nyaraka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    Mkurugenzi Mkuu idara ya kudhibiti ugaidi aliyejiuzulu majuzi anachunguzwa kwa tuhuma za kuvujisha nyaraka za siri

    25min ago FBI investigating if top counterterrrorism official who resigned leaked classified info By AP FILE - Joe Kent, then-director of the US National Counterterrorism Center, speaks during a congressional debate at KATU studios, October 7, 2024, in Portland, Oregon. (AP Photo/Jenny Kane...
  2. Roving Journalist

    TAKUKURU Temeke: Tumeamfikisha Askofu Mahakamani kwa tuhuma za kughushi nyaraka za ardhi

    Katika kipindi cha Oktoba hadi Disemba 2025, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Temeke imefanikisha kumfikisha mahakamani Askofu Renatus Joseph Nyalali, Askofu kutoka kanisa la Hosanna Assemblies of God Tanzania (HAOGT), kwa tuhuma za kughushi nyaraka na kutoa nyaraka za...
  3. Waufukweni

    Nguli wa Bayern Munich, Franck Ribéry, ametajwa katika nyaraka za Epstein

    Wizara ya Sheria ya Marekani (DOJ) imetoa mamilioni ya nyaraka zinazohusiana na kesi ya Jeffrey Epstein, zikiwa na majina ya watu mbalimbali wakiwemo watu mashuhuri, wafanyabiashara wakubwa na maofisa waandamizi wa serikali. Nyaraka hizo ni sehemu ya uchunguzi mpana unaohusiana na Epstein...
  4. Mkalukungone Mwamba

    PostGE2025 ZEC kuwaalika wadau maalum kushuhudia kuteketeza nyaraka za uchaguzi

    Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar George Joseph Kazi amejibu ametoa maelezo juu ya kauli zilizotolewa na Chama Cha ACT Wazalendo juu ya hatua hiyo ya ZEC kutaka kuteketeza nyaraka zote za uchaguzi wa October 2025 uliofanyika mwishoni mwa mwaka jana.
  5. M

    Nyaraka za Siri za Epstein: Kisiwa cha Mnemba kama 'Uchochoro' nchini Tanzania

    Februari 4, 2026 DAR ES SALAAM — Kwa muda mrefu, yamekuwepo maneno ya chini kwa chini, tetesi zilizopuuzwa kama umbea wa vijiweni. Lakini sasa, swali sio tena kama Tanzania inahusika kwenye mtandao wa uhalifu wa ngono wa Jeffrey Epstein, bali ni mizizi hiyo imechimba kirefu kiasi gani...
  6. A

    KERO Chuo cha Ukutubi, Uhifadhi wa Nyaraka (SLADS) ni cha Serikali lakini baadhi ya Wahitimu tukiomba ajira tunaambiwa hatuna vigezo

    Wanafunzi wa Chuo cha Ukutubi, Uhifadhi wa Nyaraka na Tafiti (SLADS) kilichopo Bagamoyo chini ya Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania (TLSB) tunapitia changamoto kadhaa:- Nawasilisha kero hii kwa niaba ya wengine tumehitimu masomo ya Ukutubi na Uhifadhi Nyaraka (Library Records and Documentation...
  7. Masai wa Town

    Naomba Kufahamishwa Kuhusu Nyaraka Tano Za NSSF

    Naomba kufahamu je, zile nyaraka tano( barua ya kuachishwa, certificate of service na copy ya NSSF ID card)za kuambatanisha kwenye maombi ya mafao ni lazima ziwe na muhuri wa mwanasheria(kuwa certified)!?
  8. PAYE

    Wanaodaiwa kughushi nyaraka Bandari ya Dar kusomewa maelezo leo Januari 13, 2026

    Jamhuri imepanga leo Jumanne, Januari 13, 2026 kuwasomea maelezo ya mashahidi na vielelezo, wafanyabiashara sita wanaokabiliwa na kesi ya kuwasilisha nyaraka za uongo katika Bandari ya Dar es Salaam na kujipatia zaidi ya Tsh 10 bilioni zilizotokana na shehena ya mafuta. Hatua hiyo inatokana na...
  9. Common Folk

    PostGE2025 Rais Samia: Hakuna dini ya ku-override serikali, toka niingie madarakani TEC wametoa nyaraka 8

    Rais Samia ameongeza kwa kusema "Kama haumpendi kiongozi aliyeko juu, basi vumilia wakati wake utaisha tu". Amesema tangu aingie madarakani, TEC wametoa matamko 8 Pia Soma: Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC): Wote waliokamatwa kwa kudai haki, wakiwemo viongozi wa vyama vya kisiasa...
  10. Dalton elijah

    Je, unafahamu kuwa kufanya lamination ya nyaraka zako kunaweza kuharibu thamani yake ya kisheria?

    Inaonekana maridadi. Inaonekana salama. Lakini pindi unapofanya lamination ya nyaraka halisi, kisheria unaweza kuonekana umeziathiri au kuzibadilisha bila kujua. Watu wengi hulaminate vyeti, hati za kiapo, risiti na nyaraka nyingine wakidhani wanazihifadhi. Ukweli ni kwamba, unapozifunika kwa...
  11. American Ninja

    PostGE2025 Historia za waraka wa TEC kwa Utawala wa Mkapa na Magufuli

    Kipindi cha utawala wa Hayati Rais John Pombe Magufuli (Novemba 2015 – Machi 2021), Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) lilitoa matamko na waraka kulaani mauaji, utekaji nyara, kutoweka kwa watu, na kutoa maonyo makali kuhusu ukiukaji wa haki za binadamu, hofu nchini, na hatari ya...
  12. funaku

    Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka amkabidhi nyaraka za kazi Rais Samia

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikabidhiwa nyaraka za kazi kutoka kwa Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka mara baada ya kuwasili katika Ofisi yake Ikulu Chamwino, akiwa tayari kuanza rasmi majukumu yake baada ya kuapishwa.
  13. Yoda

    Trump aendelea kuwatia nyavuni wakosoaji wake, John Bolton ashitakiwa kwa makosa ya ujasusi na utunzaji mbovu wa nyaraka za siri

    Balozi John Bolton aliyekuwa mshauri wa masuala ya ulinzi wa Trump kabla ya kutofautiana pakubwa na kugeuka kuwa mkosoaji mkubwa wa Trump na utawala wake ameshitakiwa kwa makosa mazitio yanayohusu ujasusi dhidi ya nchi, umilikaji na utunzaji mbovu wa nyaraka za siri za serikali.
  14. The Supreme Conqueror

    Mahakama yaitaka CHADEMA kukabidhi nyaraka za Chama kwa Saidi na wenzake ndani ya siku 14

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, leo Jumatatu (29.09.2025) imetoa uamuzi mdogo katika kesi namba 8322/2025 iliyofunguliwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar, Said Issa Mohamed na wenzake wawili dhidi ya Bodi ya Wadhamini na Katibu Mkuu wa chama...
  15. youngkato

    Ni nyaraka gani zinahitajika kuomba leseni?

    Hati ya TIN kutoka TRA Cheti cha usajili wa kampuni (kama ni kampuni) Mkataba wa pango (kama umepanga) Tax Clearance Certificate kutoka TRA Vyeti vya mamlaka husika kwa huduma za kitaalam (mf. TCRA, TBS, EWURA, TMDA, n.k.)
  16. DuaZaMama

    Ukweli kuhusu nyaraka kwenye kesi ya Lissu kujulikana leo

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amerudishwa tena katika Mahakama Kuu ya Tanzania Masijala Ndogo ya Dar es salaam kwa ajili ya muendelezo wa kesi yake ya uhaini. Kurudi kwa Lissu leo Septemba 9, kunatokana na mapingamizi aliyoyaibua jana Septemba 8, mbele ya Jopo la Majaji watatu Jaji Dunstan...
  17. Mto wa mbu

    Tunataka waliogushi nyaraka kwenye kesi ya Lissu washtakiwe

    Nipo likizo Tanzania, Leo ilibidi namie nijiunge na wapenda haki wenzangu kwenye kesi ya mweshimiwa Lissu. Leo nilichokiona ni aibu ,aibu aibu ya mwaka Mahakama ilimpelekea Lissu case bundle gerezani, kumbe Kwa uvivu, ujinga na kujisahau wakajikuta case bundle aliyopewa Lissu ni tofauti na...
  18. Mindyou

    Askofu Gwajima: Wakatoliki kupitia TEC wametoa nyaraka mbalimbali lakini hazifanyiwi kazi. Je watapiga kura?

    Wakuu,
  19. R

    Nyaraka za Nazi Zagunduliwa Kwenye Mahakama Kuu Argentina

    Miaka zaidi ya themanini tangu utawala wa Adolf Hitler ulipoanzisha vita vya dunia na mauaji, kivuli cha historia ya Nazi kimeibuka tena, safari hii kutoka kwenye sehemu isiyotarajiwa, basement ya Mahakama Kuu nchini Argentina Historia ya Nazi ilianza mapema miaka ya 1930, pale chama hicho...
  20. Lord Denning

    Kama Mashahidi na Nyaraka za Kesi ya Uchochezi tu hawataki Watanzania muvione, Sahauni kuona Mikataba yenu ya Madini ya Uwekezaji wanayoingia kutupiga

    Naangalia hapa Jamhuri wamepeleka maombi Mahakamani kuomba shauri la Lissu la uchochezi lisikilizwe kwa usiri yaaani Mashahidi ya Nyaraka visionekane kwa Wananchi. Kama una akili vizuri unaweza fikiri kama kesi ya Uchochezi tu wanayomshtaki mtu kuongea maneno ya uchochezi ambayo yalitangazwa...
Back
Top Bottom