nyumba

  1. JamiiForums Tanzania Mwanaume mzima unaishi Nyumba ya kupanga?

    Kiukweli huo ni ujinga unajiitaje mwanaume au gentlemen halafu unaishi nyumba ya kupanga hio si aibu? Yaani kabisa unajiita gentlemen halafu unaishi ya kupanga mpaka leo kiukweli huo ni umama Inashangaza kabisa nyumba zilivyokuwa rahisi halafu utamkuta mburula mmoja anaishi kwenye nyumba za...
  2. JamiiForums Tanzania Kujenga nyumba ni ndogo ya kila maskini

    Huu ni umama na ujinga kuhisi kwamba kujenga nyumba ni mafanikio hii ni ndoto ya kila masikini eti kujenga nyumba kwao ni utajiri na mbaya Zaid hata kijijini kwenu wajinga watakusifu kwamba umefanikiwa huo ni ujinga na utoto hebu bdilisheni hiyo mindset zenu hizo. Juzi nilishuhudia uzinduzi wa...
  3. JamiiForums Tanzania Tetesi: Nyumba ya mjane wa Balozi John Rupia Katibu Mkuu Kiongozi (mstaafu) yadaiwa kupigwa mnada

    Fuatilia kinachoendela. Hali hapa Dar sio nzuri, nyumba za wajane zinauzwa usiku na mchana.
  4. JamiiForums Tanzania Ushawahi kuishi na mtu usiempenda / unaemchukia nyumba moja?

    Yani unaishi na mtu, ukimuangalia unasikia hasira, kila anachofikifanya kinakukera, did you? Waeza omba dunia iyeyuke
  5. JamiiForums Tanzania Mpaka leo kuna watu wanaishi nyumba za kupanga?

    Yaani mpaka leo kuna watu wanaishi nyumba za kupanga? Poleni aisee ila niwaambie kitu huo ni uzwazwa inakuaje mpaka leo kijana mzima unaishi nyumba za kupanga? Sasa kipindi wazazi wa wenzenu wanapambana kuwatafutia viwanja na mali watoto wao nyie wazazi wenu walikuwa wapi? Shame on them. Ili...
  6. JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Tanga Mjini

    Nyumba ipo Tanga Mjini Mitaa ya kisosora *Room 4 (Kimoja master) *Sebule *Jiko *Public Toilet *Umeme✅ *Maji✅ Bei 65 milioni mazungumzo yapo...Kwa mteja Serious piga simu 0683703076 au whatsapp 0763316426
  7. JamiiForums Tanzania Watu wa Mwanza hizi rangi mnapaka kwenye nyumba huwa mnawaza nini?

    Huwa napenda kupita mtandao wa Jiji.co.tz kuangalia nyumba na vitu mbalimbali. Nimeshangazwa na rangi ya baadhi ya nyumba za Mwanza. Ukipita humo utaziona. Huwa mnawaza nini watu wa Mwanza?
  8. JamiiForums Tanzania Kuna watu hawana hela wanajenga, kuna watu tuna hela ila hatujengi

    Nahisi shida ni moja tu sisi wenye hela tunatamani kujenga kumpita fulani wakati asiye na hela hawazi anajenga vyovyote, anakwenda kisebule na chumba na kistoo na choo kisha anakuja kukupangisha wewe mwenye hela zako; unampa hela anaenda kununua tena kiwanja anajenga nyingine safari. 2023...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hii ndoto inachanganya kichwa: Nimeota nimekoswakoswa kubamizwa na gari kwenye mti likaenda kuparamia nyumba ya watu

    Hii nini jamani? Kuna nini? Mbona ni vitisho tu usiku ndotoni? Ndoto gani hizi jamani?
  10. JamiiForums Tanzania Jinsi unavyoweza kuandaa fomu za Ukaguzi wa viwanja na ukaguzi wa nyumba kabla hujanunua

    Ukaguzi wa nyumba ni sehemu muhimu sana kwenye mchakato wa kununua kiwanja au kununua nyumba. Fomu ya ukaguzi wa kiwanja au nyumba inatakiwa kuwa na vipengele vifuatavyo;- ✓ Taarifa za nakala za umiliki wa ardhi au umiliki wa nyumba. ✓ Taarifa za usalama wa mazingira ya kiwanja au nyumba. ✓...
  11. JamiiForums Tanzania Fundi wa kuziba sehemu zinazovuja majumbani na kwenye mabwawa ya kuogelea

    Fundi wa kudhibiti leakages kwa Water proof tunadhibiti sehemu zote zinazo vuja iwe Silabu paa la la zege concrete roofing flat roofing fundi 0716354056
  12. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutumia Fujitsu obvious recorder kwenye nyumba

    Wakuu naomba kujulishwa kama kuna uwezekano wa kutumia kifaa cha kurecodia matukio ya kwenye gari kama security ya nyumbani. Je inawezekana kutumia king'amuzi pamoja na camera zake toka kwenye gari kurekodia matukio yanatotokea nyumbani kama mbadala wa CCTV?
  13. L

    JamiiForums Tanzania Je umewahi kukaa nyumba ambazo zina vimbwanga

    Kwa yoyote ambaye amewahi kukaa nyumba ambayo haikaliki alete mrejesho. Kuna watu wanapika chakula
  14. JamiiForums Tanzania Naomba kujua namna ya kupatana na fundi Ghrama za kupiga blandering na kufunga bodi na mikanda yake katika nyumba

    Habari wana jf? Nipo katika ujenzi na kwasasa nahitaji kufunga gypsum board ndani ya nyumba, hivyo Naomba kujua namna ya kupatana na fundi Ghrama za kupiga blandering na kufunga bodi na mikanda yake katika nyumba. Nyumba ina ukubwa wa mita 12 kwa 10 na ina vyumba vitatu, sitting room, dinning...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Bati za kiboko zina ubora unaokidhi?

    Wadau wa ujenzi mnaonaje ubora wa bati za Kiboko? Zina ubora unaokidhi?
  16. JamiiForums Tanzania Watuhumiwa 377 wa dawa za kulevya wahukumiwa, magari, pikipiki, boat na nyumba zataifishwa

    Na. Mwandishi wetu Jeshi la Polisi DAR ES SALAAM-TANZANIA Jeshi la Polisi Nchini Kupitia Kitengo cha kuzuia na kupambana na Madawa ya kulevya (Anti Drug Unit)kwa kushirikiana na Polisi Mikoa yote Tanzania Bara na Visiwani limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa wa madawa ya kulevya Pamoja na vifaa...
  17. JamiiForums Tanzania Maliza mwaka na Ramani ya nyumba yako

    Karibu tukuchoree ramani ya nyumba ya kisasa kwa bei ya ofa ya msimu wa sikukuu wasiliana nasi kwa simu au whatsapp 0717 040 837 au +255 767 267 664. Anza mwaka na malengo makubwa ya kumiliki nyumba yako. Kodi Noma, hamia kwako
  18. JamiiForums Tanzania Mkakati wa mama mwenye nyumba kushinda uchaguzi mkuu wa 2025 kwa 95% huu hapa umeshawiva tayari

    Habari zenu wana JF wenzangu, bila kupoteza muda ngoja niende kwenye mada husika ili kuwarahisishia wasomaji wasiopenda kusoma maandishi mengi. Ni hivi... baada ya mama mwenye nyumba kufanikiwa kukitia chama chake mwenyewe mfukoni, na kuwadhibiti wale wote waliokuwa na ndoto ya kutaka kupimana...
  19. JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa wanaotaka Kumiliki nyumba za kuishi mwaka 2023

    Imekuwa ni ndoto ya wengi kumiliki nyumba ya kuishi hasa kwetu sisi watanzania. Ndoto hii inaweza kutokana na sababu mbalimbali. Kwenye kipengele hiki cha kumiliki nyumba ya kuishi nimekuandalia somo ambalo nimeona litakusaidia sana sana kuhusu nyumba ya kuishi. Ninafahamu kuwa ushauri huu sio...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya kijanja vijijini bila pesa kutumia miti na mawe udongo nyasi

    Ndugu zangu naomba msaada kwa mwenye ujuzi katika ujenzi nataka nijenge kijijini pesa ngumu ngumu kweli je naweza jenga kwa kutumia material ya asili kama wajengavyo vijiji vya wenzetu nchi za mbali nifanyeje
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…