nyumba

  1. JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Kariakoo,bei ni billion 7.8,maongezi yapo

    GHOROFA INAUZWA IPO KARIAKOO DARESSALAAM🇹🇿 Underground, floor 1 and 2 ▶Maduka yako kama 60 ▶Inaingiza million 600 na kitu kila mwaka BEI NI BILLIONS 7.8,MAONGEZI YAPO 🇹🇿CALL/WhatsApp +255758844717 #viral #tanzaniantiktok🇹🇿 #daressalaam🇹🇿 #houseforsale #realestate
  2. JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Tsh bilioni 1.3, ipo Bunju B

    LUXURY HOUSE FOR SALE – BUNJU B 📍 Bunju B 📐 Plot Size: 1,568 SQM 💰 Price: TZS 1.3 Billion (Negotiable) This beautiful luxury home comes with a spacious and modern design perfect for family living or investment. 🔹Brand New 🔹Good View & Fresh Air🍀 🔹 4 Bedrooms (3 Master Bedrooms) 🔹 Large Sitting...
  3. JamiiForums Tanzania Kama una 40yrs+ na unaishi nyumba ya kupanga na uko na family, jitazame upya

    Kama una miaka 40+ na bado unaishi nyumba ya kupanga ukiwa na familia, jiulize upya kuhusu mwelekeo wa maisha yako. Je, uko kwenye njia sahihi ya kujenga mustakabali wa familia yako, au umekwama katika hali ya kurudia kila mwaka bila maendeleo ya kweli?
  4. JamiiForums Tanzania Iwambi siyo kwa kujenga nyumba! Nyumba kubwa hata milion 15 nimekosa

    Nilinunua kiwanja iwambi changanyikeni mwaka2016. Nikajenga na nyumba ila miaka kumi inayo hata milion 15 pesa ya kununulia madafu Iringa nimeshindwa kuuza. Iwambi mbeya hapana kwa kweli. Ingekua Arusha ingekua milion 200
  5. JamiiForums Tanzania Iwambi siyo kwa kujenga nyumba! Nyumba kubwa hata milion 15 nimekosa

    Nilinunua kiwanja iwambi changanyikeni mwaka2016. Nikajenga na nyumba ila miaka kumi inayo hata milion 15 pesa ya kununulia madafu Iringa nimeshindwa kuuza. Iwambi mbeya hapana kwa kweli. Ingekua Arusha ingekua milion 200
  6. JamiiForums Tanzania Iwambi siyo kwa kujenga nyumba! Nyumba kubwa hata milion 15 nimekosa

    Nilinunua kiwanja iwambi changanyikeni mwaka2016. Nikajenga na nyumba ila miaka kumi inayo hata milion 15 pesa ya kununulia madafu Iringa nimeshindwa kuuza. Iwambi mbeya hapana kwa kweli. Ingekua Arusha ingekua milion 200
  7. JamiiForums Tanzania Iwambi siyo kwa kujenga nyumba! Nyumba kubwa hata milion 15 nimekosa

    Nilinunua kiwanja iwambi changanyikeni mwaka2016. Nikajenga na nyumba ila miaka kumi inayo hata milion 15 pesa ya kununulia madafu Iringa nimeshindwa kuuza. Iwambi mbeya hapana kwa kweli. Ingekua Arusha ingekua milion 200
  8. JamiiForums Tanzania Jaymond kununua nyumba Sweden, anaweza kudhulumiwa

    Msanii wa Kitanzania ambaye alikuwa comedian na sasa ni kama content creator wa video fupi za kucheza mitandaoni ambaye ni Jaymond akiwa na Mpenzi wake Isabella kutoka huko Sweden wamefanikiwa kununua nyumba yao ya kuishi pamoja. https://youtu.be/f4z3j5N8b8g Lakini mimi binafsi naona kama...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto ateketea kwa moto ndani ya nyumba iliyoungua

    Simanzi imeikumba familia moja wilayani Moshi Vijijini baada ya mtoto mwenye umri wa miaka mitatu, Francis David, kupoteza maisha kwa kuteketea ndani ya nyumba iliyoshika moto katika Kitongoji cha Mwitini, Kijiji cha Mwasi Kusini, Kata ya Uru Mashariki. Tukio hilo limetokea Mei 26, 2026 majira...
  10. JamiiForums Tanzania Tetesi: Fumbo la pendekezo la vikwazo vya Marekani: nyumba za vigogo.

    Zile za chini ya carpet, wadau ati kuna vigogo wana nyumba Marekani? Tujiulize.!
  11. JamiiForums Tanzania Hizi mbinu za Kuficha Bunduki, zinaisaidia CCM au zinaiangamiza? Nani yupo nyumba ya huu mchezo?

    Hizi mbinu za Kuficha Bunduki, zinaisaidia CCM au zinaiangamiza? Nani yupo nyumba ya huu mchezo mchafu? Tuseme vyombo vya dola havijui hawa ni wakina nani? Mafwele matako yako So kwa akili yao wanajua wanaichafua CHADEMA🤣🤣🤣 CCM chali kifo cha mende Nakulilia Tanganyika.. Tumefika huku?! 😭😭😭😭...
  12. JamiiForums Tanzania Nini kinawafanya gen z kutohudhuria nyumba za ibada?

    Tafiti nyingi zinaonesha kwamba sehemu kubwa ya vijana wa kizazi cha Gen Z hawahudhurii nyumba za ibada (Msikitini&Kanisani) mara kwa mara kama vizazi vilivyopita, lakini si kwamba wote wameacha dini au ibada. Kinachoonekana zaidi ni kwamba wengi wanajiita “spiritual” kuliko “religious”, baadhi...
  13. JamiiForums Tanzania Unaanzaje kuita nyumba ya mwenzio kibanda na haina wadhifa wa nyumba eti kisa ni ndogo sana, kwani nini maana ya nyumba? Analea familia na sio gesti.

    Toa miguu hio uliyoweka kwenye kochi la shemeji yako ukisubiria tamthilia ya kobis. Weka hio simu pembeni ambayo una like picha za sponsor wako huku ukiwa umekaa geto wenzako wako ground wanahangaika. Alafu, Uoneshe definition inayotambulika duniani ya nyumba inavyotakiwa kuwa. Yani mwamba...
  14. JamiiForums Tanzania Kama kidume unapojenga nyumba kabla haujavuka miaka 35 unajiona mwamba, ni feeling ya kibabe sana kushinda ile ya kuhimili round moja kwa dakika 10

    Mapambano mema hustlers!
  15. JamiiForums Tanzania Nyumba niliyohamia wanawake wanaomba omba sana

    Astakafirurahi ndugu zanguni! Baada ya kusindikwa ambakati nzito na mke wangu, niliamua kuhama. Nimehamia nyumba ambayo inatia huruma sana Yaani imejaa wadada wadogo wadogo, na wao wana watoto, sijawahi kuskia bezi la mwanaume likiyoyoma Kinachotia hasira, mtu umeingia ndani kupumzisha fuvu...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kigogo Fresh B Nyumba 200 hazijaunganishiwa umeme tangu 2025, TANESCO Kisarawe wanatupotezea

    Sisi Wananchi wa Kata ya Kigogo Fresh B, Mtaa wa Golani kwa Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda Wilaya ya Ilala mkoani Dar es Salaam tunachangamoto ya umeme. Mpaka leo nyumba takribani mia mbili hazijafungiwa nishati ya umeme na kuna mradi wa REA kutoka Kisarawe kila tukifuatilia tunaambiwa...
  17. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi limlete David Jumbe akiwa HAI, Mashuhuda wanakiri Gari la Watekaji kuingia Moja ya Nyumba hapo Mbweni wakiwa Naye !!!

    Muache ngonjera za kusema Aliruka na kutokomea akiwa na PINGU. Ukimfunga Mtu Míkono kwa namna yoyote ile, UMEMUONDOLEA BALANCE YA KUKIMBIA , HIVO HAWEZ KUA NA UWEZO WA KUKIMBIA KWA KASI HATA KUWASHINDA MAASKARI UHUNI MLOUFANYA KWA POLEPOLE, KWAKUA HAMNA AKILI, NDIO MNAURUDIA ULEULE
  18. JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba Inauzwa Kimara Temboni

    Nyumba Inauzwa Kimara. Mahali: Kimara Temboni, Mtaa wa Mtakuja. Sifa za Nyumba: •Ipo km 1 kutoka barabara kuu ya Morogoro. •Ina chumba chenye choo ndani, sebule na jiko. •Ina mpangaji analipa kodi sh. 300,000 kwa Mwezi. •Ina eneo kubwa mbele. •Usafiri wa aina zote unafika mpaka kwenye nyumba...
  19. JamiiForums Tanzania **USIIGEUZE NYUMBA YA MUNGU KUWA PANGO LA WANYANG’ANYI**.

    Neno la Mungu linasema Mathayo 21: 13 “akawaambia, Imeandikwa, Nyumba yangu itaitwa nyumba ya sala; bali ninyi mmeifanya kuwa PANGO LA WANYANG’ANYI” Umewahi kujiuliza kwanini, kwanini Bwana alitumia huo usemi…. “bali ninyi mmeifanya kuwa PANGO LA WANYANG’ANYİ”. Umewahi kutafakari pango la...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Afariki ghafla akiwa na mpenzi wake kwenye nyumba ya wageni "Guest House" huko mkoani Mara

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara, limetolea ufafanuzi juu ya tukio la kifo cha Chacha Ryoba (45), mkulima na mkazi wa Kijiji cha Kihumbu kilichopo Wilaya ya Bunda Mkoa wa Mara aliyefariki dunia baada ya kudaiwa kupatwa na shambulio la moyo akiwa nyumba ya kulala wageni na mpenzi wake. Jeshi hilo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…