nssf

NSSF
The National Social Security Fund (NSSF) is the government agency of Tanzania responsible for the collection, safekeeping, responsible investment, and distribution of retirement funds of all employees in all sectors of the Tanzania economy that do not fall under the governmental pension schemes.

The NSSF was founded in 1997 as the successor to the defunct National Provident Fund (NPF).
  1. Mwanambugulu

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuzitoa pesa NSSF

    Wakuu habari zenu. Poleni na majukumu ndugu zangu Mimi nilikuwa nafanya kazi katika kampuni ya ujenzi ya Waturuki inaitwa Yapi Merkezi inayojenga reli ya SGR ambayo kwa sasa iko lot 3. Kwa sasa kazi imesimama na hakuna kinachoendelea. Sasa sisi tulipumzishwa kuanzia mwezi wa kwanza kutokana na...
  2. Mparee2

    JamiiForums Tanzania NSSF & PSSSF Wakusanye Taarifa za Wafanyakazi kabla hawajastaafu

    Ushauri wangu kwa NSSF Kutokana na maendeleo ya technologia, wastaafu wanaweza kurahisishiwa kabisa taratibu za kupokea mafao yao badala ya kuwacheleweshea kwa kisingizio cha taratibu zilizopitwa na wakati... Sasa hivi kuna Internet, kitambulisho cha taifa (NIDA), Passport, DIGITAL data base nk...
  3. The patriot man

    JamiiForums Tanzania Naombeni ufafanuzi kuhusu NSSF ili niweze kuchukua mafao yangu

    Kwema wakuu, Mkataba wangu uliisha nikaona nikachukue mafao yangu NSSF nikakamilisha taratibu zote. Wakaniambia ni Subiri week 3 Sasa kabla ya week nikaona hela imengia Sema ilikua ni ndogo saana ila wameandika NSSF Ilala Transaction type CREDIT Ila nimeangalia account yangu salio liko...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania NSSF Yakutana na Wahariri Nchini

    *Yatambulisha Skimu ya Taifa ya Hifadhi ya Jamii ya Sekta Isiyo Rasmi (NISS) *Sasa mwanachama kufungua madai ya mafao kidijitali ‘online’ *Yaweka kipaumbele cha matumizi ya TEHAMA, zaidi ya asilimia 82% sasa zinafanyika kutumia mifumo * Yatoa Tuzo kwa Vyombo vya Habari vinavyotekeleza vyema...
  5. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Live From Mafao House: Mkutano wa Jukwaa la Wahariri -TEF na Mfuko wa Pensheni NSSF- NSSF Yatisha!, Una Thamani ya Trilioni 8.5 Ndani ya Muda Mfupi!.

    Wanabodi, Niko ndani ya Ukumbi wa NSSF Mafao House, nikiwaletea live ya mkutano wa Jukwaa la Wahariri -TEF na Mfuko wa Pensheni NSSF. Mfuko wa NSSF umetisha!, sasa una thamani ya zaidi Shilingi Trilioni 8.5 ndani ya kipindi kifupi, na uendelevu wake, sustainability ni 90%!, hili sio jambo la...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi Mgodi wa CATA Mining Mara waandamana, wakidai Mishahara, NSSF, wamwangukia Rais Samia

    Waliokuwa wafanyakazi wa mgodi wa dhahabu wa CATA MINE uliopo kijiji cha Kyabakari, Wilayani Butiama Mkoani Mara, jana wameandamana kwa mara nyingine kuelekea katika Ofisi za mgodi huo, kushinikiza mwekezaji kuwalipa malimbikizo ya mishahara yao pamoja na NSSF. Wakiwa na mabango yenye jumbe...
  7. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO NSSF inapanga kumpelekea Mahakamani Mkandarasi Mkuu wa Reli ya SGR, Yapi Merkezi

    Mkandarasi Mkuu wa Reli ya Kisasa (SGR), Kampuni ya Yapi Merkezi anatarajiwa kufikishwa Mahakamani kwa kile kinachodaiwa kutowasilisha fedha za michango ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) ya Wafanyakazi wa Ujenzi wa Reli ya SGR kwa muda wa zaidi ya Mwaka mmoja licha ya kuwa Wafanyakazi wamekuwa...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Askari wanatukamata Wafanyakazi wa SGR kisa tumesema Mkandarasi hajaingiza malipo yetu ya NSSF

    Sisi Wafanyakazi wa Ujenzi wa SGR kwa hapa Lot 1 ambayo inahusisha Dar – Moro baada ya kulalamika kuhusu Mkandarasi Mkuu, Yapi Merkezi kuwaondoa watu kazini kwa gia ya likizo huku wakiwa hawatulipi stahiki zetu ikiwemo, malipo ya NSSF, kumeibuka baadhi ya Askari wa Jeshi la Polisi wanatukamata...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa SGR (Lot 1) wafanya mgomo, washinikiza Mkandarasi awalipe stahiki zao ikiwemo NSSF

    Wafanyakazi wa SGR - Lot 1 wameamua kufanya mgomo wakishinikiza malipo yao ya NSSF kuingizwa kwenye akaunti Pia soma ~Yapi Merkezi: Hakuna Mfanyakazi wa SGR atakayefutwa kazi bila kulipwa stahiki zake ikiwemo NSSF ~ Mkandarasi wa SGR (Yapi Merkezi) anawaondoa Wafanyakazi kwa gia ya kuwapa...
  10. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Kwa hiki kisa changu naweza kupata madai yangu NSSF?

    Habari wakuu! Nilikuwa nafanya kazi mkoa wa kusini Songea ajira ya mkataba wa muda baada ya mkataba kuisha nilienda kuulizia taratibu za kufungua madai wakaniambia mimi bado kijana nitapata kazi nitaendelea kuchangia.. Imepita almost miaka miwili nikiwa Sina kazi nikakumbuka Kuna hela nilikuwa...
  11. Mstaarabu Tz

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini nipate mafao yangu baada ya mwajiri kutonipa barua ya kusitisha ajira yangu?

    Habari zenu ndugu watanzania!!!! Naandika uzi huu kuomba ushauri ili mwanga wa nini cha kufanya ili niweze pata mafao ya kutokuwa na kazi NSSF. Kwanza kabisa mimi ni mkazi wa mkoa wa Mtwara wilaya ya Masasi, mwaka 2022 Septemba katika harakati za kusaka kazi, nlibahatika kupata kazi kwenye...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Pensheni ya urithi ya NSSF kwa mtoto mwenye miaka zaidi ya 21 hatakiwi kupewa?

    Mimi ni mtoto wa marehemu ambaye alikuwa mwanachama wa NSSF amefariki akiwa na umri wa miaka 57 lakini alikuwa bado hajastaafu. Marehemu hakuwa na mume, na wazazi wake wote wawili walishafariki na sisi tupo wawili, lakini wote tuna miaka zaidi ya 25. Nimeenda kudai mafao NSSF Ilala...
  13. Tanki

    JamiiForums Tanzania Tarehe 23 ya NSSF inavyonipa presha na kuniweka roho juu. Niombeeni please!

    Jumamosi tarehe 24 natakiwa nisafiri niende MOROGORO / TURIANI kumalizia msiba wa mzazi wangu. Then bado kuna vitu havijakaa sawa. Then sina kazi kwa sasa. Sasa, baada ya kufuatilia mafao yangu ya NSSF (Fao la kutokuwa na ajira kwasasa) tarehe ambayo NSSF walinipangia kwamba nitakuwa nimepata...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Yapi Merkezi: Hakuna Mfanyakazi wa SGR atakayefutwa kazi bila kulipwa stahiki zake ikiwemo NSSF

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com aliyejitambulisha kuwa Mfanyakazi wa Mradi wa Ujenzi wa Reli ya SGR kulalamikia kuhusu Mkandarasi Mkuu wa Mradi, Yapi Merkezi, kuwa anawaondoa watu kazini kwa lazima kwa njia ya likizo na kuwa haingizi malipo ya NSSF, ufafanuzi umetolewa na Mkandarasi...
  15. BigTall

    JamiiForums Tanzania Mkandarasi wa SGR (Yapi Merkezi) anawaondoa Wafanyakazi kwa gia ya kuwapa likizo ya lazima, pia hajaingiza malipo ya NSSF

    Sisi Watumishi wa SGR ambao tupo chini ya Mkandarasi Mkuu wa mradi huo, Yapi Merkezi tunasikitishwa na kitendo cha Muajiri wetu kupunguza Wafanyakazi kwa gia ya kuwapa likizo ya lazima. Uongozi wa SGR Lot One inayoanzia Dar es Salaam kwanza ulitutaka kwenda likizo ya miezi minne, wengine...
  16. Tanki

    JamiiForums Tanzania NSSF walikataa kunipa mafao yangu hadi niwapelekee cheti Cha kuzaliwa.

    Hiyo ilitokana na utofauti wa tarehe ya kuzaliwa iliyopo kwenye nyaraka zangu za NSSF na nyaraka zangu uraia. Utofauti huo ulikuwa ni tarehe tu ila mwezi na mwaka vilikuwa sawa. Ok, nilifungua madai ya kulipwa mafao yangu. Nikakamilisha Kila kitu. Nikapewa na tarehe ya kuingiziwa hayo mafao...
  17. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania Je, Utaratibu wa NSSF wa Death Grant ni wa Haki? Na je, una mazuri na mapungufU gani? Mjadala Wazi

    Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umeweka utaratibu wa kutoa "Death Grant" kwa warithi wa wastaafu waliofariki. Kulingana na sheria iliyopo, malipo haya yanatolewa kwa mke/mume wa marehemu pamoja na watoto walio chini ya umri wa miaka 18 au wale walio chini ya miaka 21 wakiwa kwenye...
  18. K

    JamiiForums Tanzania KERO NSSF wametoa application yao kwenye App store

    Nssf ilikua na application ambapo mwanachama unawezo wa kuona taarifa za michango yako , Kama statement nk , Ila hivi karibuni wameitoa , sjajua kama play store bado ipo. Kulikoni, kwa nini itolewe, ilkua inaleta transparency kwa wanachama.
  19. Mwafrika mmoja

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu NSSF

    Habarini wakuu, niko hapa kuomba msaada kwa yoyote ambaye ana mtu anamfahamu anafanya kazi NSSF anaweza kuniunganisha naye. Nina maswali mengi nataka kufahamu kabla sijaanza kufuatilia pesa zangu, yeye atakuwa ananisaidia kwenye kila hatua hadi mwisho. Nawasilisha
  20. Damaso

    JamiiForums Tanzania NSSF mmetupiga kitu kizito hapa Watanzania

    Masha Mshomba Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), amebainisha mbele ya Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, changamoto kubwa iliyopelekea kuchelewa kukamilika kwa mradi wa ujenzi wa hoteli ya kitalii ya nyota tano iliyopo jijini Mwanza eneo la Capripoint inayomilikiwa na...
Back
Top Bottom