nyumba

  1. E

    JamiiForums Tanzania Nyumba yetu ya familia imepigwa X ya kijani?

    Naomba anayefahamu kuhusu maana ya X ya kijani ni Nini? Maana hapo mwanzo mwaka 2006 nyumba yetu ilivunjwa sehemu yote ya mbele lkn safar hii wamekuja kuweka X ya Kijani. Nyumba yetu hipo barabara kuu eneo la riverside.
  2. JamiiForums Tanzania Nyumba zinapangishwa, magomeni mwembe chai. Dk 5 toka morogoro road

    Ni nyumba za kisasa ( apartments) mpya kabisa. Zipo magomeni mwembe chai. Zipo tatu 1. Self ina room mbili za kulala ( master) na inajitegemea 2. Self na zinajitegemea Maji uhakika kabisa ( reserve tanks zipo Car parking na gates Dalali ni mm mwenyewe Karibu Bei ni Ml 1.2 mwezi Laki 600000/=...
  3. JamiiForums Tanzania Nyumba nzuri ya GHOROFAni (Apartment) INAPANGISHWA UPANGA

    **🏡 -ina gharama nafuu! Vyumba 2 vya kulala (kubwa na zenye nafasi). Bafu na Choo: *Jiko * Sebule: Sebule ya kupumzika/wageni. (ceiling fans) na *Air Conditioner (viyoyozi) (AC) kwa ajili ya joto. ✨ FAIDA ZAIDI: - Bei nafuu: TSh 1,000,000 tu kwa mwezi malipo ya miezi 6 Kwa pamoja ✉️...
  4. M

    JamiiForums Tanzania H Polepole: Serikali ni kama nyumba isiyo na mwenyewe

    Balozi msitaafu Humphrey Polepole amewaomba watanzania wasimuhukumu kwa kushindwa kutoa matokeo mazuri kwenye kazi yake ya Ubalozi wa Tanzania nchini Malawi na baadae nchini Cuba kwa sababu alikuwa hapati ushirikiano wa kutosha kutoka kwa watendaji wa Serikali ya Rais Samia kwani wengi...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Nyumba zinanazo Jengwa Syria,Gaza, na Israel ni nzuri sana.

    Huwa naangalia video za vita hizo nchi wanajenga nyumba nzuri sana na kwa mpangilio mzuri sana. Wana ma-vita yasiyoisha lakini wanaonekana ni watu wenye mipango mizuri sana hasa kwenye Ujenzi. South Afrika nayo wanajitahidi sana, Hapa kwetu unaona majengo mapya lakini hayana mpangilio mzuri...
  6. JamiiForums Tanzania Nyoka Baada ya kuchomoza ndani ya Nyumba

    Bila shaka ule mwendo ulimtisha kila mmoja aliyekuwa ndani ya Nyumba Licha ya jitihada zilizotumika kumtafuta nyoka bila mafanikio Leo Kuna watu watalala masikio yote yakiwa nje wakisikia kila kitakacho gonga juu ya bati ili wawahi kutoka nje kuokoa nafsi zao 😂😂
  7. JamiiForums Tanzania Tofauti ya zamani na sasa katika ujenzi wa Nyumba za kuishi!

    Ukiishi nchi za wenzetu, hakuna mafensi makuubwa ya nyumba labda kama ni nje ya mji. ila hapa kwetu na south, mtu anajenga nyumba na fensi ambayo hadi uingie unapata shida. mara aweke waya za umeme, filimbi za sauti kali ambazo ukipiga mtaa mzima watashtuka kujua kuna hatari kwako iandae na...
  8. JamiiForums Tanzania Nyumba Inauzwa Bahari beach

    Nyumba Inauzwa Bahari beach, Dar es Salaam. Mahali: Mtaa wa Simba/Mugeta. Sifa za Nyumba: *Iko Mita 100 kutoka barabara kubwa ya ununio. *Ina vyumba vitano vya kulala, vyote ni master. *Huduma zote za kijamii zipo. Ukubwa wa Eneo: SQM 1833. Nyaraka: Ina Hatimiliki. Bei: Tzs Milioni 900...
  9. JamiiForums Tanzania Msaada wa namna ya kupata hati ya nyumba mkoa wa arusha

    Habarini Nimepata makazi apa mkoa wa arusha maeneo ya olasiti Tokea nijenge nina mwaka sasa Nilikuwa naomba msaada jinsi gani ya kupata hati ya nyumba Kama mtu ana mtu huku aliopo kwenye hiyo mission anisaidie kuniunga nae Thanks
  10. A

    JamiiForums Tanzania Nauza eneo langu lenye nyumba tatu

    Nimehamia kibaha mji niupendao. Kwangu naona kuna fursa nyingi. Ningependa kupaendeleza zaidi. Nimejenga nyumba nzuri pale kibaha, Nina eneo kubwa ambalo nimejaribu kuliwekea fence. Ila bado Sina umeme na maji.. Kule nilikohama mbezi kwa msuguri nimeacha nyumba tatu: moja ni kumbwa...
  11. JamiiForums Tanzania Nyumba Inauzwa Goba Lilian Kibo Kwa Mwakifulefule

    Nyumba inauzwa Goba, Dar es Salaam. Mahali: Lilian Kibo kwa Mwakifulefule. Sifa za Nyumba: *Nyumba haijakamilika, imefikia kwenye hatua ya umaliziaji. *Iko mita chache kutoka barabara ya Goba. *Iko upande wa kushoto ukitokea mbezi beach, na upande wa kulia ukitokea mbezi stendi ya Magufuli...
  12. JamiiForums Tanzania Nyumba Inauzwa Goba Kwa Robert

    Nyumba Inauzwa Goba. Mahali: Goba Kwa Robert. Sifa za Nyumba: *Ni nyumba mpya anakaa mlinzi tuu. *Ina vyumba vinne vikubwa, kila chumba kina choo chake. *Ina Spanish tiles. *Madirisha ni pvc. *Ina fence(uzio). *Ina vyoo(toilets)5. *Umeme na maji yapo. *The house is new, no one has lived in...
  13. JamiiForums Tanzania Visirani Vinaponza Wake Zetu: Ndoa Nyingi Zinavunjika Kwasababu Washauri Wakubwa Wa Wake Zetu ni Wanawake Walioachika

    Na: Mjumbe wa Nafsi za Watu Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikijiuliza swali moja: Hivi ni lini tutaanza kuwajibika kwa maamuzi yetu binafsi, hasa yale ya kiuamuzi kabisa kama kuingia kwenye ndoa, au kuiacha? Nikiwa mtaa mmoja hapa jijini Dar es Salaam, ubuyu ukamwagwa. Ubuyu si wa kawaida. Ni...
  14. JamiiForums Tanzania FAIDA⏭️AKIBA⏭️ZIADA. Ziada ndio ilipaswa itujengee nyumba, ka-usafiri, etc ila wengi wetu hatutakuja kuiona hio ziada na sio kwamba hatuna jitihada.

    Tunachoambulia ni kuinunua hio ziada kwa kukopa juu ya kukopa, tukitegemea tutachukuliapo kidogo kutoka kwenye akiba ila kiuhalisia tunajikuta tunaanza kuimega na faida pia maana ziada ya kuinunua ni tamu ina gharamas sana. Kinachoendelea ni sisi kubaki katika rotation ya mzunguko wa pesa ambao...
  15. JamiiForums Tanzania Amedai Talaka ili wagawane Mali kumbe mume nyumba zote kaandika majina ya watoto!

    Naishije haya maisha kwani nahisi kuchanganyikiwa. Mimi ni mama wa watoto 5, niliolewa lakini nimedai talaka na imetoka sina hata shilingi mia kaka. Iko hivi, mume wangu ni mfanyakazi wa serikali, ana kipato kikubwa na mara nyingi yuko bize sana kazini, alinifungulia biashara na katika hii...
  16. JamiiForums Tanzania Ndio maana nikiona Familia zinaendeshwa bila Baba hua naumia sana

    Wakuu, leo ngoja nitembee kivingine leo mimi nitaongelea kidogo japo kwa uchache kuhusu Baba km nguzo imara na msingi wa Familia Imara. Ni kwamba Familia yoyote chunguza km unaweza kuchunguza Familia inayoongozwa na Baba inakua haiteteleki wala kupata misukosuko maana Baba likitokea lolote la...
  17. JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba Inauzwa ipo Kunduchi Beach. Bei ni Tshs Bilioni 2

    #houseforsale Nyumba ya gorofa tatu ground floor 1) 1 bedroom en-suite 2) kitchen with separate dish washing room 3) kitchen pantry 4) laundry room 5) computer room 6) entertainment room 7) combined dining room area and sitting room area 8) separate sitting room 9) common toilet first floor...
  18. JamiiForums Tanzania NYUMBA KALI SANA INAUZWA,IPO BAHARI BEACH MTAA WA KISHUA SANA,BEI NI MILLION 450M,MAONGEZI YAPO

    HOUSE FOR SALE: LOCATION: BAHARI BEACH SQM: 1,200 Nyumba Ina vyumba vinne PRICE: 450 Million negotiable. Hati ipo. Hii unfinished house ina Sitting room: 1 Modern windows, ✅ Kitchen, ✅️ Dining room, ✅️ Parking,✅️ Garden, ✅️ Good neighbourhoods, ✅️ 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Hujapitia msoto wa kweli kama hujawahi kuishi nyumba ambayo unajua hawakutaki nyumbani kwao ila tu hauna namna nyingine

    Kama umeishi kwenu au ulikuwa na kwenu penye familia yenu hadi ukaondoka kwenda kuanza maisha yako shukuru sana, watu wengi sana huwa mnachukulia poa kuwa na kwenu lakini ni utajiri mkubwa sana. kuishi nje ya kwenu "YATAKA MOYO" ni bahati kwenda sehemu isiyo kwenu na ukaishi vizuri. Unakaa...
  20. JamiiForums Tanzania Natafuta Nyumba nzuri ya kupanga

    Natafuta Nyumba nzuri ya kupanga Arusha classic appartment 3 bedroom budget 500k maeneo ya njiro Arusha, URGENT
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…