nyeti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Maharage Chande: Mtanzania Aliyeongoza Taasisi 3 Nyeti ndani ya saa 96

    Ikumbukwe kuwa aliteuliwa mnamo 25/09/2021 kuwa mkurugenzi mkuu wa TANESCO Na ndani ya saa 96 zilizopita ndugu Maharage Chande ameongoza taasisi 3 nyeti. 1. TANESCO 22/09/2023 (cheo cha awali) 2. TTCL 23/09/2023 (cheo kipya) 3. TPC 25/09/2023 (cheo kipya kabisa) Nahisi ana kitu unique sana...
  2. Richard

    JamiiForums Tanzania Je, umeme unokatwa nchini na Tanesco wajumuisha ofisi zote nyeti, balozi na sehemu zingine kama Oysterbay? Au ni kwa watanzania wa hali ya chini tu?

    Kero ya kukatwa umeme na Tanesco imekuwa kubwa na sasa umeme wakatwa nchi nzima katika mikoa mbalimbali. Lakini ningependa kufahamu kama umeme huu wakatwa katika sehemu zote nyeti, ofisi za kibalozi, viwandani, maeneo ya uzunguni na katika makazi ya watu muhimu katika nchi hii? Je, umeme huo...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Chatu mkubwa katika pori jirani na 'Chuo Nyeti' Mbweni Malindi adhibitiwe upesi kabla hajaleta madhara

    Mida yake ya kuvuka barabara hiyo ya lami ni kati ya saa 2 hadi Saa 3 usiku na ni mkubwa sana. Nina uhakika wale wote wanaopita hiyo njia wakiwa ama katika Bajaji au Pikipiki za Bodaboda au DalaDala za Mbweni - Makumbusho au hata gari binafsi ama mmeshawahi kukutana nae au nanyi hivi karibuni...
  4. Street Hustler

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mkuu majukumu yake Kikatiba ni yapi? Wafahamu waliowahi kuwa Manaibu Waziri Wakuu nchini

    Jamani hili Taifa letu tunaendaje? Vyeo vinakuwa vingi Sana. Ina maana ofisi ya Waziri Mkuu imekuwa kubwa sana mpaka utendaji unakuwa Mdogo na kuamua kuiongeza nguvu kumpa msaidizi vipi? Vipi wizara zilizo chini yake? Ningependa kujua majukumu ya Naibu Waziri Mkuu yatakuwa yapi kwa mujibu wa...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Mbona Anna Tibaijuka ana hasira hivi kila wakati kuhusu uwekezaji wa DP World?

    Hatulii, hakika kuna maslahi yake yaliyoguswa.....haki ya Mungu tena!
  6. Superbug

    JamiiForums Tanzania Viongozi wengi wa dini wako kwenye payroll ya idara nyeti hivyo matamko yao yako engineered na idara

    Viongozi wengi wa dini wako kwenye payroll ya idara nyeti na wamewekwa makusudi ili kuituliza jamii kipindi cha hamkani si shwari. Jiulize kwani mara nyingi hutoa matamko ambayo ukiyaweka kwenye mizania unayaona kabisa yako kinyume na jamii na hayana upako wa kimungu bali wa kisiasa? Bosi wa...
  7. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Hivi watu kutanguliza Uislam au Ukristo kwenye mambo nyeti kuliko Utaifa maana yake nini?

    Wasalaam JF, Tafadhari wanajukwaa naomba majibu naona hili swala muhimu la nchi kabisa na vizazi vyake la bandari limekaa kiushabiki wa dini naona waislam wameamua kwa makusudi kujivika uislam kuliko Utaifa wala chochote kile, nawasikia ingekuwa mzungu ndio anawekeza bandari za Tanganyika...
  8. M

    JamiiForums Tanzania DODOMA; Wabunge Washindana kula Ubwabwa!

    Salamu Wakuu, Baadaye ya kuumiza vichwa na mijadala ya mizito ya kuitoa Tanzania kwenye Lindi la umaskini, leo Wabunge wanafanya bonanza la kushindana kula Ubwabwa na maharage!
  9. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Habari nyeti na nasaha zangu kuhusu vijana watakaofanya kazi na DP World

    Vijana wa Kitanzania, Msione tabu au uvivu kukisoma kilichopo chini, ni kwa manufaa yenu na ya Tanzania kwa ujumla. Jana kuamkia leo ilibidi nifanye mawasiliano na Diaspora wa Tanzania waliopo Dubai. Nia na dhumuni ilikuwa ni kutafuta connection ya kuwatafutia vijana fursa za kazi ndani ya DP...
  10. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Ajikata Nyeti na Kuzitupa Kwa Madai ya Kusumbuliwa na Ugonjwa

    Mkazi wa Kijiji cha Kibitilo kata ya Ilula Wilayani Kwimba mkoani Mwanza Marco Samweli mwenye umri wa miaka 32 amelazwa katika hospitali ya Rufaa ya kanda Bugando baada ya kujikata nyeti zake kwa kutumia kisu na kisha kuzitupa kwa madai ya kuwa amechoka kuumwa ugonjwa uliokuwa ukimsumbua kwa...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Aliyekutwa na Fuvu, Sehemu za Siri 5 za Binadamu afutiwa kesi

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemfutia kesi na kumwachia huru mshtakiwa Salum Nkonja (23) maarufu kama Emmanuel Nkonja, aliyekuwa anakabiliwa na mashtaka 11 yakiwemo ya kukutwa na vipande viwili vya mafuvu ya kichwa cha binadamu pamoja na sehemu za siri tano za mwanamke baada ya kesi hiyo...
  12. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mbowe anakwenda kupewa nafasi nyeti ili kuyalinda maridhiano

    Habari zenu wana JF wenzangu, natumai kila mtu ana afya tele. Kwa dokezo lililonifikia kutoka kwa mtu ambae siwezi kumtaja, ni kwamba mama anamuandalia kamanda Mbowe nafasi nyeti na muhimu ndani ya serikali yake ili kujenga serikali yenye sura na mtazamo wa kitaifa. Ikumbukwe kwamba raisi...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hongereni Marais wote wa Tanzania kwa kutuheshimisha watu wa Mara katika teuzi za Taasisi 'nyeti' nchini

    Ukiwakosa Jeshini katika Nafasi za CDF badi utawakuta hata TISS katika Nafasi za Juu Juu na ukiwakosa huko basi huwezi Kuwakosa katika Jeshi la Police kama IGP na ukiwakosa huku basi hata kule JKT pia hutowakosa kama Wakuu. Sifa (Tunu) Kuu ya Watu wa Mkoa wa Mara (Musoma) ni... 1. Waaminifu na...
  14. Mshuza2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali imehalalisha biashara ya nyeti bandia?

    Siku hizi imekuwa kawaida kukuta haya madude kwenye mikoba ya kina dada ( usiniulize nilikuwa natafuta nini) Je, tatizo ni sisi wanaume? Na je Serikali imeruhusu?
  15. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Mwanaume akatwa nyeti na watu wasiojulikana

    Mkazi wa Kijiji cha Orkine, wilayani Kiteto mkoani Manyara, Nanaa Mepukori (54) amelazwa katika hospitali ya wilaya hiyo baada ya kujeruhiwa kwa kukatwa sehemu zake za siri na watu wasiojulikana. Tukio la mwanaume huyo kukatwa nyeti lilitokea Juni 28, 2022 usiku ambapo inadaiwa kuwa alikuwa...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Tutakosa watu wa kuajiriwa maeneo muhimu na nyeti

    Ndugu Watanzania wenzangu, wakati tuko busy kama taifa na shughuli za kujiletea maendeleo katika nyanja mbalimbali, alama ya taa nyekundu ilishawaka kwenye familia, jamii na taifa letu. Kwa kasi ya mmomonyoko wa maadili kwa vijana kuingia kwenye uasherati wa kinyume na maumbile ni bomu na janga...
  17. Replica

    JamiiForums Tanzania Mbunge: Simu zetu zinabeba taarifa nyeti na nzito, ataka Sheria itungwe kuzilinda. Ahoji ulazima wa 'Loss report'

    Mbunge wa viti maalum, Judith Kapinga leo bungeni ameongelea kuhusu sheria ya ulinzi wa data na utaratibu wa kuomba 'Loss report' LOSS REPORT Mbunge Judith amesema utaratibu wa kuambiwa kutafuta 'Loss report' pindi mtu anapoteza laini ya simu. Mbunge amesema tulipofikia mtu anasajili laini ya...
  18. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Livingstone Lusinde anafaa kuwa Waziri wa Wizara ngumu na nyeti nchini

    Huyu mtu ana akili nyingi sana na ni mzalendo wa dhati mwenye maono mazito juu ya nchi yake. Ni nadra sana kuwa na watu wa aina hii. Tatizo letu watanzania ni kushindwa kuwatumia vizuri watu wa aina hii kwa maendeleo ya taifa letu. Tangia awe mbunge zaidi ya miaka 10 mfululizo, michango yake...
  19. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Aibu kwa TRA idara ya forodha Rusumo; Mhuri nyeti huachiwa nyoka (kijana)

    Mida ya usiku pale kwenye geti la kutokea Tanzania kuingia Rwanda maafisa wetu wa forodha huwa wanafanya uzembe unaohatarisha usalama wa taifa letu kwa wao kwenda majumbani ama nyakati zingine kwenda kuangalia mpira na pengine kwenda bar na mhuri huo hapo juu huachiwa vijana wa ving'amuzi...
  20. BAKIIF Islamic

    JamiiForums Tanzania Darsa ya Ramadhan 1 (2022): Mke na Mume hawaruhusiwi kukutana kimwili, haswa katika mchana wa mwezi wa Ramadhan

    Assalam alaikum Katika darsa letu la leo tuta tazama baadhi ya hukumu nyeti zinazo ambatana na usiku wa mwezi wa Ramadhan. Tukizijua hukumu hizi swaumu zetu zitakuwa katika njia iliyo nyooka. Na kama hatutazijua hukumu hizi basi swaumu zetu zita haribika, itatubidi kulipa deni pamoja na kulipa...
Back
Top Bottom