nyie

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. zachariano alexido

    Mnatuambia tusioe wakati nyie mmo kwenye ndoa, mnamaanisha nini?

    Hili jambo linaniumiza kichwa sana unakuta mtu anahamasisha tusioe ilihali yeye yumo kwenye ndoa. Mzee wa kaliua ukimsikiliza mambo yake huko Instagram, yeye na wrngine wana kandia ndoa sana, lakini inasemekana ye kaoa na ana watoto, sasa huku nikuhurumiana kupotoshana?
  2. Think2

    Wanaume wa Kigoma mna nini? Mbona sio wastaarabu nyie

    Umekuja mjini toka kigoma fuata taratibu za ulipofikia sio vizuri kujiamulia kila kitu hapa mjini bana sio ujiji. Unakuta mtu anatafuna dagaa wabichi mabarabarani yaani kuweka mfukoni kabisa kama karanga kuhalibu bajeti za watu tu, mkirudishwa kigoma mnaanza fitina zenu . Mbaya kabisa anapika...
  3. H

    Upungufu wa machawa kwa Sasa haupo ,tunaomba Sasa watu wenye kutuambia ukweli maana ndio wakutusaidia ,na nyie wasema ukweli muwe na staha!

    Katika mazingira yoyote ya kazi au jamii, maendeleo ya kweli huanza pale tunapojenga utamaduni wa kuambizana ukweli kwa nia njema na kwa heshima. Ni muhimu kuelewa kwamba uchawa uliopitiliza haujengi, bali hudhoofisha misingi ya uongozi na kuua ubunifu pamoja na uwajibikaji. Pale ambapo watu...
  4. M

    Wakati nyie mnamcheka Kabudi kujitambulisha ameaoma St Augustine. Mimi nasoma Cv ya kocha wa Yanga

    Mpira wanaouche Yanga unatisha
  5. R

    Haya nyie watu, mnakubali nchi ya Tanganyika inauzwa, mnadhani mtahamia arabuni cum zenji na koo zenu hiyo siku ikija?

    Huo ndio ujumbe wenu. Mbuga, bandari, maji, na kila kitu wameuziwa waarabu, sasa dhahabu nayo watagawiwa waarabu maana watapewa kwa bei ya kutupa kama walivyopewa vingine!
  6. 4

    Mmejifunza nini kwa mzee wetu Mtei?

    Wakuu salamu hamna hapa , nawauliza nyie wahuni mmejifunza nini! Mzee Mtei kafariki ila legacy ameacha sio ya kuigwa, pamoja na mapesa yote ila mzee katuacha. Bumbavu CCM
  7. Kimbesa11

    Tanzania si nchi ya kununua unga wa ugali nyie mliokuja kijijini msiondoke bila kulima eka 1 ya shamba la mahindi

    Nianze na kumpongeza Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan 🇹🇿 kwa kuenzi falsafa ya Mwl Nyerere ya Siasa na kilimo. Toka aingie madarakani Mh. Rais ameendelea kugawa matani kwa matani ya mbolea za ruzuku kwetu sisi wakulima. Asante sana Rais WETU🙏 Mtanzania kununua unga wa ugali na hii ardhi nzuri...
  8. Fbn

    Watu wanatweka mubashara sio kificho tena, mnataka nini nyie CCM

    Yalikuwa ni kificho ila sasa wakikukosa wewe wanatafuta ndugu,jamaa na marafiki wawe kwenye target yao. CCm sio chama ni chama cha kigaidi tukubari. Kwa sasa wanabajeti ya kulipa watekaji wenye mwamvuri wa vyombo vya ulinzi. Sasa hivi unafatwa hata ukiwa karibu na kituo cha polisi mchana...
  9. Bani Israel

    Wasanii kuboost views kuwavimbia Gen Z ni kujidanganya wenyewe

    Kiufupi huu mchezo wanaouanza utawaponza wenyewe na tumeona na tumethibitisha msanii mario kutumia maroboti kuboost views huku akijitamba kwa kuwashukuru mashabiki ilihali anajua kabisa mshabiki halisi hatuna mpango nae.. Nyimbo ya Mario leo imefika viewz mil 1+ youtube lakini cha kushangaza...
  10. Chibike

    Viongozi na uongozi wa Simba kubalini tu kua Injinia Hersi kawazidi sana pakubwa kiakili na uwezo wa uongozi, na nyie mmekalia migogoro na uswahili

    Na leo naona mna press conference mchana wa leo najua tu mnataka kumjibu Injinia mwenye akili nyingi sana Hersi Na hamuoni hata wanasimba wenyewe wamefurahi sana kwa Injinia kutoa mfano kwa Simba kwamba Ina migogoro mikubwa upande wa uongozi...yan wako pale kula na kugombania pesa ya Mo Dewji...
  11. DuaZaMama

    Bobi Wine: Polisi Bunduki Mlizobeba zina thamani kuliko nyie

    Bobi Wine kwa polisi wa Uganda: "Ndugu maofisa, bunduki mliyobeba ina thamani ya dola 2,000 za Marekani (kshs 258,000). Angalia jinsi bunduki hiyo inavyoonekana bora kuliko wewe, ilhali unalipwa Sh14,000 pekee. Kwa nini bunduki hiyo inaonekana bora kuliko wewe?" Japo Bobi Wine amesahau bunduki...
  12. Samia atosha tukutane2030

    Haya nyie wajinga, vipi ICC file liko chumba nambari ngapi?

    Wenye Dunia na wamiliki wa ICC jana wameisifu Tanzania. Watu wakikosa strategic planning ya siasa kazi yao kubwa itakuwa kudandia dandia mada . Suala la umeme limetatuliwa sasa wamehamia kwenye maji, kwenye maji nako kukikaa sawa watahamia kwenye jua. Kwa ufupi wapinzani Ikulu mtaingia ila...
  13. Fbn

    Kwa matukio haya mpaka sasa huyu akiendelea basi nyie ni zamu yenu mnayetunza.

    Tokea kushika kijiti kwa JPM kumekuwa na matukio ya kutisha na ufisadi wa kutisha. Kuna kisa kimoja nimekumbuka hata nchi kubwa wanatumia sana zengine tunaona kwenye movie. Ukishapangiwa majukumu na mkubwa wako na mission ikawa inakwenda kumfichua mkubwa wako ni wazi unatakiwa kupotezwa ili...
  14. stakehigh

    Angalieni wenzenu wanavoadamana vizuri, ama nyie hampendi maadamano kama haya

    https://www.tiktok.com/@brutofficiel/video/7579183083396533526 Tindo
  15. Wakusoma 12

    JamiiForums yarudi hewani

    Sasa bila ya VPN unaweza kuipata ndani ya Tanzania. Angalu sasa ile washa na kuzima VPN ilikuwa inakera, mara uwashe kuingia JF mara uzime kuacess mobile app na app za kibenki. Updates Naona mtandao umezuiliwa tena, mamlaka bado hazisomami.
  16. Samia atosha tukutane2030

    PostGE2025 Tanzania nchi huru, nyie mnaosubiri Trump na vi organizations uchwara viwasaidie kukaa Ikulu imekula kwenu

    Mnakumbuka kipindi cha Magufuli vimemo vya vi organizations mbalimbali vilivyotolewa na majibu ya MAGUFULI? Baadaye wakijua kuwa unajiamini na hitishiki wanaendelea kumwaga pesa maisha yanasonga. Hata wasipotoa pesa tutaishi vivyo hivyo ingawa wewe mwananchi ndiyo tutakuminya zaidi kwenye...
  17. technically

    Waandishi acheni kuwapa airtime Mashekhe ni wazi wananunuliwa

    Mange Kimambi anampiga Rais haramu, je Mange Ni TEC? Ally Kibao aliuawa kihuni, je alikuwa TEC Nifa kakaa mahabusu mwezi, je alikuwa TEC? Shehe ponda kaongea, je yeye ni TEC? Zitto Kabwe kaibiwa uchaguzi halafu kawekwa ndani siku 6, yeye ni TEC? Waliokamatwa na makesi ya uhaini kwenye...
  18. Common Folk

    PostGE2025 Rais Samia: Hakuna dini ya ku-override serikali, toka niingie madarakani TEC wametoa nyaraka 8

    Rais Samia ameongeza kwa kusema "Kama haumpendi kiongozi aliyeko juu, basi vumilia wakati wake utaisha tu". Amesema tangu aingie madarakani, TEC wametoa matamko 8 Pia Soma: Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC): Wote waliokamatwa kwa kudai haki, wakiwemo viongozi wa vyama vya kisiasa...
  19. Carlos The Jackal

    Waambieni MAJAJI kesi ya LISSU kuwa, Wameamuliwa na Mungu kabla ya Dec 1 wawe wameshatoa Tarehe ya kesi kuendelea kusikilizwa!

    Mh LISSU hataki Kupendelewa Wala Kuonewa, ndio Sababu Licha ya Ofa zote mnazompelekea amegoma kuwasailiti Wananchi. Huyo ni MTU wa aina gan? Je Msimamo huo wa Kimungu hautoshi Kuwashtua Majaji ?. Sasa nikiwa Katika Usingizi, Mungu alinichukua na kunipeleka katika Kikao Cha Malaika ,kikao...
  20. Lord Denning

    PostGE2025 TCRA kiko wapi? Ngebe zote za kuzima Mitandao leo Dunia yote imejua kilichotokea na nyie mnatajwa kama sehemu ya Watuhumiwa

    Kwenye Jinai kuna watu wanaoitwa accomplices yaaani Watu wanaoshiriki kutenda uhalifu au kufanikisha Uhalifu. Vyombo vya habari vya Kimataifa hasa CNN vimeeleza wazi kuhusu vyombo vya Ulinzi na Usalama vya Tanzania kuuwa watu na kuficha ushahidi. Uzuri kwenye kuficha ushahidi vimesema wazi...
Back
Top Bottom