nyumbani

The Nyumbani Children's Home was founded by Father Angelo D'Agostino and Sister Mary Owens in 1992 to serve mostly abandoned children created by the AIDS pandemic. Since then, three more programs (Nyumbani Village, Lea Toto and Nyumbani Diagnostic Laboratory) have been added to the organization.

View More On Wikipedia.org
  1. mlinzi mlalafofofo

    JamiiForums Tanzania Umri gani ulianza kumruhusu "dogo" aendeshe ndinga ya nyumbani?

    Wa vitabuni unajulikana ni miaka 18 huo unafahamika. Wewe ulimwanzishia akiwa umri gani?
  2. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Mbowe kakodi muziki ,kafunga matenti ,kajaza viti nyumbani ili wanachadema wakamuombe kugombea Tena ! Anafikirisha sana

    Mtu anayeenda kulazimishwa anaandaje mazingira ya kwenda kulazimishwa? Anakodisha muziki kabisa na kujaza viti nyumbani kwake ili watu waende kumuomba agombee kweli tumekuwa watoto kiasi hicho ?
  3. Mindyou

    JamiiForums Tanzania RC wa Tanga: Kuna vijana 30,000 wako nyumbani wanalelewa na dada na mama zao. Walipoulizwa wamesema hawatafuti ajira

    Wakuu, Vijana wa Tanga mna salamu zenu huko kutoka kwa RC wenu. =========================================== Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe Balozi Dkt Batilda Burian amesema Halmashauri ya Jiji la Tanga bado kuna Changamoto ya Vijana wenye Umri kati ya Miaka 15-35 ambao wanataka kulelewa na Mama...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Ipi ni njia nzuri ya kutunza carrots na hoho nyumbani ili zisiharibike

    Nina health issue inayonihitaji kula carrot, hoho, vitunguu na spinach on daily basis kama dawa, aidha vibichi, kwenye juisi au vipikiwe ila visiive sana. Lakini napata challenge kutunza hoho na carrot. Spinach hazina shida sababu niliweka kabisa bustani ila hoho na karrot ulimaji wake...
  5. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Dada yangu amerudi nyumbani amesema wito wa usister wa Kanisa Katoliki umemshinda na anataka kuolewa

    Tupo hapa nyumbani mikocheni familia mzima tupo na kikao na dada yetu tumeshangaa kwanini amerudi kutoka utawani na wakati yeye mwenyewe ndiyo alisema anataka kuwa Sister halafu na leo amaerudi mwenyewe anasema wito wa Kanisa Katoliki umemshinda anataka kuolewa Daaah familia mzima tumepigwa na...
  6. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya UN Women yabainisha Nyumbani ni Mahali Hatari Zaidi kwa Wanawake

    Ripoti mpya ya UN Women inaonyesha kuwa wanawake na wasichana 85,000 waliuawa kimakusudi na wanaume mwaka 2023, ambapo asilimia 60 (51,100) ya vifo hivyo vilitokea mikononi mwa wenza au wanafamilia wa karibu. Hii inathibitisha kuwa nyumbani, mahali ambapo wanawake wanapaswa kuwa salama zaidi...
  7. Gily Gru

    JamiiForums Tanzania Bundi Nyumbani Kwangu

    Mara ya kwanza kumuona bundi akiwa amekaa au ame chill kwenye fisher board nyumbani ndio ilikuwa mara ya kwanza kumshuhudia bundi kwa macho. Siku hii ilikuwa mchana mapema Toka nimuone bundi nyumbani kwangu hii imekuwa ni mara ya nne nashuhudia bundi katika maeneo haya. Cha kushangaza bundi...
  8. Magical power

    JamiiForums Tanzania Pamoja na ubusy wako au kuwa na dada nyumbani kwako ila usiache kuingia jikoni kuhakiki chakula kabla hakijaja mezani

    DADA ANGU MWEMA pamoja na ubusy wako au kuwa na dada nyumbani kwako ila usiache kuingia jikoni kuhakiki chakula kabla hakijaja mezani. Hakikisha unakihakiki sio kipo mezani mumeo au watoto au wageni wakilalamikie ama kwa kutoiva, vumvi, mafuta au chochote kile kisicho sawa kwenye chakula...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Tunduma: Mgombea wa CHADEMA aliyeuawa baada ya kuvamiwa nyumbani kwake Azikwa

    Hotuba ya Mwenyekiti wa Chadema Jimbo la Tunduma, Boniface Mwakabanje, Aliyoitoa kwenye Maziko ya Mgombea wa Uenyekiti wa chama chake yaweza kuwa ndio hotuba bora ya Mazishi yatokanayo na Mauaji ya kisiasa Nchini Tanzania. Tunamuomba Mwenyezi Mungu aipokee roho ya Marehemu huyu, Amina Bali...
  10. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Je nyumbani kwenu, walipo wazazi au ndugu zako, ni sehemu salama ambayo ukipigwa unaweza kukimbilia na kupata utulivu?

    Je nyumbani kwenu, walipo wazazi au ndugu zako, ni sehemu salama ambayo ukipigwa unaweza kukimbilia na kupata utulivu kabla ya kurejea tena kwenye mapambano; Au ni heri ufie ugenini kuliko kuthubutu kurudi huko? Kuna kitu nataka kufundisha kuhusu hili.
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Lucy Sabu: Tutafika nyumbani, kijiweni kuitafutia Kura CCM

    Siku 7 za kubeba kila kitu zinaendelea kuanzia kwenye mikutano ya hadhara, kampeni ya mtaa kwa mtaa, nyumba kwa nyumba, kijiwe kwa kijiwe, mtu kwa mtu kuhakikisha kura zote zinaenda Chama cha Mapinduzi siku ya uchaguzi tarehe 24 Novemba, 2024. Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa...
  12. Magical power

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya kesho Jumatatu 🌄 Asubuhi watu watakuwa nyumbani kwao tabata changombe. Mwili utatoka mochwali utapitiliza kanisani Hautafika nyumbani

    Ratiba ya kesho Jumatatu 🌄 Asubuhi watu watakuwa nyumbani kwao tabata changombe. Mwili utatoka mochwali utapitiliza kanisani Hautafika nyumbani Utaenda kanisani kwa ajiri ya ibada. Walio Nyumbani na watakao toka mochwali tutakutana kanisani, Baada ya ibada Ni safari ya kuelekea Tunduma kwa...
  13. Lavit

    JamiiForums Tanzania Uzuri wa nyimbo ni "bridges" kitu ambacho wasanii wengi wa hapa nyumbani kimewashinda!

    Nikiwa kama mdau mkubwa wa muziki wa bongo fleva huwa naona kuna kitu kabisa kinamiss! Hawa wasanii wetu wa kuimba ambao tumekuwa tukiwaita wabana pua namna yao ya uimbaji huwa haishawishi kabisa! Katika uimbaji kuna kitu kinaitwa "bridges" wasanii wengi huwa hawakizingatii kabisa, hata wewe...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Polisi wamkamata na kumuweka Lock up Steven Membe, Mwanachama wa CHADEMA, nyumbani kwao Rondo

    Wakuu Yericko Nyerere ameandika; Jeshi la Polisi limemkamata Kamanda wetu Mwanachama wa Chadema Mhe. Steven Kamilius Membe nyumbani kwao Rondo na kumuweka Lock up ya Kituo kikubwa cha Polisi Lindi Mjini. Bado hakuna uwazi wa makosa wanayomshikilia nayo. Tunaendelea kufuatilia kwa ukaribu...
  15. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Nabii Hakubaliki Nyumbani! Godbless Lema ni Nabii? Alianza na Ndoto, Ikatimia!, Akaja na Sabaya, Ikatimia!, Sasa ni Makonda, Itatimia? Asipuuzwe!

    Wanabodi Tukubali tukatae watu hatulingani, kuna watu wana nguvu fulani za unabii kama wa upako fulani, wakilisema jambo, linakuja kutimia!, kauli zao ni ama zina power ya umbaji ndani yake, wakilisema jambo kauli zao zinaliumba hilo jambo linakuja kutokea, ama wanakuwa wamepewa maono...
  16. Y

    JamiiForums Tanzania Fundi bomba majumbani na maofisini free site visit

    Habari viongozi naiman mpo poa nipo hapa kutangaza biashara yangu mimi noifundi bomba wa majumbani na building materials pia ambae nimebobea pia tuna duka la hardware lipo kariakoo kwa huduma zaid 0699361938
  17. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Diaspora Wetu Wanafanya Nini cha Kuonekanika Huko Ughaibuni?. Diaspora Mliofanikiwa, Onekanikeni Kupitia TAK na Rudisheni Tanzania Japo Kidogo!

    Wanabodi, Bado niko hapa nchini Marekani kwa ziara binafsi, nimejitahidi kujichanganya na baadhi ya wana diaspora wa Tanzania walioko nchini Marekani, na kujiuliza jee wana Dispora wetu, wanafanya nini cha kueleweka na cha kuonekanika?. Nimejitahidi kuwasiliana na kile chama cha DICOTA...
  18. ngara23

    JamiiForums Tanzania Mwanaume usikose silaha nyumbani kwako au popote unapokuwa

    Sisi watu wa Kanda ya Ziwa, hili somo tunalifundishwa tangu utotoni. Unatembea na simu nne, wallet, kipegi, pafyumu, kondomu — lakini huna hata kisu! Kwa mwanaume, silaha ni lazima. Kujihami na kushinda ni lazima. Sio kidume unatekwa, na watekaji wanatoka wananukia pafyumu. Lazima upasue...
  19. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Baada ya kupaona nyumbani kwa marehemu Mafuru, sina budi kusema bado nina safari ndefu sana ya kutafuta pesa

    Niliona video fupi mtandaoni ikionyesha msiba wa hayati Mafuru. Ile ni nyumba au hekalu? Nyumbani kwa marehemu ndani ya fensi pana lami. Nyumba ipo Kijazi fly over geti la nyumba lipo Stand ya Magufuli!! Ngoja nitafute sana pesa, sitaki kupoteza muda wakuu
  20. Bob Manson

    JamiiForums Tanzania Brand ipi ya Printer ni nzuri kwa matumizi madogo ya nyumbani?

    Wakubwa shkamooni wadogo habari zenu... nawaza niongeze printer ili process ya input na output ikamilike, naomba mnijuze ni ipi brand nzuri ya printer kwaajili ya matumizi madogo ya nyumbani.
Back
Top Bottom