nyota

Nyota is a given name. It means star in the African languages Swahili and Lingala.People, animals, companies and fictional characters with this name include:

Nyota Inyoka (1896–1971), French-Indian dancer and choreographer
Nyota Ndogo, Kenyan musician
Nyota (Bonobo), male Bonobo born at the Language Research Center at Georgia State University
Nyota Uhura, fictional Communications Officer in the original series of Star Trek
Nyota, wedding invitation and accessories manufacturer and exporter

View More On Wikipedia.org
  1. Amsha Ulimwengu wako 🪐 Nyota yako ndio inakupa nguvu. Jiulize, ni uhalisia gani unaochanua ndani yako?

    Maisha ni nguvu na mwenye nguvu ndio anakuwa mtawala na mtawala ndio anakuwa na mamlaka . Sio kwamba watu awakuoni Wala awakuheshimu Bali kuna kitu ndani Yako ambacho Bado ujakiamsha kimelala na kadiri kinavyo lala heshima Yako pia inapungua kidogo kidogo . Heshima sio kitu kinacho tafutwa ni...
  2. U

    Jenerali wa kwanza mwenye nyota nne mwenye asili ya Afrika ateuliwa jeshi la Navy Marekani tangu miaka 246 ya kuanzishwa jeshi hilo

    Semper Fidelis. In the Marine Corps, under President Donald J. Trump color does not matter. Merit does. For the first time in its 246-year history, the U.S. Marine Corps has promoted a Black officer to the rank of four-star general. General Michael E. Langley has made history. Commissioned...
  3. Xxxtentacion nyota iliyozimika mapema 🕊️

    Zikiwa zimepita siku 6 tangu tukumbuke kumbukumbu ya kuzaliwa ya rapper XXXTENTACION (Jahseh Dwayne Onfroy), aliyezaliwa tarehe 23 Januari 1998 nchini Marekani. Alijulikana kwa muziki wake uliogusa hisia za vijana wengi duniani, akichanganya Hip-Hop, Rock na R&B. Nyimbo zake zilizungumzia...
  4. TANZIA Leung Choi-Sang nyota wa filamu ya kung-fu hustle afariki dunia

    Ndugu wana jukwaa, Leo ni siku ya huzuni tunapopokea habari za kuondoka kwa mmoja wa magwiji wa kweli wa filamu za mapigano kutoka Hong Kong—Leung Choi-sang. Kwa wale tuliozaliwa na kukua tukitazama mikanda ya VHS na filamu za kusisimua za miaka ya 70 na 80, Leung hakuwa mwigizaji tu, bali...
  5. Mwaka 2026 katika numerolojia: Mwanzo mpya na nyota ya matumaini

    Katika numerolojia namba ndiyo siri na nguvu itawalayo maisha kama nilivyowahi kuandika juu ya mwaka 2025 ni njia ile ile ninayoitumia kuhesabu mwaka wa 2026: 2 + 0 + 2 + 6 = 10, na kisha jumlisha tena: 1 + 0 = 1. (Kwa sababu lengo ni kupata namba ukiwa katika dijiti moja "single digit") Kwa...
  6. Kwahiyo Harmorapa anatembelea nyota ya Harmonize?

    Hebu shuhudieni hiki kituko
  7. Nyota wa mchezo wa MO29 na D9

    Maji ni kitu chenye nguvu sana! Kamwe usijaribu kuyazuia yanapochagua njia yake, maana hutayaweza. Ukijaribu, yatakusababishia madhara makubwa! Ni wakati wa mabadiliko… Hayazuiliki! Na kujaribu kufanya hivyo ni kujitafutia shida za kujitakia. Nyota waliohamasisha na kufanikisha maandamano ya...
  8. Hata mkoloni hakuondolewa kwa mtutu, bali Gen Z, Mbegu ya Ujasiri: Last Man Standing Kati ya Nyota za Mashahidi

    Tulikua vitani, tukipigania uhuru kwa amani. Rafiki zangu waliuawa kikatili na askari. Mikononi mwao hawakubeba hata jiwe la kupigania, lakini walipigwa risasi viunoni, vifuani, na hata kichwani, ili kututisha, ili kutunyamazisha, ili kutuvunja moyo. Walio tangulia nawaombea mbele ya MUNGU...
  9. Ni kwanini UKIMWI una nyota ya kupata hela?

    UKifatilia katika jamii zetu wale vijana waliopata ukimwi mapema chini ya miaka 40 wengi wao lazima wawe vizuri kiuchumi Bado hata watu wazima wengi na mishangazi,kila mshangazi wenye mapene ukiifatilia vizuri unagundua tayari imeshawaka Naanza kuamini ukimwi utakuwa na nyota ya hela
  10. Moloko aliyekuwa nyota na akiimbwa Yanga SC leo Kapigika hivi Kimaisha hadi analia ili tu aonane na Mayele na amtoe kwa chochote kitu?

    Ushauri wangu jamani Mwenyezi Mungu anapotupa nafasi ya Kuzikamata basi tuwe na Nidhamu ya Kuzitumia lakini Kubwa tujikite mno katika Kuwekeza ili tusije Kuumbuka baadae / mbeleni kama aliyewahi kuwa Mchezaji nyota / mahiri wa Yanga SC Jesus Kololo. Ila Moloko nawe leo ngoja Nikuchane kwani...
  11. Unajimu na Nyota : 29 October predictions

    Kuelekea 29 October. Kwanza Je, Tanzania kama nchi nyota yake ni ipi? 26 April 1964, Tanzania ilizaliwa. Baadani ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Hii inaifanya nchi, wananchi, uongozi wa juu kuwa na sifa za nyota Taurus /Ngombe. Sifa zake kuu ni kupenda vitu vya thamani, ufahari...
  12. Utabiri wa Nyota Siku ya 29/10/2025. {Kila kitu kiko wazi}

    Hello habari! mimi sio mwanasiasa na silipwi na kikundi cha mtu au watu kwa njia yoyote nipo hapa kutoa ujumbe wa nyota siku ya Tar 29/10/2025. Mjumbe hauwawi!! Nimetazama nyota zitakavyokuwa tarehe husika 29/10/2025 kuhusiana na suala la Uchaguzi pamoja na harufu ya maandamano na vurugu...
  13. Tabia ya nyota zote kwenye mapenzi

    Tabia ya nyota (au zodiac signs) kwenye mapenzi Nyota za Moto (Fire Signs) Aries, Leo, Sagittarius Aries (Machi 21 - Aprili 19) Mpenzi mwenye nguvu, mchangamfu na anayeongoza. Huangukia mapenzi haraka lakini pia hupoteza hamasa haraka. Anapenda ushindani na changamoto. Leo (Julai 23 -...
  14. Naomba mnifahamishe kama hivi ndivyo nyota inavyoibiwa?

    Huwa sifatilii sana haya mambo ila kuna kitu kimenipa wasiwasi, kuna mtu ananipa sana hela, mara kwa mara, na ni miamala mikubwa tu bila hata kumuomba. Imefika muda nikaona nimuulize, akaniambia nisijali, pia akinipa hela, huwa mambo yake yanaenda vyema. Je, kwa kauli hii ndio anatumia nyota...
  15. Angela Kizigha ndio Nyota wa mchezo.

    Kwa mujibu wa Polepole huyu Angela Kizigha anaonekana ni untouchable. Kwamba Madam Kizigha alikuwa ana kesi ya ufisadi wa kusambaza sare na vifaa vya jeshi la polisi na alikuwa akamatwe na kushtakiwa kwa ufisadi. Ila baada ya kifo Cha Magufuli hakukamatwa Wala kufunguliwa mashtaka. Cha...
  16. Naomba anayejua hotel ya nyota 10 Dar msaada

    Nina mgeni wangu ataingia jijini mwezi ujao msaada wenu hotel ya hadhi ya 10 star
  17. Usomaji wa nyota yako kila siku

    USOMAJI NYOTA JUMAPILI 17/8/2025 MSHALE Mtu unayemjali atapata habari njema ambazo pia zitakunufaisha wewe. Mtu wako wa zamani atakufikia kwa njia isiyokuwa ya fujo. Utapata wakati utakaoufanya useme "maisha ni mazuri kwa kweli". MBUZI Utakuwa mahali fulani kwa wakati unaofaa ili kupata...
  18. Wajue watu hawa watakaong’aa kama nyota milele na milele!

    Watu wengi katika dunia hii wanatamani 'kung’aa' kwa umaarufu, heshima, kusifiwa na kupongezwa na wanadamu. Wengine wanatumia pesa nyingi kutafuta urembo, mavazi ya bei ya juu, magari ya kifahari, elimu ya kiwango cha PhDs au hata nguvu ili waonekane juu kama nyota. Lakini ukweli ni kwamba, mtu...
  19. CCM jengeni Chuo kikuu Mwanza na Hospital kubwa yenye hadhi ya nyota tano muziite CCM MEDICAL UNIVERSITY and Teaching Hospitali

    Haya mabilioni ya shilingi zenu njoeni muwekeze Mwanza mjenge Hospital ya hadhi ya nyota tano hafu mjenge chuo kikuu kikubwa Sana
  20. U

    Mfahamu Shujaa NDUNA Songea Luwafu Mbano ALIYETIKISA HIMAYA YA WANGONI SONGEA

    NDUNA ALIYETIKISA HIMAYA YA WANGONI SONGEA Katika historia ya Songea mkoani Ruvuma kuna nyota moja iliyong’aa kupita zote Nduna Songea Luwafu Mbano aliyeuawa kikatili na wajerumani mwaka 1906 Huyu hakuwa tu kiongozi wa kijadi, bali alikuwa ngome ya ujasiri, Jemedari asiyeogopa risasi, na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…