Mafao yangu siyaoni kwenye akaunti ya benki

Mafao yangu siyaoni kwenye akaunti ya benki

Habari za asubuhi ndugu zangu mimi nachangamoto moja niliandikisha madai ya mafao yangu nssf yanaonesha yameshalipwa siku ya tatu leo lakini bado sioni amaunt kusoma kwenye akaunti yangu ya banki shida imawezakuwa nini
Yawezekana shida ipo kwenye hiyo benki yako,nenda kwenye tawi lako ukaulizie
 
Cheque ya malipo kutoka nssf inaonesha imeshaenda

fimboyaukwaju sawa ndugu nashukuru lakini uwa inawezekana malipo kufanywa na nssf ikachukua zaidi ya siku mbili kupata hela yako kwenye akaunti?
Hapana,nssf wakishakutumia meseji ujue zishaingia kwenye akaunti yako
 
Habari za asubuhi ndugu zangu mimi nachangamoto moja niliandikisha madai ya mafao yangu nssf yanaonesha yameshalipwa siku ya tatu leo lakini bado sioni amaunt kusoma kwenye akaunti yangu ya benki, shida inawezakuwa nini?
Umewauliza hao Benki wanasemaje ? Je inatumia siku ngapi pesa kuweza ku clear ?; Sisi wote hapa tutakupa porojo tu, ni benki wenyewe ndio watakupa jibu la uhakika
 
Bank gani? Au sms tu ndio haukupata? Ukute zishaingia...nenda bank
 
Back
Top Bottom