Unaposikia nyimbo ya nguva viking na papii kocha unakumbuka wapi "seya" ?

Bolotoba

JF-Expert Member
Apr 24, 2024
4,146
9,518
Ebana daah hii Kila inapopigwa nakumbuka tu Ile style ya suti bwanga, mkoti mkubwa🤣na wanchoma kumoyo, umenyoa afro fulani hivi.

Zile chupa bia zilikuwa kubwa kubwa kishenzi

"ilikua ikifika siku za siku kuuu"
Kuna ule mstari.

Anakwambia "Ata mvua ikinyesha Leo seya lazima tutoke leo"
Miaka inakimbia

RIP mkapa,

mtakumbuka na ule wimbo wa mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe" RIP banza stone

Kwa upande wako hii ngoma ya babu seya inakukumbusha wapi??
 
Nguva?????
Nikisiki neno nguva nakumbuka jinsi nilivyokiwa navua samaki pwani ya msumbiji ambapo msichana mrembo alikuwa anaogelea ufukweni alipotuona alitokomea zake majini. Nolijaribu kuruka majini Mzee mmoja alinishika Tanganyika jeki na kuniambia kuwa yule siyo mtu bali ni samaki Nguva.

Miaka inapenda jameni.
 
Ebana daah hii Kila inapopigwa nakumbuka tu Ile style ya suti bwanga, mkoti mkubwa🤣na wanchoma kumoyo, umenyoa afro fulani hivi.

Zile chupa bia zilikuwa kubwa kubwa kishenzi

"ilikua ikifika siku za siku kuuu"
Kuna ule mstari.

Anakwambia "Ata mvua ikinyesha Leo seya lazima tutoke leo"
Miaka inakimbia

RIP mkapa,

mtakumbuka na ule wimbo wa mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe" RIP banza stone

Kwa upande wako hii ngoma ya babu seya inakukumbusha wapi??
Nguza Viki.
Papii kocha (Jonson Nguza)
 
Back
Top Bottom