Moja kwa Moja..
Leo nimeingia Jf now , nilijua tu haiwezi Ramadhani kuanza kinyonge bila kukuta zile nyuzi nikasema ngoja nichungulie HMM , page ya mwanzo tu nikakuta nyuzi zimeongozana ya kwanza hii 👇👇 halafu hii nyuzi kila Ramadhani lazima ianzishwe ndio uzi ambao unaingia kwenye rekodi ya...
GT
Nawashangaa sana ninyi mnaojaza server za JF kwa habari za wahuni wamekaa kumsifia Samuya.
Hiyo ndo.kazi ya mbunge? Hilo bunge siyo halali hawatakiwa kupewa airtime hata kidogo..
Maana hakuna hata mbunge mmoja aliyajutia mauaji ya M029 hao ni kuku kabisa achaaneni nao.
Kuna nyuzi nyingine zinazokingana na sifa ya jf. Mfano, mtu anauliza eti ni faida gani ulipata kwa mwanamke! Kamuulize mama yako ndo utajua faida ya mwanamke.
Mwingine mara usipinge dini fulani na mengine mengi. Kwani hizo dini zenu hazipingwi?
Huwa nashangaa kwanini kuna nyuzi nyingi za...
Ndugu wana jf binafsi nimechoshwa na uchawa wa hayo mazimwi hapo juu nawaomba ili kutowapa airtime yoyote kama alivyoshauri comrade Mshana Jr nawaomba wakipost chochote kikaushieni msikoment Wala ku react Kwa namna yeyote ile hii itapelekea manyuzi yao kupotea na kujifia haraka na mwisho hata...
Uwiano wa kujibu nyuzi na kuzitama/soma jukwaani, hasa jukwaa hili la siasas unashangaza!
Kwa haraka haraka sana uwiano ni kama ifuatavyo kwa uchache:
1. Nyuzi za Leo-74/994; 2/10; 29/698; 10/134; 16/282;,na 24/307
2. Nyuzi za jana kurudi nyuma- 61/2000; 164/3000; 15/214; 15/219; 4/126...
Wiki ya pili sasa kuelekea October 29 kumeibuka mfululizo wa nyuzi nying za ajabu ajabu za watu wanaojiona ni wazee wa busara wakibeza, kutisha na kukatisha tamaa raia wanaopanga au kuhamasisha kutoka na kupaza sauti kwa maandamano dhidi ya mfumo dhalimu na kandamizi wa haki. Utitiri wa hizi...
Comrades,
Natoa wito kususia mada ambazo ha,ina uhalisia kisiasa. Mada zinazoikweza ccm katika mazingira haya ya sasa. Mada kama zifuatazo
1. Kusifia nyomi
2. Kusifia ilani, hasa hama kilichopo madarakani
3. Kusifia misafara ya mvombea wa ccm
4. Kuaminisha watu ccm kina nguvu ya hoja
5...
Si haba kujua wahuni wamejaa kote mtaani na wengine mitandaoni wakitumia VPN, wakipima maji. Wenyewe wakiita wakiusoma mchezo.
Kwa hakika kama uraiani kutakuwa hakusomeki na ni salama zaidi kwao, TAL ataendelea kubakia korokoroni. Na huo ndiyo ulio ukweli mchungu na kinakachotokea Sep 15 wala...
Huyo Dogo britanicca uwa ni mod au ?
Maana Kuna threads yapata mbili napita naona amegonga Kuna na Hii hapa kando
https://www.jamiiforums.com/threads/ni-maono-yangu-2030-january-makamba-mgombea-ccm-wakati-polepole-akiungana-na-bashite-kwenda-upinzani.1915073/page-6
Moja kwa moja.
Mimi ni muumini wa ushahidi, habari zozote bila ushahidi wa uhakika na wa kuamika huwa nazikataa moja kwa Moja au naiweka katika kundi la tetesi na kuzifanyia uchunguzi ili kujua ukweli na uhalisia wa habari yenyewe kwa uhakika.
Siku za karibuni kumekuwa na wimbi la watu wengine...
Huu Uzi niliuandika nikiwa Corridor za Kremlin kuna jambo tulikuwa tunajadili na diplomat fulan
https://www.jamiiforums.com/threads/ya-kabendera-aman-upendo-tukielekea-mwaka-mpya-tusihukumu.1672937/
Katika ulimwengu wetu wa kidijitali, chuki hujidhihirisha kwa njia ya matusi au kejeli, lakini pia hujificha kwenye emojis kama hizi: :mad::confused: 😠 👿
Watu wengine huonyesha chuki yao kimya kimya kwa kum-ignore mtoa mada.
Chuki inaathiri nafsi ya mtu na jamii kwa ujumla. Chuki ni sumu...
Habari njema sana kwa wana JF wote.
Mimi sio muandishi mzuri sana wa nyuzi ndeefu sana, hii nikwasababu nilipokua mdogo sana niliambiwa muda ni mali sana.. nasasa nilipo kua mkubwa nimebaini muda hautoshi kabisa.
Twende kwenye maada hapo chini.
HIVI hawa vijana wanaokuja namaada kwamba...
Wale jamaa na uzi wao wa kunywa mikojo yao ya asubuhi ili washinde bet za milioni 200 na watu walikunywa kwa kweli maana sisi waafrika na mambo ya kufikirika,🤣🤣🤣
Uzi wa Ontario na victims wake , kila mtu alitaka atengenezee pesa akiwa amekaa chumbani kwake kilichotokea wanajua🤣🤣
Nyuzi za yule...
Hii imekuwa toomuch sasa naomba uzi mmoja uwe LIVE kila uzi uunganishwe hapo.
AHSANTE.
https://www.jamiiforums.com/threads/ester-bulaya-asema-alikuwa-chadema-kwa-mkopo-amerejea-nyumbani.2358370/unread...
Wanajamvi kama nilivyotangiliza heading, mara kadhaa nimekua nikikutana na neno KOBAZI kwenye comment mbalimbali humu jamvini, nimejaribu kufuatilia bila mafanikio.
Juzi nimeuliza nikaambiwa ni viatu lakini kila nikiangalia uhusiano kati ya viatu na comment za watu jamvini nakua sielewi kabisa...
Ila wadada wajanja sana🤣🤣
Yami mtu kazunguka weeeeee miaka yote hio sasa anatafuta mzee wa kwenda kupumzikia,
pia anajua katika umri huu ndipo mwanaume anapoelekea kuishiwa guvu na maybe kufariki baada ya kumlisha mafuta mafuta mengi apate ugonjwa wa moyo adanje, arithi mali za bwana yule.
Na...
Ninamzigo wa mawazo ambao haupimiki kama mnavoniona.
Mimi na pombe pombe na mimi.
Nimekuwa mtu wa kudance popote ninapokuta sebene.
Suti zangu hazinipendezi tena kama zamani
Nikiona watu na wapenzi wao roho inaniuma hata kama hayanihusu.
Hali yangu imefikia huku sasa.
Nisiwasumbue...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.