nyingi

Dorothy Wanja Nyingi is a Kenyan ichthyologist and recipient of the Ordre des Palmes académiques (Order of Academic Palms) for her work on Fish Biodiversity and Aquatic Ecology. She is the head of the Ichthyology Department at the National Museums of Kenya. She is the author of the first guide to fresh water fish in Kenya, Guide to the Common Freshwater Fishes of Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Maigizo ya kuigiza. Yani unatumia pesa nyingi kuigiza uongo. Kitu ambacho hakipo

    Nimemfuatilia huyu Kiduchu na bosi wake, nimegundua wanapoteza muda mwingii sana kufosi kuleta kitu mjini ambacho hakipo. Hakuna mahusiano kama haya kati ya Boss na House girl. Vitu vya kuigiza vipo vingi. Watafute Contents nyingine.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Online Tv nyingi za Bongo hazina ubunifu

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, online TV nyingi hapa bongo hazina ubunifu wowote. Mfano Kuna ulazima gani wakuipa jina lako? eg.Carl Peter's TV ilihali yako majina mengi tuu unaweza kubuni. Pili Hawajui kutafuta contents unakuta online TV inamuhoji dudu baya kila siku
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania kuna fursa nyingi lakini ukitumia hiyo fursa watu wanakuiga

    Tanzania ndio nchi pekee wanasubiri ufanye jambo wakiona lina lipa nawao wanaiga copy and paste bila kubadilisha. mfano USA aliyebuni viungo vya KFC uwezi kukuta mwengine anafanya kama wewe unachoma kuku kwa tangawizi yeye atachoma kuku kwa binzari. Kama wewe huduma zako saa fulani huyu huduma...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Ndoa za waliovuka 30 hazidumu, wengi huwapati nafasi ya uchaguzi sahihi, wanajitupa kokote kupunguza maneno

    Vijana wengi wanaovuka miaka 30 bila ndoa hukumbana na pressure ya matarajio na maswali mengi kutoka kwenye jamii inayowazunguka: Unaoa lini? Kwanini hujaoa/hujaolewa? Wenzako wanaoa/kuolewa, wewe unasubiri nini? Hivi kaka/dada, usingizi unautoa wapi huna ndoa? Unasubiri nini? Huko kwenye...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa kuhusu wingi wa damu je damu ya 16.5 kwa mwanamme ni nyingi au kawaida?

    Baada ya kuhisi homa za mara kwa mara kwa kipindi kirefu kuumwa kichwa,viungo kukosa nguvu kupata kichefuchefu mda mrefu nikaenda hosptal nikapimwa mkojo upo sawa,skar ipo sawa,presha ipo sawa doctor akanambia nina damu nyingi ambayo ni 16.5 akaniomba niende kuchangia ili kuondoa hali hii...
  6. JamiiForums Tanzania Nipo na tatizo la kuwa na damu nyingi

    HAbari za usiku naomba munieleweshe njia ya kupunguza damu tofauti na kuchangia mana doctor ameniambia nikichangia nitakuwa nazalisha tatizo nimeambiwa nina damu nyingi na inanitesa mno msaada tafadhali
  7. JamiiForums Tanzania Tahadhari Wana JF na great thinkers. Watoa threads nyingi humu za kuipinga Chadema na kwingineko avatars zinabandikwa majina bandia ya Kichagga . Ni

    Wanabodi na wapenda haki kote naomba tuchukue tahadhari. Kuna mkakati maalumu unaendelea wenye lengo moja, kuhakikisha Uchaguzi wa October unafanyika. Hata mimi napenda ufanyike. Chadema kama chama cha upinzani, kimevalia njuga mabadiliko kwanza ya sheria na namna ya ufanyaji uchaguzi bora na...
  8. JamiiForums Tanzania Mbona timu za Zanzibar hazipigwi goli nyingi na Yanga kama za huku bara?

    Najiuliza hili swali nikijua ligi ya Bara ni bora kuliko ya Zanzibar na pia kwa viwango ipo kwenye ligi 5 bora Afrika. Sasa kama hizi timu zilizopo kwenye ligi bora zinapigwa goli nyingi kila kukicha na Yanga, mbona kwa hizi timu za Zanzibar ambayo ligi yake inaonekana dhaifu hazipigwi goli...
  9. JamiiForums Tanzania Likes Nyingi zinafanya watu wengi waufulltilie uzi wako au Mahudhui

    So kuwa Makini... Kumbuka kuna robots. Na hii imekaa kibiashara Zaidi. Heading Can call you .. but the content can have U f.ked. Unavutiwa na Heading.. unaliwa bundle... 😂😂😂 Au unavutiwa na Jina la aliye post... Kwa mfano Millard Ayo. Unafungua unakuta ni UPUMBAVU MTUPU.... ANAHOJI WATU...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Wangapi humu tumeangalia movies nyingi mpaka tunahangaika Kutafuta Mpya

    Hii Ndio Inaitwa hakuna jiwe litaachwa limesimama, kilichobaki labda Trailers Tu ! Ukiomba ushauri wa movies za genre unayoipenda unakuta kila movie ulishaivamia kitambo Hadi upate muvi mpya ni shughuli pevu
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini nyumba nyingi za Dar zinauzwa na Benki?

    Nimefanya utafiti kupitia ukurasa wa Dsm Brokers (Instagram) mpaka sasa nimegundua nyumba nyingi za dar zinauzwa na benki kwasababu ya madeni sasa sijui tatizo ni nini ikiwa mkoa wa dar unasifika kuwa kitovu kikuu cha fursa za kifedha na biashara, Katika utafiti wangu kupitia ukurasa wa hao...
  12. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi nafasi ni nyingi mshahara mnono sana

    Kutoka kwa Rajiv J. Shah Rais wa The Rockefeller Foundation Je, ungependa kusaidia kuendeleza upatikanaji wa nishati na umeme barani Afrika? Mapema mwaka huu, serikali kadhaa za Afrika zilisaini Mikataba ya Kitaifa ya Nishati ili kupanua upatikanaji wa umeme na kukuza uchumi wa bara hili. Ili...
  13. JamiiForums Tanzania Boring businesses zina pesa nyingi sana

    Boring businesses zina pesa nyingi sana. Sababu? Competition ni ndogo na watu wengi wanazidharau kwa sababu “hazipendezi” Leo nakupa mifano ya biashara za “kukera machoni pa watu” lakini zinapiga hela ile mbaya. 1. Kununua na kuuza chuma chakavu maarufu kama Skrepa Umeona unavyoiona ya...
  14. JamiiForums Tanzania Tanzania Kama Zilivyo nchi nyingi za Afrika, tunapitia Ukoloni wa aina nyingi

    Tuliachana na ukoloni wa Chui tukakutana na ukoloni wa Mbwa mwitu tukaishia ukoloni wa Fisi, hatujajua tutishia ukoloni wa nani. https://www.youtube.com/shorts/F3LQYQ3XbE8
  15. JamiiForums Tanzania KERO Shule nyingi za Kata hazina Miundombinu wala Madawati

    Habari za muda huu watanzania wenzangu. Kuna jambo ambalo kiukweli halipo sawa ukilinganisha umri tulionao kama nchi kutokea tupate uhuru kutoka kwa mkoloni mpaka sasa. Leo nataka nizungumzie suala la uchakavu, ufinyu au hata kukosekana kwa baadhi ya miundombinu muhimu hasa kwenye baadhi ya...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Mwafrika kiasili hana akili nyingi kama races nyingine ?

    Sisemi kila mwafrika bali kwa wastani, wapo waafrika wana akili nyingi lakini ni wachache wa kuhesabu Hata kwa akili za darasani nachokiona wengi wanaishia kukariri tu, mpaka leo hatuna maabara za kutengenezea madawa ya magonjwa yanayotusumbua waafrika ila watu wana phd za mambo ya madawa...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia angekuwa Raia na amezaliwa Marekani angelazimishwa Kugombea Urais na angepita na kushinda kwa kura nyingi sana kuwahi kutokea

    Ndugu zangu Watanzania, Ukiiangalia Marekani ya Sasa unaona wazi kabisa kuwa inamhitaji sana mtu na kiongozi aina ya Rais Samia. Ilikuwa inahitaji kuwa na Samia wake kwa sasa wa kuweza kuiongoza Marekani. Marekani hii ambayo imeshindwa Kumaliza vita vya ukrein pamoja na mauaji kule Gaza...
  18. C

    JamiiForums Tanzania CCM msiingize ajenda udini kwenye matamko ya TEC Kama mlivyo anza kufanya ili kutafuta huruma, hata MAGUFULI alionywa mara nyingi na TEC

    Naona vilaza wa ccm wamehsa anza kutengeneza hoja za udini dhidi ya tamko ta TEC acheni ujinga huo, msitafute huruma kijinga namna hiyo, pimeni madai yao na mjitafakari Kwa akili zenu zilivyo ndogo na chama kilivyo kosa washauri wazuri kwa sasa sio muda mtawatuma BAKWATA wajibu mapigo...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Tuwatambue Maadui Wa Haki wa Taifa Letu

    Taifa letu linapitia nyakati ngumu za ugandamizaji wa haki, demokrasia na uhuru wa maoni. Mambo haya hayakuanza ghafla bali yamekuwa yakizidi kuongezeka na kuota mizizi. Leo mtu anayeikosoa Serikali au Rais, kutekwa, kupotezwa, kuuawa au hata kubambikiwa kesi mbaya, imekuwa ni jambo la...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Historia ya Pasaka (Easter): Chanzo, Mageuzi na Ukweli Usiosimuliwa Mara Nyingi.

    1. Asili ya Pasaka ya Kiebrania (Passover) Pasaka halisi, inayojulikana kama Pasaka ya Kiebrania (Hebrew Passover), ilianzishwa na Mungu mwenyewe kupitia Musa katika Agano la Kale. Inatajwa kwa mara ya kwanza katika Kitabu cha Kutoka 12, ambapo Mungu aliwaagiza Waisraeli kuchinja mwana-kondoo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…