The Constitutional Reform Act 2005 (c. 4) is an Act of the Parliament of the United Kingdom, relevant to UK constitutional law. It provides for a Supreme Court of the United Kingdom to take over the previous appellate jurisdiction of the Law Lords as well as some powers of the Judicial Committee of the Privy Council, and removed the functions of Speaker of the House of Lords and Head of the Judiciary of England and Wales from the office of Lord Chancellor.
Hii ndio Taarifa ya Dharula iliyotufikia hivi Punde, kwamba baada ya Matangazo kutolewa kwamba Chadema itakuwa na Mafundisho kwa Raia kuhusu Neema ya No Reforms No Election hapo Chato, Raia Wamelipuka kwa shangwe.
Wengi wameahidi kukesha kusubiri Mtanange wa Chadema.
Kule Somalia kuna koo maarufu tano.
Ila koo ya Rahanwein ni koo korofi, inapenda vita, ndio anayotoka injinia Hersi Said.
Koo zingine ni Hewiye, Darod, Isaaq na Dir
Nasikia anautaka na ubunge, tuwe makini.
Hakuna tofauti ya Hatuchezi na No reform no erection,wote wanapimana ubavu. Wote ni...
Ile Neema ya Mungu inayoitwa No Reforms No Election sasa inaingia Mkoani Kagera.
Taarifa iliyosambazwa na Chadema Dunia nzima hii hapa
Taarifa zingine zinaonyesha kwamba timu ya viongozi wa Chadema itasambaa Mkoa Mzima huku kila kiongozi akishambulia vijijini ili kuelimisha wananchi umuhimu...
Katika nyakati tofauti Nape Nauya amelishawai kutoa kauli zenye utata kwenye Taifa letu lakini hakuna hatua yoyote yenye uzito alichukuliwa.
Mfano tutashinda Kwa goli la Mkondo( 2015) Pia mwaka(2024) akiwa Manispaa ya BUKOBA maeneo ya Kashai alitoa Siri za ushindi wa chama Chao namna kina vyo...
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) linakanusha vikali waraka wenye kichwa cha habari "WARAKA WA KICHUNGAJI KUSOMWA KATIKA PAROKIA ZOTE, VIGANGO, NA JUMUIYA NDOGONDOGO ZOTE NCHINI TANZANIA KWA WEEK 10 MFULULIZO".
Tunapenda kuwatangazia Waamini na Watanzania wote kwa ujumla, kupuuza...
https://youtu.be/jRUxerN3pq8?si=Ee2_5SrEbZWuZxhW
John Heche akiwa kwao Tarime aongea kwa uchungu sana kuhusu mabadiliko ndani ya Tanzania. Msikilize hadi mwisho. Ni zaidi ya Mpigania Uhuru enzi za Wakolone.
Katibu mkuu wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA ametoa ratiba mpya ya ziara ya kampeni ya No reforms No election ambapo amesema licha ya kuendelea kwa kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu bado wataendelea na mikutano ya hadhara na kubainisha kuwa tarehe 08 hadi tarehe 12 mwezi mei...
Nimemsikia Kitima na viongozi wengi wa Dini na hata wanasiasa wengine wa uoinzani na hata WanaCCM wenzangu, wanawafanya watu waone wanatenda dhambi sana kushiriki Uchaguzi ambao straight forward kuna madosari kibao.
Kailima anajua fika mikono yake itakuwa na harufu ya damu mwaka huu. So bad...
Kwanza natanguliza kusema kuwa Tundu Lissu yupo sahihi kwa manufaa ya umma.
Pili katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ni mali ya Watanzania wote na sio mali ya wanaCCM.
Tatu tutapokuwa na sheria mama ambayo itawezesha Tanzania kuwa na uchaguzi huru na wenye haki. Maana yake viongozi...
Ni mara chache sana huwa naandika kuhusu Siasa,na niweke wazi huu ni mtazamo wangu kama ambavyo nawe unaweza kuwa na mtazamo wako
Binafsi naona hii movement ingesubiri kwanza kwasababu moja kubwa,ni hivi majuzi tu Mheshimiwa Tundu Lissu ndio amechukua madaraka ya Uenyekiti wa Chama cha...
Anachotetea Tundu Lissu kina umuhimu sana kwa maendeleo ya nchi yetu. Uongozi ni kitu kinachofanyika kwa referal na sheria za nchi zinafanyika kwa referal. Magufuli ndiyo Rais wa kwanza Tanzania aliyetumia nguvu zake kwa asilimia 100%. Tulishuhudia alijenga Airport alikozaliwa. Alijaza watu wa...
One defense strategy that our bodies have evolved is programmed cell death. In this process, cells in our bodies once infected say with a virus or sustained irreparable damage, they commit themselves to and initiate self-killing process called apoptosis. It is a marvelous evolution that ensure...
Wakuu,
Nimefuatilia harakati za Chama Cha Demokrasia na Maendeleo,nimejiridhisha kuwa CHADEMA ina maono,dira na taswira nzuri juu ya Tanzania ya kesho.
Kauli mbiu yao ya no reform no election haina lengo la kuchochea,wala kuratibu uasi dhidi ya serikali bali inalenga kuweka mambo sawa ya...
Kwanza nikupe maua yako Mhe. Aida Mbunge wa Nkasi. Mimi pia ni Mkatoliki na uliyoyasema yana ukweli kwa asilimia 100.
No Reform No Election umeletwa na uchaguzi mbaya na wa hovyo wa Serikali za Mitaa 2024. Uchaguzi wa 2024 ungeenda vizuri pasingekuwepo na No Reform No Election.
Mtu...
Wakati Makaburu walivyowakamata na kuwafunga Wapigania Uhuru wa Afrika Kusini, wananchi wa Afrika kusini waliona isiwe tabu na kuanza kufanya mission za kimyakimya kuwaangamiza Ma puppet wa Makaburu.
Moja ya mbinu zilizofanywa na Wananchi wa Afrika kusini ni kuharibu na kuchoma mali za na...
Hizi ndio sera za CHADEMA wanazo zihubiri katika majukwa Yao Kwa zaidi ya miaka kumi Sasa
Katiba mpya
CHADEMA wanaamini kwamba katiba mpya itakuja na uwepo wa serikali tatu hivyo katika hizo serikali 3 na wao wanaweza kupata japo Moja
Tume huru ya uchaguzi
CHADEMA wanahisi Huwa wanaibiwa...
Baada ya kusikia viongozi wa dini pasaka kuhusu haki naona sasa media zinatumia mda mwingu kwa mwijaku na manara.
Nilitoa uzi kuwa na wasiwasi na hizi tafrija kubwa za wasanii mfano Harusi ya jux ila nilicho shambuliwa kusema ni wivu.
CCm wanaona pesa nyingi kuzimisha media mpaka hapa JF ni...
PICHA YA SERIKALI YA CHADEMA
Rais: Tundu Lissu
Makamu wa Rais: John Mnyika
Waziri Mkuu: Heche
Waziri wa Michezo: Sugu
Naibu Waziri wa Michezo: ( )
Mkurugenzi wa Wizara ya Michezo: (. )
Waziri wa Mambo ya Ndani: Boni Yai
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani: ( )
Mkurugenzi wa...
Ujumbe WA Mwl JK Nyerere juu ya watu wasiopenda mabadiliko , sasa sijui sisiemu hawapendi Mabadiliko au ni Vyama Vingine au ndio njia ya kumuenzi Nyerere
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.