ofisi

  1. JamiiForums Tanzania PICHA: Tutajenga ofisi ya mkuu wa mkoa kwa Tsh bilioni 10

  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Michango Ofisi za Mtaa Taliani: Ni Sahihi?

    Mimi ni mdau kutoka chanika Buyuni-Dar es salaam. Sasa kuna utaratibu wa viongozi wanaohudumu ktk ofisi za serikali ya mtaa wa Taliani kata ya Buyuni kuwaomba michango(fedha) wananchi wanapoenda kutafuta huduma kwenye ofisi hizo kwamba wachangie ofisi. Je ni utaratibu ambao ni sahihi..?
  3. H

    JamiiForums Tanzania Karibu kusoma Jarida la Ofisi ya Waziri Mkuu, Toleo la 9 la Aprili 2026, linalopatikana kupitia tovuti ya www.pmo.go.tz.

    Karibu kusoma Jarida la Ofisi ya Waziri Mkuu, Toleo la 9 la Aprili 2026, linalopatikana kupitia tovuti ya www.pmo.go.tz.
  4. H

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Waziri MkuuHeri ya Kumbukizi Siku ya Sheikh Abeid Amani Karume 1905-1972

    Ofisi ya Waziri Mkuu Heri ya Kumbukizi Siku ya Sheikh Abeid Amani Karume 1905-1972
  5. H

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Mbunge Jimbo la Iramba Magharibi. Heri ya Sikukuu ya Pasaka

    Ofisi ya Mbunge Jimbo la Iramba Magharibi. Heri ya Sikukuu ya Pasaka.
  6. M

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Barua za Uhamisho TAMISEMI kwa sasa hazisainiwi na Ofisi ya Katibu Mkuu?

    Habari, kuna tatizo naona since November 2025 barua za mwisho kutoka hadi sasa kuna strikes imewekwa kuzuia barua ambazo tayari ziko ofisi ya katibu mkuu kuto sainiwa ikisemekana uhamisho wote umezuia na waziri mwenye dhamana. Sisi tulioajiriwa mikoani na tunafamilia ziko mbali na sisi ndoa...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini 'Wachapakazi Hodari' wanaishia kuwa punda wa ofisi, Huku 'Wambea' Wakipanda Vyeo?

    Leo tuweke mafaili ya ofisini pembeni na tuzungumze ukweli ambao Human Resources (HR) wako hatakuambia kamwe. Tangu tukiwa shule ya msingi tulikaririshwa fomula moja ya kijinga sana: "Soma sana, piga kazi kwa bidii, bosi atakuona, utapanda cheo na kutoboa kimaisha tuu." Ila Kwenye ulimwengu...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO TANROADS imeridhia ujenzi huu eneo la barabarani karibu na Ofisi ya DC Ubungo?

    Kuna jambo linaendelea naona kuna dalili ya kitu fulani ambacho hakipo sawa, kuna ujenzi wa kituo cha mafuta (Sheli) umeanza Mitaa ya Luguruni. Wameanza kujaza kifusi katika sehemu ambayo nafikiri siyo sahihi kwa sababu, kwanza ipo kwenye roundabout ya kwenda kwenye Ofisi ya Mkuu wa Wilaya...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ukiomba likizo ya Mwaka katika baadhi ya Ofisi zetu za Umma unaonekana kama msaliti au uzembe

    Imefika wakati sasa wa kuizungumzia tamaduni inayozidi kushamiri katika baadhi ofisi zetu za umma: Kitendo cha kufanya likizo ya mwaka ionekane kama "kosa la jinai." Kwa watumishi wengi, kitendo cha kuwasilisha fomu ya kuomba likizo kimekuwa kama chanzo cha unyonge mahali pa kazi. Badala ya...
  10. JamiiForums Tanzania Ofisi ya DED kuchunguza madai ya Walimu kukwepa majukumu ya kufundisha katika Shule ya Msingi Kishangazi (Tanga)

    TAARIFA KWA UMMA Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashuari ya Wilaya ya Lushoto imeona taarifa iliyotolewa katika Mtandao wa kijamii wa JamiiForums ikieleza kwamba katika Shule ya Msingi Kishangazi, iliyopo Kijiji cha Kishangazi, Kata ya Shagayu ni Mwalimu Mmoja tu ndiyo anafika shuleni...
  11. JamiiForums Tanzania Balozi Kaganda atembelea ofisi za TPA nchini Zimbabwe

    Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe, Mhe. CP Suzan S. Kaganda, ametembelea ofisi za Mamlaka ya Bandari ya Tanzania (TPA) zilizopo mjini Harare na kufanya mazungumzo na Mwakilishi wa TPA nchini Zimbabwe, Bi. Kulthum Boma. Ziara ya Mhe. Balozi Kaganda katika ofisi hizo ni sehemu ya hatua muhimu...
  12. JamiiForums Tanzania Msaada: Printer gani itafaa kwa matumizi ya ofisi ndogo

    Wakuu kama title inavojieleza, tunahitaji Printer itakayoweza Copying, printing colored na Scanning. Sifa iwe na running costs ndogo japo pia matumizi yetu ni madogo labda ku print Karatasi 10-15 kwa wiki au chini ya hapo. Budget ni haizidi 450K, labda iwe pungufu ya hapo. Kuna zile naskia...
  13. JamiiForums Tanzania Miliki Sender name ya ofisi yako kwa matumizi ya Bulk SMS

    Ni rahisi sana, sisi ONFON MEDIA tunakutengenezea mfumo wa Bulk SMS buree na msg chache za trial. Baada ya hapo utakuwa na hiyari ya kununua msg toka kwetu Kwan ya matumizi ya ofisi yako. Bulk SMS inafaa kwa; Promotion Kupush taarifa Kukumbusha ada kwa shule Kuweka appointment na wagonjwa kwa...
  14. JamiiForums Tanzania KERO Kwanini ofisi nyingi za serikali mtandao haujawahi kuwa sawa?

    Ukitaka kushughulikia jambo lako lazima utenge takriban siku nzima, ni kuambiwa tu mtandao upo chini mara haupo sawa, tutafika kweli? Nachoka Mimi.
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Waterfall - Arusha imejaa mashimo, Greda zipo Ofisi za Arusha DC zimepaki tangu 2025 mpaka matairi yameisha upepo

    Hii barabara inafika hadi Waterfall (NAPURU WATERFALLS) kuanzia mwisho wa lami pale ofisi za ARUSHA DC kupandisha juu ni kero. Barabara imejaa mashimo, na madimbwi ya maji, tunaomba TARURA washughulikie hii barabara. Greda zipo hapo Ofisi za ARUSHA DC zimepaki toka Mwaka jana mpaka matairi...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI afanya kikao kazi na Menejimenti ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe amefanya kikao kazi na Menejimenti ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto, kilicholenga kuweka mkakati wa utekelezaji wa maelekezo ya Mhe. Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba hususani ya utatuzi wa kero na changamoto za wananchi...
  17. JamiiForums Tanzania Wapi Ilipokuwa Ofisi ya Market Master Kariakoo Market?

    Ilipokuwa inapita Barabara ya Swahili makutano na Mtaa wa Tandamti nimekuta pamejengwa na ni sehemu ya Soko la Kariakoo. Mtaa wa Swahili unakatika hapo na unakuja kuendelea kuanzia Mkunguni kwenda mbele. Hapo niliposimama kwenye picha nimesimama ilipokuwa zamani Barabara ya Swahili na...
  18. JamiiForums Tanzania Income ipo, expenses za ofisi zipo chini yake lakini profit haiendani na juhudi

    Habari wana JF, Naomba msaada wa mawazo kutoka kwa wenye uzoefu. Nina biashara ndogo ambayo kwa wiki inaweza kuniingizia kati ya 50,000 hadi 100,000, ingawa sio kila siku kuna biashara. Kinachonitatiza ni kwamba, licha ya kuwepo kwa kipato, matumizi yanabaki kuwa makubwa kuliko pesa...
  19. JamiiForums Tanzania Kero ya Moshi kwenye ofisi yangu kutoka kwenye jiko la chips na mishikaki.

    Habar wandugu..... Pemben na ofisi yangu imeanzishwa biashara ya kuchoma nyama na chips, naomben njia ya kukwepana na kero ya mosh kutoka kwenye majiko.
  20. S

    JamiiForums Tanzania Madereva wa Bolt waandamana kwenye ofisi za kampuni hiyo kupinga ongezeko la ofa wanazopata wateja

    Madereva kadhaa wa Bolt walifanya maandamano hadi makao makuu ya kampuni hiyo yaliyopo Kinondoni, Dar es Salaam, siku ya Jumatatu, Februari 2, 2026, kupinga tozo kubwa na ongezeko la punguzo kwa wateja. Madereva hao walifika nje ya ofisi hizo majira ya saa 4:00 asubuhi, lakini walitawanywa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…