nyerere

  1. Haya yote ni Nyerere ile sera yake “Kidumu cha Mapinduzi “. Kumbe mpaka kwenye jeshi inatumika mfano vita vya Kagera

    Ukifatilia makala ya vita vya kagera kuna video zinaonyesha wanajeshi wanataamka kidumu cha mapinduzi. Ni jambo la kujiuliza kwa nini hii sera kidumu chama cha mapinduzi hipo mpaka kwenye vyomba vya ulinzi.
  2. Kipindi cha Nyerere alizuia tv ili yeye kupata habari na kufanya redio ziwe za kibali kama leo serikali inavyo fanya kwenye mawasiliano

    Miaka hiyo kulikua hakuna TCRA ila kulikuwa na mamlaka ambayo ilataka watu wasiwe uhuru wa habari. Ilikuwa si rahisi kumiliki redio tena kipindi hiko kulikuwa na masafa ya SW(short wave) na AM mtanisaidia kujazia. Kwa wale vijana wadogo Masafa ya SW(short wave) ilikuwa rahisi kusikia mpaka...
  3. Mwalimu Nyerere: Tujenge utamaduni wa kudhibiti viongozi wetu kama wanavunja sheria ya nchi, mkiwa na uoga, 'I promise you' mtatawaliwa na dictators

    Wakuu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere anatukumbusha kujenga utamaduni wa kudhibiti viongozi kama wanavunja sheria ya nchi, anasema tukiogopa, tutatawaliwa na viongozi madikteta. "Tujenge utamaduni wa kudhibiti viongozi wetu kama wanavunja sheria ya nchi. Tusiogope mkiwa na uoga, 'i promise...
  4. R

    Kwanini Nukuu za Mwalimu Nyerere zimeadimika kwenye televisioni na radio za Taifa?

    Salaam! Napitapita TBC na radio za Taifa, napata taabu kuona Nukuu za Mwl Nyerere zimeadimika, Kiongozi yule mwenye maono alishayaona mengi na kuyaongelea, Ni Imani YANGU, tukizipitia vizuri, tutapata namna ya kuondokana na Giza hili linaloigubika nchi yetu. Mungu ibariki nchi YANGU nzuri...
  5. Nyerere, Kama Nyerere

    [Nyerere Talk:] Na kwa sababu Mjinga Akishaambiwa inakwisha Si kwa sababu Ujinga Ni kutojua Maana hujui lilifanyika nini Sasa Ukielezwa Ujinga wako unakwisha Now You Know Ujinga Ni Ignorance Mmmh Upambavu ni Foolishness Ni Foolishness Na na Foolishness ni kipaji Kama Ufupi na Urefu You...
  6. R

    Tujikumbushe wosia wa Nyerere kuhusu udikiteita

    JE TUMEFIKA HUKU?
  7. S

    PreGE2025 Warioba, Butiku and the whole Nyerere generation old guard, you have a moral obligation to save the country from this leadership moral decay

    Umewahi kujiuliza au kutafakari ikiwa leo hii Nyerere angukuwa hai kushuhudia kinachoendelea nchini Tanzania au ndani ya CCM angesema au kufanya nini? Okay, najua utasema Nyerere angekuwapo tusingefika hapa tulipo - na ni kweli kabisa. Tumefikia mahali pabaya sana, ambapo mtu yeyote mwenye...
  8. Mwl. Nyerere alikuwa anafundisha masomo gani??

    Tafadhali rejea kichwa cha "thread" hapo juu.
  9. Mwl. Nyerere kujilimbikizia madaraka haikuwa shida kubwa aliyotuachia bali ujamaa na kujifungia kwenye chungu

    Kuna watu wanamlaumu Nyerere kwamba alijilimbikizia madaraka, kujiweka kama mtawala wa kiimla na hatimaye kutuachia mfumo huo mpaka sasa ambao tunahangaika nao. Ni kweli alifanya hivyo lakini karibia mataifa yote hadi yale yaliyoendelea sana viongozi wake wa mwanzo(founders) walifanya hivyo pia...
  10. Kuna mpinzani au mkosoaji yeyote aliwahi kutekwa, kupotea au kuuwawa katika utawala wa Nyerere?

    Ningependa kufahamu kama kuna mtu yeyote hasa aliyekuwa mpinzani au mkosoaji wakati wa utawala wa Nyerere aliyewahi kutekwa, kupotea au kuuwawa.
  11. Kenya ilipopinduliwa mwaka 1982, Nyerere aliokoa Taifa lililomchukia

    Ilipofika Agosti 1 mwaka 1982, alfajiri ilianza kwa kimya kilichojaa tafakari ya taifa. Lakini katika kiza cha mapambazuko, lilizuka tone la radi la kisiasa, jaribio la kumpindua Rais Daniel arap Moi. Kiongozi wa mpango huu wa kisasi hakuwa jenerali wala kamanda wa juu, bali askari wa hadhi ya...
  12. PreGE2025 Dudubaya: Katiba imeruhusu kuwa na wabunge wajinga

    Msaani Dudubaya amesemea kwamba Katiba ya nchi imeruhusu mtu akijua kusoma na kuandika anaruhusia kugombea ubunge kitu ambacho kimezalisha wabunge wasiojuwa sheria na katiba. Ukijua kusoma na kuandika darasa la saba uwe ubunge kwa dunia ya sasa kwa sababu ubunge umekuwa ni biashara, jitu...
  13. R

    Alianza Nyerere, Sokoine, Tundu Lisu, Mwabukusi, Kisha Askofu Gwajima

    Salaam! Nchi hii wamewahi kutokea viongozi majasiri ambao Katika kusimamia hoja huwa hawageuki nyuma, Sasa huyu ndugu Gwajima kwa hoja zile alizotia kwa Press, Ujasiri wa kuingia bungeni kuwakabilli kautoa wapi kama hana Roho ya Simba? Kwa tulipofikia, Huyu ndiye kiongozi pekee ndani ya...
  14. Ugomvi wa K. Nkrumah na J. K. Nyerere. Kwame alikuwa akimhofia Nyerere sana

    Kutoka kwa mwanajamiforums Shwari ambaye aliweka nakala ya kitabu chenye kuelezea mikasa ya hawa wapigania uhuru na harakati za ukombozi wa Africa. Nkrumah alihisi kuwa alikuwa amemtumia Sekou Toure. Lakini alikatishwa tamaa na Nyerere zaidi ya alivyokuwa na Sekou Toure. Alimwona Nyerere...
  15. R

    Nyerere angelirekebisha Katiba hii, mateso yote haya yasingelikuwepo

    Alisema kabisa kwa kinywa chake kuwa katiba hii akitokea dictator ataumiza sana watu. Ndicho kinachotokea leo! https://youtu.be/br-LSD8AjSw
  16. Hotuba hii ya Nyerere, hakika alikuwa mdau aliyependa mabadiliko ya Sheria Mbovu kwenye chaguzi, angekuwepo leo angeihubiri 'No reforms No election'

    Wakuu Hii ni sehemu ya hotuba ya baba wa Taifa Mwl. Julius Nyerere aliyoitoa siku ya wafanyakazi Duniani Mei1, 1995 Mjini Mbeya. Pengine angekuwepo leo angesema 'No reforms No election' === Hoja ya kuruhusu wagombea binafsi Nataka kusema kauli ya mwisho kuhusu sheria ya uchaguzi ilivyo sasa...
  17. Mchungaji aliyetekwa aeleza mateso na kwenda kutupwa porini ashindwa kutembea "Mengine tuyaache "

    Mchungaji wa Kanisa la Huduma ya Kristo lililopo Mtaa wa FFU, Kata ya Murieti, Steven Jacob Gumbo (35) ambaye iliripotiwa ametekwa na ‘Watu Wasiojulikana’ Mei 16, 2025 amezungumza na Wanahabri na kueleza kuwa Watu waliomchukua walijitambulisha kuwa ni Askari Polisi na wanamhitaji kwa ajili ya...
  18. S

    "Mashtaka ya Naibu katibu Mkuu wa CHADEMA,Amani Golugwa,Katika Uwanja wa Ndege wa J.K Nyerere yalilenga kukatisha Uhusiano wa kimataifa wa CHADEMA"

    Kiongozi wa upinzani wa Chadema, Amani Golugwa, alikamatwa akiwa njiani kuelekea Brussels kuhudhuria mkutano wa kisiasa. Kukamatwa huko ni tukio la hivi karibuni linalohusisha wanachama wa CHADEMA, ambao wanailaumu serikali kwa kutumia mbinu za ukandamizaji. "Kukamatwa kwa Amani Golugwa, Naibu...
  19. K

    Mzee Cleopa Msuya ndiyo alileta sera za viwanda wakati wa Mwalimu Nyerere

    Kuna watu wanasema Nyerere aliacha viwanda ukweli ni kwamba viwanda vililetwa na waziri wake genius Cleopa David Msuya. Yaani Msuya ndiye aliyekuwa waziri ambaye ni strategist zaidi ya uwana siasa
  20. Nyerere alituingiza kwenye tatizo!! kwanini mzanzibar anaruhusiwa kuwa rais wa Tanzania bara na mtanganyika haruhusiwi kuwa rais wa Zanzibar?

    Siku moja tusikie mwigulu nchemba ni rais wa Zanzibar au tumuone mnyakyusa kutoka mbeya akiiongoza ikulu ya Zanzibar ! Kwa Nini mngoni ,mmatumbi na mndengeleko wasiwe na sifa ya kuongoza zanzibar ? Ila wazanzibar wanakuja kutawala Tanganyika? Kwanini muungano wetu upo kama msaafu Kila anaejaribu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…