nyuma

Tom Nyuma (died January 26, 2014) was a Sierra Leonean military commander and the chairman of the Kailahun District council. He was elected as chairman of Kailahun District council on July 6, 2008 with 87% of the vote running on the opposition Sierra Leone People's Party (SLPP) ticket.
Nyuma was born in Kailahun, and was very popular in the Southern and Eastern regions of the country. In March 2012, Nyuma left the SLPP and joined the All People's Congress (APC) of President Ernest Bai Koroma.He was at the rank of Lieutenant Colonel in the Republic of Sierra Leone Armed Forces before he retired. On 29 April 1992, Nyuma was one of the young officers in the Sierra Leonean army who ousted the APC government led by Joseph Saidu Momoh. They established the National Provisional Ruling Council (NPRC) to run the government. During the NPRC administration, Nyuma was the commander of the Eastern Province. He was a member of the Kissi ethnic group and an alum of Ohio State University in Columbus, Ohio U.S.A.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Uchapakazi wa Hayati Magufuli pamoja na usaliti ya viongozi wa CHADEMA umekimaliza chama

    Ndugu wadanganyika wenzangu, Ilani ya uchaguzi ya CHADEMA ya mwaka 2015 pamoja na mambo mengine, ilikuwa na mambo yafuatayo; 1. Kujenga reli mpya na kukarabati zilizopo kwa viwango vya kisasa kwa kuzingatia maslahi ya nchi. 2. Kuboresha bandari zilizopo na kujenga mpya kama vitega uchumi vya...
  2. JamiiForums Tanzania Tusidanganye umma kuwa na bunge la kuikosoa serikali mpaka wapinzani wawe bungeni. Huko nyuma bunge la chama kimoja liliisimamia serikali vyema

    Yaani hawa wanaChadema waliogwuza bunge ndio iwe msaada kwa Watanzania? Acheni kudanganya umma bana. Mbona akina Njelu kasaka na wenzao waliweza kuikosao na kuisimamia serikali wakati wa chama kimoja. Ishu ya msingi ni kuwa na wazalendo na wenye uchungu na taifa letu. Mnadai kuna demokrasia...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Profesa Wajackoya: Raila Odinga alikuwa na CHADEMA akalega lega amerudi tena

    Nchi na mataifa mbalimbali sasa wanaendeleza hamasa ya kuungana na chama chenye malengo ya kuongoza nchi kwa misingi ya amani, umoja, na upendo, na maendeleo pia na kuimarisha diplomasia. Hii ni kutokana na itikadi na misingi mizuri ya kuanzishwa kwake. Prof Wajackoya, nguli wa sheria na...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Miaka ya nyuma mganga aliniambia kuwa...

    Malaika wangu hawapendi ninywe Tungi, hili jambo limenishangaza kwa muda mrefu sana, sikuwa ni mtu wa dini sana ila nikinywa pombe nilikuwa nakumbana ni mikosi sana. Baadaye nikienda kwa mama mmoja mganga akaniambia wewe una kama malaika fulani kichwani kwako hawapendi unywe pombe. Sasa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nini kimejificha nyuma ya wamiliki wa gesti na loji kuvipa vyumba vyao majina ya wanyama au mikoa?

    Nikikuta chumba kimeandikwa Jina la Mnyama Kifaru au Nyati au Chui au Mkoa wa Kagera au Kigoma au Singida au Dodoma huwa nafurahi na nakuwa na Mzuka na hata (aliyeingia katika Mfumo wangu) nikimaanisha huyo anayekwenda Kuwajibika nami Kibaiolojia humo cha Moto hukiona na pengine hata kujuta...
  6. JamiiForums Tanzania Chuki dhidi ya Wayahudi na Wakurdi kuna nini nyuma ya pazia?

    Najaribu kuangalia kwa mrejeo wa kumbukumbu za historia ya Dunia, hii chuki dhidi ya Wayahudi na Wakurdi imekuwepo toka enzi na enzi lakini haijawahi kuwa na mafanikio chanya au kuna tofauti ndogo kati ya wivu na chuki au chuki na wivu. Nazungumzia wivu wa kitamaduni/ wivu wa kisiasa/ wivu wa...
  7. JamiiForums Tanzania Tuzungumze sababu zinazorudisha nyuma ukuaji wa e-commerce(Biashara za mitandaoni Afrika)

    Kabla hatujaenda kwenye maada ngoja tumsaidie maana ya e-commerce kwa asiefahamu: (In a layman way) e-commerce ni uuzaji/ununuaji wa bidhaa au huduma kwenye mtandao mahala popote. Mfano: Umekaa kwenye kochi unachukua simu/laptop unaingia mtandaoni unaagiza bidhaa unaletewa mpaka nyumbani kwako...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa BAZECHA alisema juu ya ufisadi wa Mwigulu. Leo hii anajikwapulia anavyotaka

  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini hizi Jogging Clubs zinafanyiwa sana 'Promo' Maredioni? Je, kuna yaliyojificha nyuma ya ufanyaji Mazoezi?

    Kuna Jogging Club moja mahala fulani Mwenyekiti na Katibu wanatuhumiana kwa Mmoja kumzidi Mwenzake idadi ya Wanawake aliyolala nao. Na katika Jogging Club hiyo hiyo Wanawake wakikimbia muda Wote Wanakuwa Wananuniana kwani wapo ambao Wanawaibia Wenzao Waume na Wapenzi Wao. Na katika Jogging...
  10. JamiiForums Tanzania Wagner wanyofoa sehemu za siri za mpiganaji aliyetaka kurudi nyuma kwa uwoga

    Hii inaonyesha hali ilivyokua ngumu kwa Mtanzania aliyeuawa akimpigania Putin, yaani ni aidha usonge mbele ufe au unyofolewe sehemu nyeti...yaani mapum.bu The merciless tactics of the Wagner Group in Ukraine have been exposed in intelligence reports this week, which learned a mercenary member...
  11. JamiiForums Tanzania Siku Nilipoiona Simu Kwa Mara ya Kwanza Odeon Cinema 1955 au 1956 au Nyuma ya Hapo Kidogo Sijavuka Miaka 4

    SIKU NILIYOIONA SIMU KWA MARA YA KWANZA ODEON CINEMA 1955 AU 56 AU NYUMA YA HAPO KIDOGO SIJAVUKA UMRI WA MIAKA MINNE Nakumbuka kama jana vile. Nilikuwa mgonjwa na baba yangu mdogo Mzee Issa akanichukua kunipeleka hospitali. Ilikuwa usiku lakini si usiku mkubwa kiasi cha saa moja hivi. Nina...
  12. JamiiForums Tanzania Ripoti: Serikali za Afrika zimerudi nyuma kwenye Utawala wa Bora na Demokrasia

    Ripoti Mpya kuhusu Utawala Bora barani Afrika iliyotolewa na Taasisi ya Mo Ibrahim imeonesha kwa miaka 3 iliyopita, Maendeleo ya Binadamu na Uchumi yameshuka kutokana na kudorora kwa Demokrasia na hali ya Usalama. Pia, imeonesha Serikali za Nchi nyingi zimekuwa na Ukiukaji wa Haki za Kiraia...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Genge la wahuni liliko nyuma ya feisal limchangie pia pesa za kwenda CAS na akishindwa na uko pia liwe tiyali kumlipia fidia atakayotakiwa kulipa

    Mjadala wa feisal kwa hapa nchini umefungwa rasmi na kamati ya sheria na hadhi za wachezaji baada ya kutoa uamuzi wake kuwa ni mchezaji halali wa yanga kwa mujibu wa mkataba wake aliosaini akiwa na akili timamu, na kesho jumatatu watatoa ufafanuzi wa kisheria uliopelekea feisal abakishwe yanga...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri wa Kilimo nini kipo nyuma ya pazia? Mbezi ya Kimara maharage kilo 2000, unga 2000, mchele 2900

    Kichwa cha habari kipo wazi tunataka kujua vitu vinapanda bei chanzo ni Nini aise? Mwendo kasi nao umepanda ingawa sio wizara yako, jaman!
  15. JamiiForums Tanzania SI KWELI Picha ya Freeman Mbowe akiwa na Rais Samia waliyopiga Ikulu inaonesha asali nyuma

    MADAI Kumekuwepo na picha inayozunguka mtandaoni ikimuonesha mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Freeman Mbowe akizungumza na Rais Samia huku mandhari ya nyuma ya picha hiyo kukiwa na chombo chenye asali ndani yake. Ukweli wa picha hii upoje? Picha inayodaiwa kuwa na chombo chenye asali Picha...
  16. JamiiForums Tanzania Mpaka mwanamke aharibu, basi nyuma yake kuna mwanaume/wanaume walishaharibu

    NB.. siandiki haya Kwa sababu labda nawapendelea Wanawake , au natafuta Wanawake, la Hashaa, Nina Mke na nina Wanawake zangu Kadhaa huku nje tunasogeza life bila stress !!. Turudi kwenye Mada,. Unajua tangu ulimwengu kuumbwa, Mwanaume akapewa ,Ufalme, Uongozi ,Umiliki na Utawala Kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Maswali yenye Utata Kifo cha Balozi C. Mushi. Nini kipo nyuma yake?

    KUTOKA KWA MALISA GJ Nimejiuliza maswali kadhaa nikakosa majibu; 1. Balozi Mushi alikua anajiendesha mwenyewe? Tena usiku wa manane? Protocal za kidiplomasia zinasemaje, Balozi anapokua na safari binafsi? Je alikua peke yake? 2. Kama ajali ni uso kwa uso means lori lilikua linatoka ielekeo wa...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Masikhara ya JK nyuma ya uwepo wa Makamba nionyeshe rafiki nikwambia wewe mtu wa aina gani

    Wazungu wanao msema usemao nionyeshe rafiki yako nikwambie wewe ni mtu wa aina gani. Maana yake marafiki zako ndio wanaokutambulisha mbele ya wastaarabu. Ni msemo umekuwepo kwa miaka mingi japo unajulikana kwa wale wasomaji wa vitabu vya kingereza. Mwalimu Nyerere alikuwa na Hayati Rashid...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa matokeo haya ya wajumbe wa NEC, kipo kitu nyuma ya Pazia, Mwenyekiti shtuka

    Uchaguzi umekwisha , na wajumbe wa NEC wamechaguliwa. Itoshe kusema kanda ya ziwa ndio walio shinda kwa kurudi na wagombea wao wote. Matokeo Uchaguzi wa Wajumbe wa NEC-CCM Kwa Upande wa Tanzania Bara ๐Ÿ‘‡๐Ÿผ๐Ÿ‘‡๐Ÿผ๐Ÿ‘‡๐Ÿผ๐Ÿ‘‡๐Ÿผ๐Ÿ‘‡๐Ÿผ Mkutano wa kumi wa CCM umefanyika na haya ndio majina ya wajumbe waliochaguliwa...
  20. JamiiForums Tanzania Green Card Makulilo Lottery

    Vijana changamkieni fursa adhimu ya kwenda na Kuishi Marekani. Full Raha kule hakuna mateso kama Nangurukuru
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ