nyuma

Tom Nyuma (died January 26, 2014) was a Sierra Leonean military commander and the chairman of the Kailahun District council. He was elected as chairman of Kailahun District council on July 6, 2008 with 87% of the vote running on the opposition Sierra Leone People's Party (SLPP) ticket.
Nyuma was born in Kailahun, and was very popular in the Southern and Eastern regions of the country. In March 2012, Nyuma left the SLPP and joined the All People's Congress (APC) of President Ernest Bai Koroma.He was at the rank of Lieutenant Colonel in the Republic of Sierra Leone Armed Forces before he retired. On 29 April 1992, Nyuma was one of the young officers in the Sierra Leonean army who ousted the APC government led by Joseph Saidu Momoh. They established the National Provisional Ruling Council (NPRC) to run the government. During the NPRC administration, Nyuma was the commander of the Eastern Province. He was a member of the Kissi ethnic group and an alum of Ohio State University in Columbus, Ohio U.S.A.

View More On Wikipedia.org
  1. P

    JamiiForums Tanzania Kama unasumbuliwa na aina hii ya vipele nyuma ya shingo/kisogoni ipo dawa rahisi sana

    Mimi ni Moja ya watu waliohangaika sana na hivi vipele/vidonda kwa mda mrefu sana. Nimetumia Kila dawa za kienyeji mpaka sindano nimechoma ila hola sikupona. Ila nilivyogundua huu mchanganyiko wa dawa 2 vidonda vilikauka haraka ndani ya siku nne tu za mwazoni now niko kabisa . Dawa hii...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Miaka kadhaa nyuma Usimkatie tamaa Mtoto/kijana wako?

    Miaka 20s iliyopita, Mlango unafunguliwa mwalimu wa biology anaingia akiwa na mitihani ya kidato cha kwanza. Mwalimu anasalimia darasa na kutangaza matokeo wa kwanza anamtangaza kapata 99% na wa mwisho kapata 0% , kisha anaanza kugawa karatasi Wakati namwangalia mwalimu anagawa karatasi naona...
  3. JamiiForums Tanzania Je! Ni one mistake, one goal au kuna mpango nyuma?

    Yaani kitendo cha makamu Rais kumtembelea mstaafu ambaye kila manung'uniko mabaya yako kwake kimezidi kushangaza pale wawili hao kuonekana ,pamoja na maneno kuwa makamu kaandika barua ya kujiuzulu mara kagoma yaani hakuna kinachojulikana kulikoni.. Kitendo cha makamu kwenda kumtembelea...
  4. JamiiForums Tanzania Vijana mkipata nafasi ya kuji attach kwenye royal family, Usirudi nyuma

    Vijana wenzangu mjitahidi sana kuyaelewa maisha. Maisha ya duniani yana formula na hii formula ndio inawafanya baadhi kufanikiwa na kuwa mbele. Ni muhimu pia wakati una date angalia familia na utulivu wa huyo mdada. Kuna vijana watatu miaka ya hivi karibuni wameonesha maturity kubwa mno ...
  5. JamiiForums Tanzania Nyuma ya fake id kuna nafsi zetu

    Habar za siku ya nane nane,na kwa wanasimba wenzangu leo ndio Ile sikukuu yetu ya kipekee kabisa,tuwe proud kuwa wanasimba daima NGUVU MOJA. Mara nyingi sana hapa jf utasikia kauli kama Watu wenyewe tunatumia fake id msichukulie mambo serious au kauli kama Watu wenyewe tunatumia utambulisho...
  6. JamiiForums Tanzania Nyuma ya fake id kuna nafsi zetu

    Habar za siku ya nane nane,na kwa wanasimba wenzangu leo ndio Ile sikukuu yetu ya kipekee kabisa,tuwe proud kuwa wanasimba daima NGUVU MOJA. Mara nyingi sana hapa jf utasikia kauli kama Watu wenyewe tunatumia fake id msichukulie mambo serious au kauli kama Watu wenyewe tunatumia utambulisho...
  7. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Veterinary Interns Tanzania Tunaachwa Nyuma – Serikali Isikie Kilio Chetu

    Mimi ni mmoja wa wanafunzi wa Shahada ya Udaktari wa Mifugo ambao tunatarajia kufanya internship ya mwaka mmoja kabla ya kupata usajili wa kufanya kazi kama madaktari wa mifugo. Leo tumekutana na Naibu Msajili wa Baraza la Madaktari wa Mifugo Tanzania (VCT) ambaye alitueleza utaratibu wa...
  8. JamiiForums Tanzania Askofu Mwagala: Vijana Wakirudi Nyuma Taifa Litapoa Tunahitaji Nguvu Yao

    Sehemu ya maoni ya Mhashamu Vicent Mwagala Askofu wa Jimbo Katoliki Mafinga juu ya mapendekezo ya Vijana katika Mkutano Mkuu wa 21 wa Amecea.
  9. H

    JamiiForums Tanzania Hivi watu waliendaje mbinguni miaka ya nyuma kabla ya ujio wa yesu ambaye ndiyo njia ya kwenda mbinguni?

    Tujitafakari!!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ni jeuri ya pesa ? Gachuma, tajiri wa Mwanza kampeleka Diamond Tarime kwajili ya Birthday wakati angehitajika harusi ya mtoto wa tajiri wa Katoro

    Tajiri wa Katoro sio mtu wa kupenda unyonge! Hapana kabisa! hana dogo, anapenda kujulikana kwamba ana mkwanja mrefu kama mguu wa twiga! Na usidhani ni maneno tu, tuliona video wiki iliyopita zilizotuteka headlines mitandaoni. Kwenye sendoff ya mtoto wake alianza kwa kum book Ali Kiba na wala...
  11. JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana kuona watu wanaweka matumbo mbele na kuiacha Tanzania nyuma

    Yaani unatumia fedha za walipakodi kumfurahisha mtu ambaye kesho atatoka madarakani. Hebu fikiria kuisaidia shule ambayo vizazi na vizazi vinasema, hospital ambayo wananchi watatibiwa. Kumtumikia kiongozi wa juu ni utumwa tumikiwa wananchi.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuna wimbi la kuwaaminisha vijana wa Kiafrika kuwa serikali zao hazifati haki za binadamu

    Tais Samia amesema kuwa Tanzania wanafuata haki za binadamu kikamilifu. Hayo ameyasema Rais Samia leo, 13 Julai, 2026
  13. JamiiForums Tanzania Imani inapo dhalilishwa: Je ni nani yuko nyuma ya sakata la Ostaz Juma na Shehe Kishk?

    Sakata la watu wawili linachukua sura mpya kila uchao..... Na kila anajitokeza kuliongelea ama anazidi kuharibu ama anazidi kukoleza moto.. Na lisipodhibitiwa sasa linaweza kuja kuleta mgawanyiko mkubwa ndani ya imani moja ama madhara makubwa Sasa kwenye hili.. Inayoumizwa ni imani. Kwakuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Ongezeko la Wanawake kujifungua kwa njia ya upasuaji ni fasheni, presha au sababu za kiafya?

    SAFARI ya uzazi, ambayo kwa familia nyingi hutarajiwa kuwa ya matumaini na furaha ya kumpokea mtoto imeanza kugubikwa na hofu, mashaka na maswali yasiyo na majibu katika baadhi ya hospitali nchini. Kwa baadhi ya wazazi, chumba cha kujifungulia kimegeuka kuwa eneo la shinikizo, maamuzi ya haraka...
  15. JamiiForums Tanzania Nani wako nyuma ya hizi ID mpya hapa JF maana zinapost non-sense za kiwango cha juu sana

    Kila siku kuna ingizo jipya Nani yuko nyuma ya hizi ID au ni mpango maalum wa kupoteza maboya decoy NB : Jf is threat to the throne
  16. JamiiForums Tanzania Turudi nyuma huyu Okello inaonyesha Historia ya Africa mashariki mbona ina mkwepa

    Ili swala lipo uganda,lipo kenya na visiwani na sijajua tanzania. Ila mimi sio muelezaji mzuri kuandika ila naleta mafail ambayo tuanze kuulizana kwanza. Ina wezekana kuna nguvu kubwa ambayo hata walifikisha haya walifutwa nchi hizi zote tatu Africa mashariki na kwa nini waliuungana kwa uwoga
  17. JamiiForums Tanzania CHADEMA shikilieni hapohapo watanzania tupo nyuma yenu

    Napenda kuwatia moyo kuwa katika mapambano haya ya kudai Haki na usawa katika nchi hii hampo peke yenu. Mwamko ni mkubwa sana huyu nyoka CCM apondwe kichwani afe. People's, people's, people's Powerrrrrrrr!!!!!!!!!¡!!!!!!!!!!!!!!!
  18. JamiiForums Tanzania Je kurudi nyuma kwa sukuma gang(Team JPM) kutaathiri mwitikio ya Maandamano 7/7?

    Habari za Sabato! Harakati na siasa ni kama mchezo wa Draft au wale wakulungwa wanacheza Chess games. Mtu yeyote anayejua kucheza Draft kikamilifu basi harakati na siasa hazitamsumbua. Kwenye Chess au Draft watu wengi huziona Kete. Lakini sisi wabobevu hatuishui kuziona Kete kama kete. Bali...
  19. JamiiForums Tanzania Nani yupo nyuma ya vuguvugu la kuvunja Muungano

    Hamjambo! Miezi ya hivi karibuni kumekuwa na kelele na kauli nyingi zenye mrengo wa kuuvunja muungano. Nani yupo nyuma ya vuguvugu hilo? Kina nani wanatarajiwa kuwa wanufaika baada ya muungano kuvunjika? Nafahamu kuwa wahusika wakuu watakuwa miongoni mwa Wanasiasa hasa ambao majina yao hayapo...
  20. JamiiForums Tanzania Miaka 6 ya Ahadi Hewa: Kituo cha Simu cha NIDA Kinafanya Kazi ya Kasuku au Kuna Siri Gani Nyuma ya Vitambulisho?

    Wana-JamiiForums, Nimefika kikomo cha uvumilivu. Naandika post hii kwa hasira, masikitiko na maswali mengi ambayo naamini mimi siyo mhanga pekee katika nchi hii. Mnamo mwaka 2020, nilikamilisha taratibu zote za usajili wa Kitambulisho cha Taifa (NIDA). Nilipigwa picha, nikatoa alama za vidole...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…