Ni huzuni moto ambao chanzo chake hakijajulikana umezuka na kuteketeza nyumba moja yenye vyumba saba, ikiwa na wapangaji watano katika maeneo ya Gogoni, Kata ya Kibamba, Wilaya ya Ubungo mkoani Dar es Salaam, na kusababisha hasara kubwa ya mali za wapangaji waliokuwa wakiishi humo.
Hapa kama ni...
Mwanamke mmoja anayefahamika kwa jina la Veronica Muhale (40), Mkazi wa Kata ya Endagaw, Wilaya ya Hanang’ Mkoani Manyara, anadaiwa kumjeruhi Mume wake Josephati Kasi (45) kwa kuzikata kwa kisu sehemu zake za siri na kuzitupa nje ya Nyumba.
Imeelezwa kuwa chanzo cha Veronica kufanya hivyo ni ni...
Sio shabiki wa chama chochote cha siasa ila kuna haja ya kuskilizana, nikiangalia machafuko ya uko Congo, Msumbiji, bado tuna nafasi ya kua wamoja.
Polisi kusema wamejipanga, raisi kasema yeye ndo amiri jeshi mkuu, waandamanaji nao wanaabaki na msimamo wao, vp kwa sisi wastarabu non. Allied...
Familia moja kutoka Uingereza imehama kwenda umbali wa maili 5,000 baada ya kugundua kwamba walikuwa wanaishi “kwa kusurvive tu” wakiwa Uingereza. Natalie Furk, mwenye umri wa miaka 35, na mumewe James, mwenye umri wa miaka 37, pamoja na watoto wao wawili, walihamia kusini mwa Afrika baada ya...
Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) umepanga kuwaondoa watumishi wa umma na wapangaji wote wanaodaiwa na wakala huo, iwapo hawatalipa madeni yao ifikapo Septemba 30, 2025.
Mtendaji Mkuu wa TBA, Arch. Daud Kondoro, amesema kuwa zoezi la kuwaondoa wadaiwa hao litazingatia mikataba iliyowekwa na...
Jamani wandugu hivi ni kwanini unaweza kujenga nyumba ya kuishi ikawa iko tayari kwa matumizi au nyumba ulikuwa unaishi halafu ukaondoka kwa muda mrefu bila mtu kuishi kwenye ile nyumba huwa ina haribika ??
Kuna sayansi gani hapo ?? Kuna ofisi tumejenga ikaisha ila hatujahamia humo kwasababu...
Watu wa maisha ya kawaida wanaongoza kulalamika Kulogwa, Kuzimia Makanisani na Misikitini na kulia na neno Shetani kucha kutwa huku Matajiri wakiwa kimya
Wanaongoza kutia huruma na kujiona wanateswa na kutendwa vibaya na kila mtu aliyeko mbele yao kwao ni mbaya
Wanaongoza kukesha kwa Waganga...
Kwa nini masikini wengi katika nchi hii, wengi wao ni wale wapenda CCM?
Mapagala mengi ya wananchi masikini, ndio yaliyojaa bendera za CCM mijini mpaka vijijini cha ajabu ni kwamba, wana CCM wenye uwezo mzuri, hawana hizo bendera kwenye nyumba zao!
Na masikini wengi ndio waliozaliana kwa wingi...
Habarini team.
Kwa niaba ya wateja wetu, Tunatafuta Nyumba za kununua maeneo mbalimbali ndani ya Dar es Salaam.
Nyumba ziwe na Hatimiliki.
Nyumba zikiwa na wapangaji itapendeza zaidi.
Nyumba ziwe kwenye hali ya kuridhisha, zisiwe zimechoka sana.
Bajeti ya mteja kuanzia sh.Mil 30 - Mil 70...
Mwenye nyumba ya Malawi alikuwa katili sana na mbaya zaidi hata wale vijana wake wa shambani walikuwa hawamsikilizi msaidizi wa kazi za ndani! Kwakuw msaidizi wa kazi za ndani alikuwa kashalalwa na mmoja wa watumbuizaji, pamoja na ulevi wake mmoja wa vijana wa walinzi hapo nyumbani Naye alipita...
Asubuhi nilipokea Message ya huyu bwana kunikumbusha kuhusu kodi. Basi nikahisi mwenye nyumba amejichanganya tarehe, maana natakiwa mlipa October. Nikampigia kwa namba yake niliyoisave. Akakana kuwa hajanitafuta.
Nikajua tu, jamaa ni mpigaji. Nikaamua acha nimu-enjoy.
Anapiga simu kufuatilia...
Miaka Minne Ya Mama Nyumba 159 za walimu wa shule za msingi zimejengwa katika Mkoa wa Songwe.
Ujenzi wa nyumba hizo umewezesha walimu kukaa karibu na shuleni hivyo kutumia muda mwingi kufundisha wanafunzi.
#kurayakwanzakwasamia
#haijapatakutokea
Nyumba Inauzwa Goba.
Mahali: Goba Kwa Robert.
Sifa za Nyumba:
*Ni nyumba mpya anakaa mlinzi tuu.
*Ina vyumba vinne vikubwa, kila chumba kina choo chake. *Ina Spanish tiles.
*Madirisha ni pvc.
*Ina fence(uzio).
*Ina vyoo(toilets)5.
*Umeme na maji yapo.
Ukubwa wa Eneo: SQM 880.
Nyaraka: Mkataba...
Nyumba Inauzwa Bahari beach, Dar es Salaam.
Mahali: Mtaa wa Simba/Mugeta.
Sifa za Nyumba:
*Iko Mita 100 kutoka barabara kubwa ya ununio.
*Ina vyumba vitano vya kulala, vyote ni master.
*Huduma zote za kijamii zipo.
Ukubwa wa Eneo: SQM 1833.
Nyaraka: Ina Hatimiliki.
Bei: Tzs Milioni 900...
Waungwana na wenye busara naomba mnishauri maana sasa hii imenizidi. Iko hivi 👇
Nimehamia kwenye hii nyumba mwezi wa 7 nikitokea mkoani huko nimekuja Dar kutafuta maisha. Sasa siku za awali kila kitu kilikuwa poa ila nilipolipa tu kodi mama mwenye nyumba akaenda kununua sabufa mpya Kariakoo...
Nyumba inauzwa Goba, Dar es Salaam.
Mahali: Lilian Kibo kwa Mwakifulefule.
Sifa za Nyumba:
*Nyumba haijakamilika, imefikia kwenye hatua ya umaliziaji.
*Iko mita chache kutoka barabara ya Goba.
*Iko upande wa kushoto ukitokea mbezi beach, na upande wa kulia ukitokea mbezi stendi ya Magufuli...