no reform no election

The Constitutional Reform Act 2005 (c. 4) is an Act of the Parliament of the United Kingdom, relevant to UK constitutional law. It provides for a Supreme Court of the United Kingdom to take over the previous appellate jurisdiction of the Law Lords as well as some powers of the Judicial Committee of the Privy Council, and removed the functions of Speaker of the House of Lords and Head of the Judiciary of England and Wales from the office of Lord Chancellor.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    Jamani hii chukua chukua form imezima kabisa sauti za no reform no election?

    Jamani naona kama upepo umegeuka ghafla sisikii tena kishindo cha no reform no election kama ilivyokuwa siku chache zilizopita. Badala yake kumeibuka mjadala mkubwa sana juu ya watia nia na zoezi la kuchukua na kurudisha form. Je hii inaweza kuwa uthibitisho kuwa chadema walikosea kuchanga...
  2. Marco Seth

    SIRI YA UPONYAJI (UGONJWA WOWOTE)

    Tumezoea Kuona watu wanaumwa Na kutegemea Dawa sana Na wengine wanaenda kwa waganga kumbe wanaongeza matatizo Kwa Nguvu za Mungu hakuna lisilowezekana -Imani Kuwa na Imani na unapo sali Na pia Omba toba usamehewe dhambi zako Math 9:22 Yesu akageuka, akamwona, akamwambia, Jipe moyo mkuu, binti...
  3. technically

    Jumatano twendeni na mabango ya no reform no Election

    Jumatano nasikia atakuwa mgeni rasmi Twendeni na mabango, matisheti ya no reform no Election Tusambaze ujumbe mpaka dunia Ione madai yetu Kwamba bila reform hakuna uchaguzi No reform no Election!!
  4. Marco Seth

    Fizikia na Hesabu ni rahisi, kwanini watu wanaona ni ngumu?

    Hakuna somo Rahisi kama Physics na Math😎. Namshukuru Mungu alinipa siri yake Nikawa nafaulu Baadaye nikafkia stage nikawa napata 97% kwenye Physics Kila kitu kinawezekana Physics na Math ni masomo yanayohitaji watu waliotayari kufikiria sio wazembe . Watu waliopewa uwezo na Mungu Kuyavumbua na...
  5. Waufukweni

    PreGE2025 Salum Salum: Wanaosema 'No reform No election' ni waroho wa madaraka, nitagombea Kahama

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa UVCCM Vyuo na vyuo vikuu mkoa wa Dodoma 2022-2023) Salum Ismail Salum ametangaza nia yakugombea ubunge jimbo la Kahama Mjini baada ya serikali ya awamu ya sita chini ya uongozi wa Rais Samia kuwapa fursa vijana katika uongozi nchini.
  6. Marco Seth

    Gravity ni Nini ?🤔imetokea Wapi?

    God In his Creation Created Gravitational Force Gravitational force is the fundamental force of nature that cause objects with to attract each other According to Universal law of Gravitation State that The Universal Law of Gravitation, also known as Newton's Law of Universal Gravitation...
  7. Mkoba wa Mama

    1. No reform no election 2. Octoba tunatiki

    Usiandike kingeni chochote zaidi ya namba moja au mbili kadri ya mtazamo wako, kama huwezi kuandika namba, basi andika maneno yaliyopo aidha kwenye namba moja au mbili. Usiandike namba zote kwa wakati moja, chagua namba moja tu. NB: kama huwezi kufuata utaratibu, pita kama vile hujaona...
  8. Q

    PreGE2025 ACT na Operation LINDA KURA wakati umesaini 'Ukishapiga Kura Nenda Nyumbani Kalale'

    Kwa mujibu wa kanuni za maadili ya uchaguzi ambazo ACT Wazalendo wamesaini na kuridhia ni kuwa, ukishapiga kura rudi nyumbani kasubiri matokeo, na hata wakala wako haruhusiwi kuingia na simu kukujulisha kinachoendelea hata kama mabox ya kura feki yanaingizwa, sasa utalindaje kura ukiwa chumbani...
  9. sinza pazuri

    Comments za no reform no election zimeyeyuka mapema mitandaoni

    Zilikuwa siku tatu zenye kuwapa faraja makamanda kuwa kampeni yao sasa inaeleweka baada ya dada wa taifa kulamba deal la kuieneza kampeni yao ya no reform no election. Kiukweli mitandaoni kuliwaka moto kila akaunti ya mtu mashuhuli ilivamiwa na comments, kama unavyojua watanzania wanaweza...
  10. Dalton elijah

    ''No Reforms No Election'' Kwa lugha tofauti Dunian

    1. Kiswahili – Hakuna mageuzi, hakuna uchaguzi 💪 2. Kifaransa – Pas de réforme, pas d’élection 💪 3. Kihispania – Sin reforma, no hay elección 💪 4. Kijerumani – Keine Reform, keine Wahl 💪 5. Kireno – Sem reforma, sem eleição 💪 6. Kiarabu – لا إصلاح، لا انتخابات 💪 7. Kichina (Mandarin) –...
  11. mangikule

    PreGE2025 No reform No Election ni agenda ya muda mrefu ilikuwepo kabla ya kutajwa!

    Ukifuatilia muitikio wa agenda wa No Reform No Election utagundua kuwa ni agenda yenye umaarufu kupita chama chochote cha siasa! Muda mrefu sana ukihoji watu sababu ya kutopiga kura utasikia hata nisipopiga kura yangu haina maana! Kura yangu haizingatiwi, Viongozi wameshachaguliwa kabla ya...
  12. Mhaya

    Simba & Yanga Wameibuka Kuja Kuzima Vuguvugu La "No Reform No Election"

    Nimewai kusoma kitabu cha ‘War Made Easy: How Presidents and Pundits Keep Spinning Us to Death’ kitabu kimeandikwa mwaka (2005) na Norman Solomon. Moja ya mstari katika kitabu icho unasema “..., (he) alleges that many government administrations have distorted facts and manipulated the media to...
  13. Shanily

    PreGE2025 No reform no Election ingeanzia kwenye mifuko yao

    Huwa nawashangaa Hawa wabunge na viongozi wa upinzani wakishupaza shingo zako "NO REFORM NO ELECTION" Ni mara ngapi wamechangia katika maendeleo ya nchi Yao kupitia pesa zao za mifukoni wanazolipwa na serikali wanayoipigia kelele!?. Mbona pesa wanazolipwa na serikali hiyo hawazikatai...
  14. Mhaiki2022

    Sarakasi za Yanga na no reform no election

    Ni wazi kuwa timu ya Yanga wameamua kuwaunga chadema kwenye kampeni yao na hii itakuwa kuna watu wanawafadhili...kwa kuwa ukiangalia kwa undani slogan yao ya HATUCHEZI NG'O ni kama ya chadema. Serikali iwangalie vizuri hawa watu utakuta wana agenda ya siri na chadema.
  15. R

    PreGE2025 'No reforms, No Election' na 'October Tunatiki' hazitatusaidia chochote, vijana leteni mifumo ya vitendo zaidi

    Tukiangalia muamko wa wananchi hasa GenZ uko mtandaoni ni wamechangamka kweli, ila tujaribu kufikiria hata kihistoria mageuzi mengi watu walichukua hatua kwa kunyanyuka na kwenda kutenda ndipo waliweza kuwafukuza majasusi na majangili. Hatuwezi kumtoa nyoka pangoni kwa kupapasa lango, tuweke...
  16. Upekuzi101

    Sasa ni wakati mzuri kwa vyama vingine vya upinzani kuunga mkono NO REFORMS NO ELECTION ili kukaa katika upande sahihi wa historia

    SASA nadhani wote tunashuhudia namna siasa za Tanzania zinavoanza kuchukua sura mpya baada ya matukio kadhaa kutokea ndani ya siku chache zilizopita. Tumeshuhudia zomea zomea kwa viongozi waziwazi kuonyesha ni namna gani watu wapo serious wakati huu. Kizazi kilichopo kwa sasa asilimia kubwa ni...
  17. Marco Seth

    Elimu na teknolojia ya Tanzania iboreshwe kwa viwango vya juu ili iandae watu wenye uwezo mkubwa

    Matatizo mengi yanasababishwa na uwezo mdogo wa Elimu Elimu ya kikoloni Wenzetu wanaendelea kwa kasi Kwa sababu ya elimu yao ibo vizuri Na technology Ni bora mtu asomee kitu atakachobobea awe mtaalamu zaidi
  18. K

    No reform no election imeshafanikiwa👍

    Lengo la No reform no election sio watu wachukuwa mawe na kupiga polisi. Lengo kubwa ni kuleta mabadiliko ya sheria za uchaguzi. Kama watalazimisha ni kukakikisha kwa Watanzania wengi wasishiriki uchaguzi na kufanya zoezi zina hata kama ni la kulazimisha lionekana mbele ya watanzania ni...
  19. Upekuzi101

    No reform no election imeshika kasi kituo kinachofuata ni madai ya katiba mpya

    Waswahili husema sikio la kufa huwa halisikii dawa, na wakasema pia Kenge hadi damu zitoke masikioni na puani ndo asikie kipigo. Ni wazi kabisa viongozi wa CCM wamechanganyikiwa na bado hawaamini kuwa wananchi ndo wameshaliamsha hivo. Hapa tulipofika ni lazima mabadiliko katika tume ya uchaguzi...
  20. Common Folk

    Ni kosa kubwa la kiufundi kuileta "Oktoba Tunatiki" katika nyakati ambazo "No Reform No Election" inatrend

    Ama kweli nimeamini mkata roho haachi kutapatapa. Enyi CCM mmekosa kabisa think tank hata wa mambo amabyo yanahitaji "Common Sense" tu? Hamuonagi hata wasanii huwa wanaangalia nyimbo gani zinatrend sana mtaani ili wasije wakatoa wimbo kisha ukadoda! Ni mahesabu ya kutumia akili ya darasa la...
Back
Top Bottom