nyumba

  1. stabilityman

    NYUMBA INAUZWA MILIONI 19 CHANIKA ZINGIZIWA NAVYUMBA VIWILI VYOTE MASTER

    NYUMBA INAUZWA MILIONI 19 CHANIKA ZINGIZIWA WILAYA YA ILALA DAR ES SALAAM ENEO: SQM 300 LESSEN YA S|MTAA PHONE 0743 257 669 WHATSAPP """""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""" INAVYUMBA VIWILI VYOTE MASTER SITING ROOM INAJIKO PUBLIC TOILET Ipo jilan na UMEME MAJI SHULE HOSPTAL
  2. Fbn

    Nyumba ya kupanga ila masharti ya kupanga usinywe pombe na usipende kula ovyo

    Nyumba hii kodi bei ndogo ila kutokana na jeografia yake kama kichwa cha habari utakubaliana nayo.
  3. dalalitz

    House4Sale Nyumba yenye vyumba vitatu (3) tshs.165 milioni, Kinyerezi/kibaga

    .....
  4. dalalitz

    House4Sale Nyumba nzuri yakuhamia, vyumba 3, Tshs.60 milioni, Goba muungano

    ...
  5. radhiya

    Nyumba inauzwa Bahari beach

    Nyumba Inauzwa Bahari beach, Dar es Salaam. Mahali: Mtaa wa Simba/Mugeta. Sifa za Nyumba: *Iko Mita 100 kutoka barabara kubwa ya ununio. *Ina vyumba vitano vya kulala, vyote ni master. *Huduma zote za kijamii zipo. Ukubwa wa Eneo: SQM 1833. Nyaraka; Ina Hatimiliki. Bei: Tzs Milioni 900...
  6. ndege JOHN

    Umewahi kuishi nyumba ambayo kila siku wanakula bufee kama kwenye sherehe

    Aisee watu wanakula maisha sio poa Kuna ndugu angu Fulani balozi wa nchi Fulani na ana biashara ya vituo vya mafuta kwake kila siku chakula yu cost yake ni laki 8 asubuhi watu wanaenda sokoni kununua vitu quality wanavileta jikoni wapishi wapo watano wanapika kuku,maharage, ndizi...
  7. Dalali wa kimataifa

    House4Sale Nyumba ya ghorofa inauzwa Vikindu mkoa wa Pwani🇹🇿

    GHOROFA LINAUZWA GHOROFA LIPO VIKINDU MKOA WA PWANI GHOROFA NI LA VYUMBA V5 CHINI KUNA VYUMBA V3 VYOYE SELF SITTING ROOM DAINING ROOM JIKO STOO PUBLIC MAJI ELECTRIC FENCED JUU VYUMBA V2 ZOTE MASTER NA SITTING ROOM BALCONY ENEO SQM 1000 UMILIKI TITTLE DEED BEI MIL 280 KARIBU SANA MTEJA...
  8. stabilityman

    Ujue msingi wa Nyumba mzuri ni upi?

    Msingi wa nyumba ni sehemu ya chini kabisa ya nyumba ambayo hujengwa kwa kusudi la kuweka mkazo na mzigo wa nyumba yote. Msingi hufanya kazi muhimu ya kusambaza uzito wa nyumba kwa usawa kwenye ardhi na kuhakikisha kuwa nyumba inakaa imara na thabiti. ### Madhumuni ya msingi wa nyumba: 1...
  9. Smart Finance

    Kosea Kujenga nyumba lakini usikosee kuoa

    Baada ya kuishi pamoja kwa miaka 16 bila ndoa rasmi, Mkurugenzi wa lebo ya “Cash Money Records”, Birdman (56), na mwimbaji mashuhuri wa RnB, Toni Braxton (57), waliamua kufunga ndoa kimya kimya wiki iliyopita. Hata hivyo, ndani ya siku 3 tu baada ya ndoa hiyo, Toni Braxton aliwasilisha maombi...
  10. ELI COHEN

    Nakumbuka miaka ya 2000 uraibu kwa njia hii ulishika kasi sana na ilikuwa wazi wazi

    Mtu alikuwaga akifika hii hatua basi ilikuwa inahesabika "ITS OVER". Visa bado vipo ila sio kama ilivyokuwa miaka ya nyuma, nafikiri hizi sober houses zimeokoa vijana sana kwa kiasi chake Hawa jamaa walikuwa na uwezo wa kusimama kwa kujipinda kwa style hio hio kwa muda mrefu bila hata kuyumba...
  11. stabilityman

    Ramani hii ya vyumba 2 vya kulala

    Yes karibu hii ya vyumba 2 vya kulala 1 master Plain room seble Jiko Dinning public toilet nichek 0743 257 669 Au nichek whatsapp wa.me//255743257669
  12. Hharyson

    NYUMBA YAKO INAHITAJI KUWA NA MAZINGIRA BORA SANA LET US DESIGN AND BUILD YOUR LANDSCAPE 0624004650

    WE DO BUILDING DESIGN AND CONSTRUCTION LANDSCAPE ALSO TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM CALL US +255624004650
  13. Sonship

    Nyumba inauzwa Kibamba Gogoni

    Nyumba inauzwa Kibamba Gogoni Ina vyumba 3 kimoja master Ipo ndani ya fensi Sebule,dining &, jiko Nyaraka ni Mikataba ya mauzino ya serikali za mitaa Bei mln 50 0775 179905
  14. Half american

    Kwanini kwenye nyumba za kupanga ujenzi wa vyoo vizuri hauzingatiwi?

    Ujenzi wa choo kizuri na salama kwa matumizi sio jambo linalozingatiwa sana hasa kwenye nyumba za kupanga hasa hizi za bei za kawaida (10K-150K). Unakuta nyumba nzuri na mazingira n mazuri ila chooni utadhani kulisahaulika wakafosi kujenga ili choo kiwepo. Vyoo vingi ni vidogo sana, na namna...
  15. radhiya

    Eneo lenye Nyumba ya zamani linauzwa Temeke

    Eneo lenye Nyumba ya zamani linauzwa. Mahali: Temeke karibu na shule ya Yemen, Mtaa wa Mganda. Eneo liko mita chache kutoka barabara ya Chang'ombe. Ukubwa wa Eneo: SQM 548. Bei: Tzs Milioni 400. Mazungumzo yanaruhusiwa. Nyaraka: Hatimiliki. Gharama ya kwenda kuona Eneo itahusika. Mawasiliano...
  16. dalalitz

    NYUMBA YENYE VYUMBA VITATU (3) TSHS.27 MILIONI, KINYEREZI-LIMBANGA.

    ....
  17. dalalitz

    NYUMBA MPYA, VYUMBA 5, MADUKA 2, TSHS.37 MILIONI, KINYEREZI-MWISHO.

    ...
  18. Scared

    Nyumba ya chumba, sebule, jiko, choo inaingia bati mita ngapi?

    Naombeni Kwa mlliojenga au mafundi mnaojua chumba sebule jiko choo inaingia bati mita ngapi maana nimeuliza bati naona kichwa kinawaka moto aisee mwenye kujua anisaidie nimeuliza alafu mita 1 Bei 27000 kwahiyo bati Moja Lina mita 3 sawa na 81000 jumla hii ni hatari aisee
  19. dalalitz

    Nyumba mpya ya kisasa, vyumba vitatu (3) inauzwaTshs.330 milioni, Madale

    ....
  20. Youbettersleep

    HABARI MABOSS ZANGU : JE! UNAHITAJI RAMANI YA NYUMBA AU CHOCHOTE KATIKA UJENZI? BONYEZA 👇👇👇

    Habari! Nawakaribisha sana kwa yeyote mwenye kuhitaji ramani ya jengo aina yoyote ikiambatana na 1. JENGO LOLOTE (RESIDENCIAL AND COMERCIAL BUILDING) 2. Makadirio ya UJENZI (BOQ) 3. KUJENGEWA NYUMBA UKINUNUA MATERIALS AU KUTUKABIDHI PESA 4. USIMAMIZI WA JENGO LAKO BEI ZETU NI NAFUU SANA...
Back
Top Bottom