nyingine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    TIC vipi tena waahirisha Interview hadi watakapo toa taarifa nyingine

    TIC walitangaza nafasi kuajiri wakaitwa watu kwa usaili ambao umeahirishwa hadi watakapotoa taarifa nyingine Kuna nn imetokea?au ndio bas tena baba jane bye bye Nimepata taarifa hizi kwa rafiki yangu mmoja ya walioitwa usaili
  2. Paul Kagame: Ukiona wenye mali wanageuka kuwa ombaomba ujue akili zao haziko sawa

    If the owners of the natural resources go around begging, then you should know there's something wrong with their minds” - President Paul Kagame My Take Mdomo Kila mtu anao,swali Je yeye amefanya kipi Cha maana hapo Rwanda wakati Nchi yake ni LDC...
  3. G

    Hii ndio sababu ya baadhi ya wanafunzi wa Saint Francis na shule za seminari kupungua uwezo darasani wakienda shule nyingine form 5 ama chuo

    Kufaulu kwao kunashangaza wengi na wala hawanunui mitihan bali wanafanyiwa michujo mkali sana, yani ile ininterview ya kuingia tu watoto wanaweza kuwa elf 3 ambao ni vipanga wote ila wanahitajika 100 tu, yaani mtoto kuingia tu hapo inabidi awe kipanga na bado kuna michujo mikali ya maksi za juu...
  4. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kahama akalia kuti kavu kwa mara nyingine tena

    Imepita miaka kadhaa wakati wa awamu ya 5 ya JMT iliyoongozwa na Hatari Magufuli ambapo Hayati alikuwa amedhamiria kumuondosha kwenye nafasi Mkurugenzi wa Manispaa ya Kahama kwa matumizi mabaya ya mali za umma kwa kujinunulia gari kwa fedha ya umma nje ya utaratibu wa serikali. Kwa mara...
  5. P

    Pantoni moja tu ndio linafanyakazi Kigamboni leo, nyingine ziko wapi? Kashikashi ya kusukumana kuwahi kuingia ni balaa!

    Wakuu, Hali ya usafiri Kigamboni leo sio shwari. Kama mnavyoona watu wapo wa kutosha. Pantoni linalotumika ni moja tu, likipakia tunasubiri ligeuze kuja kutufate wengine huku. Utafikiri sio weekend. Hakuna backup ikitokea kuna shida kama hivi? Maana jinsi watu wanasukumana kuingia ni balaa...
  6. P

    Picha: Tupatie update ya eneo lako husika- El nino 2023/2024

    Wakuu, tujuzane huko ulipo hali ikoje kwa picha na video, na kama kuna sehemu ina changamoto toa taarifa haraka kwa mamlaka husika kuepusha athari kubwa. Bila kusahau, tuchukue tahadhari kipindi hiki chote cha mvua. Mzazi, kama mtoto wako anasoma mbali na miundombinu ni mibovu ni bora...
  7. Je, kama vyama vingine vya siasa Tanzania vina nia nyingine, kwanini haviondolewi kwenye usajili?

    Kwa mujibu wa sayansi ya siasa, chama cha siasa kina nia moja tu, kukamata dola na kuwahudumia wananchi wote. Mhe. Rais amesema kuna vyama vina nia tofauti. Je, ni tofauti na hiyo nadhalia ya sayansi ya siasa? Au tofauti na nia ya CCM? Je, nia ya CCM inarandana na nia iliyopo kwenye sayansi ya...
  8. L

    Ziara ya Wang Yi barani Afrika na Amerika ya Kusini yaonyesha uhusiano wa kirafiki wa China na nchi nyingine za Kusini

    Hivi karibuni, Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Wang Yi, alifanya ziara barani Afrika na Amerika ya Kusini, ikiwa ni ziara yake ya kwanza nje ya nchi kwa mwaka 2024. Imekuwa ni desturi kwa Waziri wa Mambo ya Nje ya China kufanya ziara yake ya kwanza ya mwaka mpya katika bara la Afrika, desturi...
  9. FT: Tanzania 1-1 Zambia | AFCON 2024| Laurent Pokou Stadium | 21.01.2024

    Match Day Leo Jumapili 21.01.2024. Tanzania (Taifa Stars) Tunatupa karata yetu ya pili katika Mashindano haya ya AFCON 2024 kumenyana na Timu ya Taifa ya Zambia a.k.a Chipolopolo. Zambia hawakupata mwanzo mzuri katika Mashindano haya walipokubaliana na Congo DR kwa sare ya 1-1 Jumatano. King...
  10. UNICEF yasema Tanzania na nchi nyingine zenye Kipindupindu zisipodhibiti Ugonjwa shule zitafungwa

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limezitahadharisha Nchi za Afrika zinazokabiliwa na Kipindupindu na kueleza kuwa endapo hazitafanikiwa kudhibiti Ugonjwa huo unaweza kusababisha Shule kufungwa. Dkt. Paul Ngwakum ambaye ni Mshauri wa Afya wa Kikanda wa Shirika hilo katika...
  11. K

    SAP wakiri walitoa rushwa Tanzania na nchi nyingine

    Wenzetu US hawana uninga na rushwa. Rushwa zimetolewa sehemu nyingine kabisa lakini kampuni ambayo hata sio ya US kwa kufanya kazi US wanaweza kupigwa fine $220M na kukiri makosa yao sisi tunalea wala rushwa wetu mpaka leo nani kafugwa! === Kampuni ya programu ya Kijerumani, SAP, inachunguzwa...
  12. Ila biashara nyingine Sinza zinachekesha sana

    Naomba nimtumie rafiki yangu kama kidubwasha cha mfano. Aliuza kiwanja cha urithi kule Nanjilinji, akauza na nyumba aliyopewa pale Mburahati. Akanunua mzigo wa friji na Tv za Sumsung za kutosha, pesa iliyobaki akakodi fremu Sinza, akaajiri kadadaa kamsaidia kuingiza maokoto Baada ya miezi...
  13. F

    Wao si ndiyo walisababisha vita ya kimbali Rwanda? Na mbaya zaidi waliiba kura Congo ili yule ashinde! Tukiwaruhusu hawa tutasababisha vita nyingine

    Hawa watu kamwe tusiwaruhusu wajipenyeze kwenye siasa za nchi hii hao kwenye fursa au sehrmu ambayo wanafaidika wapo radhi kukuua ili wapate wanachokipata na tena wanajifanya watu wa dini dini gani hiyo? Inayosupport mauaji? Ona Rwanda walisababisha vita ya kimbari na waliwashawishi...
  14. Hivi kuna nchi nyingine Waziri anafanya hivi, au ni Tanzania tu?

    Hivi mtu kama Mwana FA ana ushawishi gani hata aifuate Timu ya Taifa kwa madai ya uongo ya kuongeza nguvu ? Hii nchi mbona kila mahali ni kutafuta fursa?
  15. Mimeamini siasa ni ajira kama ajira nyingine tu haina tofauti na Mama Ntilie

    Huwa nacheka sana kuona wanasiasa wanavyohangaika kutetea ujira wao. Inafika wakati wanataka hata kutuharibia amani na utulivu wa nchi hii, kila kitu wanajua wao, hata humu jamvini kuna watu hadi wa buku saba, wanahangaika hadi usiku wa manane kupost post tu vijipost ambavyo havijengi zaidi ya...
  16. Ni taifa moja tu duniani limekuwa na watu wajinga kiasi cha kukubali kutawaliwa na mtawala kutoka nchi nyingine

    Duniani kuna taifa moja tu ambalo pasi na kushikiwa bunduki au mabomu wananchi wake pamoja na viongozi wake wameweka Sheria ya kukubali raia wa taifa jirani kuwa na haki ya kuwatawala. So far hilo taifa jirani halijaweka sheria ya kumruhusu raia wa taifa lolote kushika dhadhifa za kiuongozi...
  17. L

    Vita ya Ukraine ni alama nyingine ya kushindwa kwa Marekani na NATO

    Moja ya maeneo tata ya siasa za kimataifa ni kuwa nchi kubwa na zenye uwezo zaidi wa kijeshi zimeshindwa vita katika nchi ndogo katika miaka 50 iliyopita, kuanzia vita ya Vietnam mpaka ya hivi sasa ya Ukraine. Hapa “kushindwa,” maana ni kushindwa kijeshi, kulazimishwa kuondoka (kama ilivyotokea...
  18. Tujipange na droo nyingine kutoka Simba!

    Hakuna kukatatamaaaa hata Al Ahly kadroo jana. Naomba msiumie moyo na megi ya leo ft draw. Tena usishangae hata goli moja hakuna kama jana. All the best Simba SC.
  19. Netanyahu Awaonya Hezbollah Ataibadili Beirut Kuwa Gaza Kama Wakianzisha Vita Nyingine Dhidi Ya Israeli

    Israel's Prime Minister Benjamin Netanyahu has said that if Lebanon's Hezbollah opened a second front in the ongoing war between Israel and Hamas, then he would bring devastation in southern Lebanon and turn Beirut into today's Gaza. "If Hezbollah decides to open an all-out war, then with its...
  20. Kijiji chote kimesombwa na Mafuriko, Kanisa limebaki

    "Kwenye madhara haya tumepata majeruhi pia wapatao 116, wanaume ni 56 na wanawake ni 60, ndugu Watanzania haya maafa ni makubwa sana, pia tumepata uharibifu mkubwa wa nyumba za kuishi, mashamba na mitambo mbalimbali ya magari, nimepata bahati ya kwenda Gendabi nyuma ya milima, kile kijiji nyumba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…