Shirikisho la Riadha Tanzania (RT) limeeleza kusikitishwa na hatua ya kumuengua mwanariadha Alphonce Simbu katika uchaguzi wa Kamisheni ya Wachezaji ya Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC), kwa madai ya usaliti.
Rais wa RT, Silas Isangi, akizungumza na TBC Digital jijini Mwanza, amesema sakata...