wake wa jimbo la Arusha

    Mrisho Gambo ni mwanasiasa ambaye anaishi kwa fitna na majungu. Ili adumu katika siasa lazima amuumize mtu na kumfanya aonekane mbaya. Sasa ameyakanyaga. Baada ya jaribio lake la kumchafua Makonda kuonekana kukwama, jana ameonekana kuihusisha ofisi ya Rais Tamisemi, kule anakosimamia Mwenyekiti...
  8. C

    Wastaafu Utumishi wa Umma kung'ang'ania ofisi

    Nimeshuhudia watumishi wa Umma mtaani kwetu ambao wamefikia umri wa kustaafu toka December 2024, February 2025 bado hawataki kukabidh Magari ya kazini wala ofisi zao. Mtu Hana Mkataba ila bado anaenda ofisin na kujihusisha kwenye maamuzi ya kiofisi kila siku na boss anavumilia huo upuuzi. Hii...
  9. D

    Tanesco waliondokana na kupanga wakajenga ofisi za kudumu; Imekuwaje tena wanarejelea kupanga?

    Serikali kupitia wizara ya nishati miaka 5 iliyopita ilijenga ofisi za Tanesco kupitia mfuko maalum Kwa kigezo kwamba kuna upotevu mwingi wa fedha katika kupangisha ofisi ya Tanesco kutoka kwenye nyumba za watu binafsi. Wakaamua kujenga ofisi kuu katika kila wilaya ili kuepusha upotevu wa...
  10. RPC Geita: Ofisi za Kata sio Kituo cha Polisi

    Jeshi la polisi mkoa wa Geita limepiga marufuku watendaji kuanzisha vituo vya polisi katika ofisi za kata bila kuwa na vibali kutoka serikalini. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Kamshna Msaidizi Mwandamizi Safia Jongo ameyasema hayo jana wakati wa muendelezo wa semina ya polisi jamii pamoja na...
  11. Ofisi usipoipenda, unafanyaje?

    Deeply sijawahi furahia ofisi nilopangiwa tangu nimeanza kazi ofisini tuko wawili tu,lakini dah Yani nilienae ofisini akibeba msosi anakula peke ake Wala karibu Hamna, Ata bites anakula mwenyewe Hadi anamaliza actually sijawahi ifurahia ofisi yeye ni mkubwa mimi kama mdogo ake tumepishana kama...
  12. Wizara ya Afya , Ofisi ya CAG, Tuelezeni Ukweli kuhusu NHIF, hii FAIDA ya NHIF imetokea wapi? CCM mpaka lini mtaendelea kua Waongo??.

    Mods msiunganishe Uzi Huu, lengo ni Wahusika wake na majibu !! Hili ni Bandiko la MwanaJF Megalodon ambalo wengine hatukuliona hili mapema !!. Ni Ukweli ulio Wazi, Kwa miaka mitatu mfululizo ya nyuma , kote Report ya CAG ilionyesha NHIF imepata Hasara kubwa. Mwaka 2023 ,Hasira ilikua Kubwa...
  13. Nauza Multi-purpose Epson printer L3250(mpya) kwa matumizi ya ofisi na binafsi

    Bidhaa: Multi-purpose Epson printer L3250(mpya) Kazi: Printing,scanning and photocopying Bei: Tsh 350,000/= Eneo: Kimara mwisho-Dar es salaam Mawasiliano: 0624576521 Ofa: wino+ Rimu
  14. B

    Nimetokea kuvutiwa na secretary wa moja ya ofisi za Chuo nilichosoma namuingiaje?

    Leo wakuu nilirudi katika Chuo nilichosomea, kuna course nilienda kusoma ya mwezi mmoja Baada ya kumaliza course Leo nimeenda kuchukua cheti changu Dah, mhudumu alikua mwanadada wakuu sio poa mtoto ana shape ya haja sio 😋 Tulikuwa tumekaa kwenye foleni, anaingia mmoja mmoja anapewa cheti...
  15. Wizara ya Afya yamsimamisha kazi Muuguzi aliyemhudumia Bi Neema ili kupisha uchunguzi wa sakata hilo

    Wizara ya Afya imetoa ufafanuzi kuhusu taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ya mkazi wa Daraja mbili mkoani Arusha Bi. Neema Kilugala aliyejifungua kwa njia ya upasuaji katika Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Arusha, Mount Meru mnamo Machi 24, 2025. Taarifa ya leo Aprili 02 2025...
  16. House4Rent Jengo kwa ajili ya matumuzi ya ofisi

    Jengo kwa ajili ya matumizi ya ofisi linapangishwa Mbeya mjini. Ni jengo zuri na la kisasa. Kodi laki 7 kwa mwezi mazungumzo yapo. Wasiliana nasi+255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa!!
  17. Ofisi ya ya Serikali ya 'HUDUMA PAMOJA CENTER' haina jenereta? Umeme ukikatika huduma zinasimama

    Katika kuhakikisha wananchi wanapatiwa huduma za haraka bila usumbufu hasa kuepuka kutumia muda mwingi kwenye ofisi za umma, Serikali iliamua kuanzisha Kituo jumuishi cha huduma (HUDUMA PAMOJA CENTER) ambacho kina ofisi za taasisi mbalimbali za Serikali eneo moja. Miongoni mwa ofisi zinazotoa...
  18. Msaada wa ofisi inayohusika na jambo hili

    Wakuu kuna mama ana binti mgonjwa ameshindwa gharama ya operation ni kubwa sana, Anauliza ni Ofisi gani aende na vithibitisho vyake, pamoja na barua yake wamgongee muhuri au wampe barua yenye muhuli apite mtaani aombe michango kwa wasamalia wema, sababu hajui utaratibu na hataki kuomba omba...
  19. Majengo yanauzwa Tabata

    MAJENGO Bei Tsh 1.3 B
  20. PreGE2025 CHADEMA wakiongozwa na John Mnyika waitikia wito wa kufika kwenye Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa

    Hivi ndivyo Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mnyika alivyoongoza jopo la viongozi wa chama hicho kufika kwenye ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa leo, Jumanne Machi 18.2025 Soma Pia: CHADEMA yafikisha No Reform No Election kwa Msajili wa Vyama vya Siasa Francis...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…