nzuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Ni ipi kozi nzuri kwa mtoto wakike itakayomwezesha kujiajiri na kuajiriwa serikalini

    Kuna Binti amemaliza form four 2025 lakini matokeo yake ni division four Sasa anataka kujiunga na VETA lakini hajui ni kozi gani yakwenda kusoma Ndg wadau naomba msaada wamawazo
  2. JamiiForums Tanzania Ipi ni njia nzuri kwako kujilinda kati ya deterrence (ulinzi wa kutisha) na concealment/ low-profile defense (ulinzi wa siri)

    Je, unaonesha nguvu kama kinga yaani unafanya deterrence/intimidation strategy ili watu wasikusogelee, ama unafanya concealment/low profile defense ili adui akija kichwa kichwa umfanyie kitu kibaya? Wanajeshi wa JWTZ hupendelea intimidation strategy. Wamepasua sana tofauli kwa nyundo kwenye...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya ni nzuri lakini je hata kama ikiandikwa katiba mpya itaheshimika na kufuatwa?

    Mjadala wa katiba mpya umekuwa ukijirudia mara kwa mara, huku wengi wakiamini kuwa suluhisho la changamoto za kisiasa na kijamii ni kuandika katiba mpya. Ni kweli kwamba katiba mpya inaweza kuwa fursa ya kurekebisha mapungufu yaliyopo, kuimarisha uwajibikaji, na kuweka misingi mipya ya utawala...
  4. JamiiForums Tanzania Njia gani ni nzuri ya kuachana na Mpenzi au Rafiki?

    Unatumia njia gani kuachana na mpenzi wako au rafiki yako kama imefikia hatua unaona hamuendani au unaona kabisa huyo mtu huwezi kutoboa naye mbele ya safari?
  5. JamiiForums Tanzania Kusema ukweli nchi ya Rwanda ni nzuri sana

    Nimekuwa nafuatilia video za nchi ya Rwanda, hata za huko vijijini. Kwa kweli hii ni nchi nzuri sana. Baada ya miaka kumi ikiendelea hivi itakuwa muonekano wa nchi za Ulaya hata kuzidi. Kila kitu unaona kimepangwa na wapangaji wanaojali watu wao. Mambo yote yanaonyesha kuwa kuna order...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Site ipi ni nzuri kwa kuangalia mechi za ulaya live

    Kama kichwa cha habari kinavoonesha hapo juu, ni site ipi nzuri kwa kuangalia mechi za ulaya live
  7. JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa huyu mtaalamu chapati nzuri inatakiwa ipikwe kwa masaa 7.

    Huyu mtaalamu kajibu swali la wengi kwa hii video aliyopost. Wale mnaopenda chapati lazima mjue chapati yenye ubora huchukua hadi masaa 7 kwenye mapishi yake. Tazama video. https://youtube.com/shorts/sKLhw0qNrRg?si=DyW9usbmgs9eFabm
  8. B

    JamiiForums Tanzania Nimetathimini Kazi Nzuri alizofanya Rais Hussein Mwinyi Ndani ya Zanzibar, kiukweli kabisa ashukuriwe

    Dr Hussein Mwinyi, Rais na Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar anapaswa kupongezwa na kupewa heko. Ndugu zangu ukiona sehemu imepata maendeleo au jambo zuri linafanyika ni vema utambue ya kuwa watu wemewekeza nguvu, akili, muda, pesa na uhuru wao pia. Ndani ya miaka mitano ya utawala wa...
  9. JamiiForums Tanzania Simu ipi yenye camera nzuri?

    Mambo vipi wadau! Naomba mchango wenu kimawazo kuhusu simu yenye camera nzuri kwa ajili ya matumizi ya kupigia picha na video za kupost kwenye page yangu ya biashara ya instagram, tiktok na mitandao mingine ya kijamii. Ni Biashara ya salon ya kike, na kama mnavojua biashsra hii picha zina...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kuna gari za kuanzia mwaka 2013 hadi 2020 kwa bajeti zisizozidi milioni 28 zenye urahisi wa kuzitunza na matengenezo pamoja na ulaji mzuri wa mafuta?

    Gari itatumika mazingira ya Tanga, matumizi ya lami na barabara za vumbi kidogo Engine iwe inasifika kwa uimara na ikipata hitilafu mafundi wameizoea Iwe na mifumo mingine ambayo imezoeleka na mafundi, sio kufunga safari hadi Dar au Kenya kurekebisha Isizidi cc 2000 Ulaji mzuri wa mafuta Umbo...
  11. JamiiForums Tanzania Kwenu TRA, StarLink ina kodi tamu, wahini mshiko haraka, Elon Musk analipa kodi nzuri tena kwa wakati na analipa in USD

    TRA msipitwe na gari la mshahara TRA kataeni siasa chukueni Pesa TRA mleteni mjomba StarLink msipoteze muda kwenye pesa Nchi zilizochelewa kuipokea zimegundua kuwa zilijikosesha mamilioni ya USD kwasababu Elon Musk analipa kodi kwa wakati na jambo kubwa zaidi hana longo longo kipengele mje...
  12. JamiiForums Tanzania AI gani nzuri kutengeneza video na picture ?

    Habari ya mwaka mpya Naomba kujua AI gani nzuri kutengeneza video na picha zikawa km OG
  13. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo namna nzuri ya kutoa Haki katika Kesi ya Uhujumu Uchumi inayowakabili Wachina

    Tanzania tumekuwa na uhusiano mzuri na nchi ya China kwa miaka mingi Uhusiano huu unapaswa kuendelezwa ili tuweze kusaidiana mbinu za maendeleo katika nchi zetu China inatutegemea sana lakini pia sisi tunawategemea sana katika mambo mengi yanayohusiana na maendeleo Kesi ya Uhujumu Uchumi...
  14. JamiiForums Tanzania Je ni kampuni gani bora za KUBET kwa sasa hapa Tanzania?

    Naomba wawekezaji wazoefu mnisaidie kampuni bora kwa sasa ya betting Tanzania. Uniambie na sababu.
  15. JamiiForums Tanzania Ludovick Rwezaura: Sheria ya kanisa Katoliki inakataza kuwaita waumini malofa na wapumbavu

    Aliyejitambulisha kama muumini wa kanisa katoliki aliyebatizwa na anayepokea sakrament, Ludovick Joseph, aeleza vifungu vya sheria vinavyowabana viongozi kuwafokea waumini kwa lugha kali.
  16. JamiiForums Tanzania Waziri Aweso unajiharibia CV yako nzuri

    Hakuna waziri nilikuwa namkubali kama aweso Ila kwa sasa amenishangaza Sana hivi unawezaje kumnyima mtu maji zaidi ya week mbili,tatu au nne Waziri kweli unapokea mshahara Ofsini mnaenda kabisa nyie dawasa Jamani kama kwako kuna maji naomba location nihamie Kwa muda .this is too much Hakuna...
  17. JamiiForums Tanzania Ndani ya siku sita hivi kuna taarifa nzuri wananchi watapata ,ila itakuwa kilio upande wa pili, japo kilio cha kinafki.

    Sina maneno mengi. Anzeni kuhesabu siku 6 kuanzia leo Ndani ya siku 6 huenda ikawa leo au kesho ila haitavuka siku 6. Mungu ataleta neema yake ambayo ni furaha kwa wananchi ila upande wa pili ni kilio japo cha kinafki.
  18. JamiiForums Tanzania Akimbia nchi nzuri ya Kiislamu kwenda ishi nchi ya Kibeberu na kuamua kuolewa na kaka yake

    Hii huwa inanichanganya. Huyu dada ameondoka nchi yao nzuri ya kiislamu yenye kufuata miiko ya dini na taratibu na kwenda kuishi nchi ya kikafir. Alichofanya ndo kimeshangaza zaidi. Huko ambako hawajifuniki nywele na hawavai nguo za stara ameenda akaoana na kaka yake. Imagine kaolewa na kaka...
  19. JamiiForums Tanzania Audio player nzuri kwa simu za Android

    Je kuna offline audio player nzuri kushinda hizo hapo juu zenye user face nzuri na quality nzuri ya muziki kushinda poweramp player...kama zipi basi unaweza kuzitaja hapo chini....Kwangu Poweramp na oto player ni best
  20. JamiiForums Tanzania Siku nzuri za ukombozi ni sikukuu zote za kidini (Eid na za kikiristo) na most importantly siku za mechi kubwa Simba na Yanga

    Kushindwa ni pale tu tumekubali damu za ndugu zetu ziende bure...... UTANGULIZI Sisi sio watu wa kuingia msituni (sio jambo jema) tunahitaji 1. mapambano ya ground, maandamano makubwa yenye idadi kubwa ya watu na sio jokes (mfano ubungo mpaka magomeni ikajaa watu hamna wa kuzuia) 2...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…