nyerere

  1. Je, Novena ya Mtakatifu Nyerere kuliombea taifa la Tanzania inaweza kuzaa matunda?

    Sijajua mchakato wa kumfanya Nyerere kuwa mtakatifu umefikia wapi ila nakumbuka moja ya kitu ambacho Kanisa Katoliki inafanya na kuchunguza kabla haijamtangaza mtu kuwa Mtakatifu ni uchunguzi wa matendo yake alipokuwa hai pamoja na miujiza iliyotokea wakati wa uhai wake na baada ya kifo. Wengi...
  2. B

    JAMHURI YA PLATO — Tafsiri ya Mwisho ya Mwalimu Julius K. Nyerere

    18 October 2025 JAMHURI YA PLATO — Tafsiri ya Mwisho ya Mwalimu Julius K. Nyerere https://m.youtube.com/watch?v=fiC1cODelxU “Jamhuri ya Plato” ni kazi adhimu ya falsafa iliyoandikwa na Plato, na hii ni tafsiri yake ya Kiswahili iliyofanywa na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Hii ndiyo kazi...
  3. K

    Nyerere alisema ukweli

    https://youtu.be/xAt_0R-fv0k?si=oT7VUl1dtDP9SkZi
  4. Nyerere alitawala kipindi kirefu lakini hakujilimbikizia mali

    Mchambuzi wa siasa na mwanasiasa mkongwe Said Miraj amesema Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ameendelea kuwa mfano bora wa uongozi wa kizalendo usioendeshwa kwa tamaa ya mali binafsi. Akizungumza kupitia kipindi cha Maswali na Majibu kinachorushwa na Jambo TV na kuendeshwa na mtangazaji...
  5. Mwalimu Nyerere nakukumbuka kwa majonzi na vilio

    Mpendwa Julius Kambarage Nyerere, Pamoja na madhaifu yako kama kututengenezea huu mfumo mbovu na hatari, bado tunakukumbuka. Nakukumbuka kwa majonzi na vilio. Je, hali ikoje? Kwanza, kuna jamaa mmoja mbabe alipenya akaukwaa urais na kuwageuza watu wako wanyonge ili awanyonge. Jamaa alianzisha...
  6. Julius Nyerere: Mtumwa na Mhanga wa Maono yake

    Leo 14/10 ni siku ya Nyerere. Lakini pia ndiyo siku aliyozaliwa Baba yangu mzazi niliyemzika 27/9/2025. Leo angetimiza miaka 86. Siku hii ni mababa wawili waliohusika kuzifanya fikra zangu ziwe hivi zilivyo (Baba Bagonza na JKN). Wapumzike kwa amani. Mazuri yangu ni yao; mabaya yangu ni yangu...
  7. Mwalimu Nyerere anavyokumbukwa Tanzania na kimataifa

    Leo Oktoba 14, 2025 ni kumbukumbu ya miaka 26 tangu kifo cha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Alizaliwa Aprili 13, 1922 na alifariki dunia Oktoba 14, 1999. Alisoma katika Chuo cha Makerere mjini Kampala, Uganda, kisha akaendelea na masomo katika Chuo Kikuu cha Edinburgh, Scotland, akiwa...
  8. W

    Katika kuadhimisha siku ya 'Nyerere day' ni kauli au nukuu gani unaikumbuka ya Mwalimu Nyerere?

    Leo ni kumbukumbu ya miaka 26 tangu alipofariki Baba wa Taifa la Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Nyerere, ambaye aliwahi kuwa Waziri Mkuu wa iliyokuwa Tanganyika, kisha Rais wa Tanganyika na baadaye Tanzania, atakumbukwa kwa kujenga umoja nchini Tanzania na vile vile kuwa mstari wa...
  9. Kiti alichokalia Mwl. Nyerere kupitisha azimio la Arusha

    Katika ukumbi huu ndipo kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa kilikutana kuanzia Januari 26-28 mwaka 1967 mkoani Arusha na kupitisha Azimio la Arusha na kutangazwa rasmi Februari 5, 1967. Na hiki ndicho kiti alichokalia Mwalimu Nyerere akiwa Mwenyekiti wa kikao hicho na pembeni yake ni kiti cha...
  10. Taswira ya kuwasili nchini mwili wa baba wa taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

    Leo imepita miaka 26, sawa na miezi 312, wiki 1,357, siku 9,497, saa 227,912, dakika 13,674,730 au takribani sekunde 820,483,818 tangu tarehe 14 Oktoba 1999 — siku ambayo Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, alifariki dunia katika Hospitali ya Mtakatifu Thomas, London. Kipindi...
  11. Kulikoni TBC FM hamuweki nukuu za Nyerere siku ya leo, mnaweka nyimbo za komba?

    Katika pitapita zangu huku london nkaweka online radio za TZ, nipate kumbukumbu zake kwa siku ya leo, ila naona nyimbo za komba zimetamalaki, kuliko nukuu za nyerere, maana nyerere hana nukuu alio paka rangi zote kaongelea uhuru wa kweli , true sovereignty.
  12. Hii ndiyo Tanzania aliyokuwa anaitaka Mwalimu Nyerere

    Hii haipingiki japo Mwalimu Nyerere alifanya mengi mazuri hiyo haimaniishi ya kwamba hakufanya hakuteleza pia Mwalimu Nyerere hii ndiyo Tanzania aliyokuwa anaitaka Mwalimu kwa kujua au kutojua Mwalimu alitengeza uoga kwenye nchi hii watu wawe waoga kuhoji kila kitu wawe bwana ndiyo tu kuna namna...
  13. Ni kwamba sura ya Nyerere ni abstract sana au mwenyewe hataki?

    Habari wakuu Tangu nimeanza kuona picha za kuchora na za kuchonga za Hayati Mwenyeheri, Nyerere, haijawahi tokea siku wakamchora sahihi. Au wakamchonga sahihi. Kwamba hii nchi inashindwa kuipa heshima sura ya Baba wa Taifa? Naomba tu hili nimkabidhi Andrea Nyerere adili nalo kuhakikisha...
  14. B

    Humphrey Polepole ni Nyerere na Mandela wa zama zetu aliyetwaliwa kutoka kwetu na wasiolitakia mema Taifa hili!

    Inasikitikisha kuona Humphrey Polepole katwaliwa kikatili vile kutoka kwetu. Kwani watesi wake hata kama wangemwomba tu atoke mwenyewe kwenye nyumba ile na kuongozana nao kokote walikotaka asinge toka? Polepole kama Lissu, Nyerere au Mandela hawakuchagua kuzikimbia nchi zao na eti kwenda...
  15. GE2025 Rais Samia aweka shada la maua kwenye kaburi la Mwalimu Nyerere

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wanafamilia ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alipozuru katika Kijiji cha Mwitongo Butiama Mkoani Mara...
  16. Remembering Nyerere: Road to hell is paved with good intentions

    Remembering Nyerere: Road to hell is paved with good intentions By Charles Makalala Thursday, October 09, 2025 - 5 min read It’s that time of year again. The day we mark the passing of Tanzania’s founding father, Julius Kambarage Nyerere. Twenty-six years now. I remember the day he died...
  17. Mdau amchana vibaya Julius Nyerere

    Katika pita pita zangu kwenye mitaa ya YouTube, nimekutana na video ya Rais Julius Nyerere akiwa New Delhi, India, akipokea tuzo. Ilikuwa mwaka 1982. https://youtu.be/aGHLfV4S3CM?si=y1MsBA83j5P1y4p0 Kwenye ukurasa wa mabandiko wa chaneli ya mwanahistoria Adeyinka Makinde, kuna mdau katema...
  18. Hata Nyerere angekemea Hawa wahuni, Bado angetekwa, Bila kelele na kuwawahi Wangemuuua TUNDU LISSU Kwa Sumu akiwa Gerezani!!

    Hawa Wahuni kama tusingepaza sauti mapema za kustukia mpango wao dhidi ya TUNDU LISSU , Wangemuua Kwa sumu . Sasa fikiria BRAIN ya TUNDU LISSU iuwawe na Vichwa maji kama Akina Mafwele , Muliro, Samia, Makonda na genge lao !!.
  19. Nyerere: Msiogope mapinduzi mijitu inayoogopa mapinduzi ni minyonyaji

    Ifahamu historia ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, aliyeiongoza Tanganyika kupata uhuru mwaka 1961, kupitia chama cha Tanganyika African National Union (TANU) alipigania uhuru kutoka kwa Uingereza na baadae kuunganisha Tanganyika na Zanzibar mwaka 1964 ikazaliwa Tanzania … Nyerere alifanikiwa...
  20. Mama Polepole: Nirudishieni mwanangu akiwa hai au amekufa, alikuwa mtoto wa kipekee

    BBC imezungumza na mama mzazi wa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole katika mahojiano maalum. AnnaMary Polepole amesisitzakatika mahojiano hay kuwa arudishiwe mtoto wake- Humphrey Polepole akiwa hai au amekufa. Hata hivyo mapema leo, jeshi la polisi lilisema kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…