NSSF wampongeza Rais Samia kwa dira ya taifa ya maendeleo 2050

NSSF wampongeza Rais Samia kwa dira ya taifa ya maendeleo 2050

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
3,119
Reaction score
1,430

NSSF WAMPONGEZA RAIS DKT. SAMIA KWA DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2050​

Tanzania National Social Security Fund (NSSF) wamempongeza sana Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuzindua Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025

NSSF wanasema kuwa Dira 2050 imezingatia upatikanaji wa huduma jumuishi za hifadhi ya jamii kwa wote

"NSSF tunajivunia kuwafikia Watanzania wote walioajiriwa ili waweze kwenye sekta binafsi na waliojiajiri ili waweze kujiunga na kujiwekea akiba kwa maisha yao ya sasa na ya baadaye" - Umesema Ukurasa wa Instagram wa NSSF

NSSF: Tunajenga Maisha Yako ya Sasa na Baadaye
#Dira2050
#KaziIendelee

#NSSF #HifadhiYaJamii #Dira2025#SamiaSuluhu #maendeleojumuishi
Screenshot 2025-07-23 at 11-21-54 Instagram.png
 
Back
Top Bottom