Hii njia kama wewe ni mkazi wa huku nadhani unaelewa maumivu tunayoopitia wananchi. Hazipiti siku mbili au tatu bila kuwa na shida ya ajali na kusababisha foleni. Lakini wakati mwingine kupelekea vifo. Mfano jana ilitokea ajali na kusababisha vifo pale pale darajani mlimani. Gari lilifeli break...
Tuseme ukwel kabla mambo hayajaharibika sana.
Kuna muendelezo wa vitu ambavyo pengine baadae vikaleta matatizo makubwa sana.
Wakati wenzetu wamepanua njia zao kwenda kwenye 6 to 8 lanes, sisi tunatumia millions of USD kujenga highly ineffective highways.
Kuna watu ukiwauliza watachekelea...
Mhe. Waziri Mchengerwa na wizara yako imulikeni Chato na chukueni hatua mapema. Mambo si mambo kule, hali si hali.
Nimepenyezewa taarifa kuwa watumishi wa zoezi la uchaguzi wanadhulumiwa malipo yao kuanzia siku ya kwanza ya uchaguzi hadi leo hii, na hadi sasa zoezi la ugawaji fomu kwa wagombea...
Wanajukwaa naomba mnisaidie hili,hivi yesu ni mtu au ni nafsi nyingine yenye nguvu.Nimepitia baadhi ya sifa chache za yesu lakini nimeshindwa ku conclude kama ni mtu tu.
Baadhi ya sifa zake nilizozipitia ni kama ifuatavyo hapa chini:
1. Kazaliwa na Bikira na hakuwa na baba
2.Ni neno toka kwa...
Mahakama ndiyo chombo cha mwisho kuamua ndiyo ama hapana.unakwenda mahakamani kutafuta haki halafu mahakama inaelekeza uende sehemu nyingine ndiyo itahukumu.mfano kesi ya CCM kutumia watoto ktk siasa.mahakama imenifikilisha sana.na huko walikoelekezwa ikaamue wana huo ubavu wa kuamua labda kama...
Habari wadau!
Jana nilitumia siku yangu ya kumbukizi kuongea na watoto wadogo!
Moja ya maswali waliyotaka ufafanuzi ni hili!
Serikali ina mipaka ya kiutawala ngazi za mikoa na wilaya!
Kwa mfano; Mkoa wa Dar es salam ni moja ya sehemu ya utawala wa kiserikali nactaasisi zake!
Sasa kwanini...
Vilisikika vitisho vingi sana mara ooh, Hesbollah sio gaza, mara ooh kumbuka 2006, n. K.
Tulivyokwenda kwenye uhalisia kumbe hesbollah ni wachumba tuu, na ni mara 100 Hamas.
Hao jamaa yahudi anajipigia mpaka kuna muda unawaonea huruma wanaume wazima na vilemba na midevu wakikaa mashimoni kama...
Wayahudu ndio brain kubwa zinazofanya mambo makubwa huko US , Russia, Ukraine,Iran na nchi nyingine
Hivyo sioni ajabu kwa US kumpa silaha Israel ,na ni lazima Israel ilindwe kwa manufaa ya wengi
Kama mada inavyojieleza
Hii hali imenishangaza sana. Nina marafiki wengi wa kike na kiume wenye umri unaocheza miaka 35 mpaka 37 wengi wao ndoa zao zimevunjika na nyingine zipo ICU
Wengi wa marafiki hawa walioa baada ya kumaliza vyuo tena kwa mbwembwe nyingi leo hii ndo zimesambaratika na wengi...
Hezbollah walikuwa wakitumia simu kwa mawasiliano yao. Hassan Nasrallah akawaonya Hezbollah kutotumia simu kwani kuna ueezakano simu hizo zikawa compromised na Israel.
Baada ya onyo hilo ndiyo wakahamia kwenye pagers (hutumika kwa text tu) na walkie-talkie (hii ni two ways radio hutumika...
Siku ile uliyokusanya viongozi wote wa chama wa Pwani na Dar es Salaam, ulitakiwa kutangaza maandamano palepale muingie barabarani jioni ileile.
Ila ukang'ang'ana kuwa ni lazima kuomba kibali polisi. Gen Z waliomba kibali wapi? Haya sasa, kiko wapi?
Lissu-x atakuwa anacheka kimoyomoyo.
Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Isihaka Mchinjita akiwa katika Jimbo la Ubungo Jijini Dar es Salaam, kwenye ziara ya chama chake, ametoa kauli akimjibu Rais Samia, kufuatia hotuba aliyoitoa Rais Samia wakati wa maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Polisi.
Kiongozi huyu wa ACT Wazalendo...
Yani unakuta dogo wa form 1 au 2 ameshakalili dance moves zote za chino lakini ukimuuliza hivi unamjuaje hitler eti anakuuliza "hivi aliimba wimbo gani vile" ahah
Sio kila mtoto atachukulia yaliyomo kwenye tv ni burudani tu mwingine anachukulia kama inspiration ya lifestyle yake.
Anyway sio...
Kama una miaka 30 tayari umetumia nusu yako nyepesi sasa upo kwenye nusu nyingine isiyohitaji mizaha 😔
Watalaam husema miaka 30 unakuwa umeishi nusu ya maisha yako hivyo mkononi unakuwa tena na nusu nyingine ✍️
Nusu ya kwanza umeitumiaje?
Kwa asilimia kubwa hii nusu umetumia ukiwa shule ila...
Naombeni kujuzwa hili jambo kuhusu meli kupeperusha bendeea ya nchi nyingine kwa mfano meli inafanya safari bahari ya hindi lakini unakuta ina peperusha bendera ya venezuela.hii imekaaje je ile bendera ni nchi iliyotengenezwa au mmiliki ni wa huko..na hata ikiwa tuseme imesajiliwa huko inakuaje...
Jamani nimekua selected course ya bachelor of arts with education Duce lakini ninahitaji kwenda udsm mlimani kusoma course nyingine nifanyaje ili kubadili admission
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.