Habar wanajukwaa hili,mimi ni mfugaji mdogo wa ng'ombe maziwa. Kutokana na changamoto ya malisho,ninauhitaji wa kuanza kutengeneza na kuhifidh malisho, lakini nimejaribu kuulizia hiki kifaa kwa hapa Bongo nikapata kampuni moja(hide name) ipo Arusha wanauza bei mbaya mno yani zaidi ya 2 millions...