no reform no election

The Constitutional Reform Act 2005 (c. 4) is an Act of the Parliament of the United Kingdom, relevant to UK constitutional law. It provides for a Supreme Court of the United Kingdom to take over the previous appellate jurisdiction of the Law Lords as well as some powers of the Judicial Committee of the Privy Council, and removed the functions of Speaker of the House of Lords and Head of the Judiciary of England and Wales from the office of Lord Chancellor.

View More On Wikipedia.org
  1. SankaraBoukaka

    GE2025 No Reform No Election ya CHADEMA ni Kusubiri Meli Airport Kipawa

    Kauli ya “No Reform No Election” iliyotolewa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imekuwa gumzo kubwa kwenye medani za siasa za Tanzania. Wafuasi wake wanasema ni msimamo thabiti wa kudai mabadiliko ya msingi kwenye mfumo wa uchaguzi kabla ya kushiriki tena kwenye chaguzi zijazo. Hata...
  2. Kimbesa11

    GE2025 Rest in Peace No Reform no Election siasa si kuongea sana siasa ni sayansi vitu vinajifuta vyenyewe automatically

    Leo nimepata majibu ya kwanin course yangu chuo iliitwa political science. Kumbe siasa si kuongea siasa ni kusimamia kile unachokiamini kikamilifu mengine yatajifuta yenyewe bila shinikizo. Leo tunashuhudia kufariki kwa no reform no election na hatimaye watu wamekosa waende na nini. Siasa si...
  3. J

    GE2025 "NO REFORM NO ELECTION"Mkakati uliokosea Timing

    Huwezi kupambana na kuleta mabadiliko makubwa ya kikatiba kwa Nchi ambayo imeongozwa na chama kimoja kwa zaidi ya miongo mitano kwa harakati za barabarani (maandamano & mikutano ya hadhara) na vikao vya majadiliano tu bila nguvu ya bunge, ni ngumu sana. Ili kulainisha mabadiliko haya lazima uwe...
  4. Tauceti Rigel

    Wazazi, Mnamfundisha Mtoto Kuishi au Kuwa Mshika Maandishi? – Usimjengee Akili, Ukauwa Ujasiri Wake

    Kuna wazazi wengi wanafikiria kuwa kazi yao kubwa ni kuhakikisha mtoto anapata akili sana. Anapata elimu nzuri, anasoma vitabu vingi, anajua mambo mengi. Hili si kosa. Lakini kuna jambo moja kubwa ambalo wengi wanasahau: Yaani, unamjaza mtoto maarifa, unamwambia maisha ni hivi na vile...
  5. Idugunde

    Watia nia wa CCM mliokatwa na kupigwa chini acheni kulalama ovyo. Huu ni wakati wa ninyi kuunga mkono No reform no election

    Taifa hili lingekuwa na katiba bora ambayo imelenga kulinda maslahi ya taifa hili haya mnaolalamikia yasingekuwepo Mara sasa hichi ni chama cha kisulutani, mara kuna rushwa ya ngono oh mara mtu.kawa Diwani viti maalumu kwa miaka 30 n.k Ungeni mkono no reform no election ili taifa. Liweze kukaa...
  6. K

    Umuhimu wa No reform no Election sasa naona walikatwa wanaona

    Umuhimu wa No reform no Election sasa naona walikatwa wanaona. Sasa hamuwezi kwenda kugombea kwa sheria hizi bila reform maana mafisadi na wezi wanaibia chama kimoja tu ni lazima mfumo ubadilike maana kesho yenu hamjui itakuwaje angalieni sasa
  7. Kimbesa11

    Leo ni Rasmi Sasa tunasema: Rest in peace no reforms no election

    Tunashuhudia utekelezaji wa Katiba ya Taifa letu kwa 100% Hongera sana viongozi wetu. Mabeberu walishindwa hata ku-edit slogan yao ya kibeberu kwa kiswahili. OCTOBER TUNATIKI ✅ ✅
  8. Kimbesa11

    GE2025 CCM ni maji yaliyotulia: Wapinzani wetu wapo na no reform no election huku wanafatilia kinachoendelea CCM kwenye uteuzi wa wagombea

    Wahenga walisema "maji yaliyotulia Yana kina kirefu" CCM NI MAJI YALIYOTULIA" Nashangaa kuona wapinzani wapo busy na kufatilia habari za uchambuzi wa wagombea wa ubunge na udiwani wa CCM huku wanaamini No Reform no Election sijui ni akili ya namna gani hii. Tuliwaambia CCM ni dude kubwa...
  9. E

    GE2025 Afande Muliro: No Reforms No Election haipo kisheria, haiwezekani kabisa

    Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema kauli mbiu ya No Reforms No Election inayitumiwa na CHADEMA, haipo kisheria na haiwezekani kabisa. Ameyasema hayo leo Julai 22, 2025 alipokua akihojiwa katika kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na Clouds TV, akisema...
  10. Fbn

    Afande muliro kusema `No reforms No election` ipo kwa sheria gani?, Inaonyesha unajibu mambo ya siasa na sio kazi yako

    Hapa afande muriro kama unasoma JF umekosea sana kujibu kitu ambacho sio sehemu yako sababu polisi kazi yake kusimamia usalama pamoja na raia na mali zao.Sasa inakuwaje mambo ya siasa ukaweza kuyajadili ambayo maneno wanayotumia CCM na wewe ndio unatumia hayo hayo. Siku mabadiliko yakija...
  11. SweetyCandy

    Chadema wapo kwenye no reform no election

    https://www.facebook.com/share/r/16o6d5w3Gq/ Chadema wangeshinda ingekuwa sawa ila hawashindagi
  12. K

    No reform no Election ndiyo msemo wa taifa 2025

    Hakuna cha 4R Hakuna cha miradi Hakuna kingine chochote nchi nzima na hata diaspora ujumbe na Watanzania wanahitaji mabadiliko ya sheria za nchi na kuanza na sheria za chaguzi. Bila hivyo Watanzania hawataona tena kama chaguzi ni za huru na haki hata kama watawala watalazimisha huu ndiyo ukweli
  13. D

    Ukweli Fikirishi: Nani Anataka Mabadiliko na Amani ya Kweli kati ya Wanaosema No Reform No Election na Wale Wanaosema Watalinda kura?

    Kuna vitu wala havihitaji kuwa la saba C kuving'amua. Huyu anasema no reform no election akimaanish bila mabadiliko ya kweli hakuna uchaguzi na hawa wanaosema watalinda kura.. Hivi unalindaje kura kwa mfano? Ni njia gani watazitumia? Halafu cha ajabu watu hao ni watz, wanajua context yote. Havana
  14. Daraja2

    Kauli ya "No reform no Election" -2025 yaiangamiza "UPINZANI"

    Inawezekana kauli hii ilipenyezwa kwa walengwa bila wao "kung'amua" Faida iliyopatikana mpaka Sasa ni 100% kwani imewasambaratisha vipande vipande kupitia mtu wao (Urusi ilisambaratika vipande vipande kupitia Mikhail Goberchov mwaka 1990). Hasara; wale wanaokatwa vichwa kwa Sasa wanashindwa...
  15. Youbettersleep

    GE2025 Athari za no reform no election kwa CHADEMA na vyama vingine vya siasa Tanzania

    Wajomba eeeh unajua harakati ya CHADEMA ya “No Reforms, No Election” ilikuwa ni msimamo mkali wa chama hicho kupinga kushiriki chaguzi bila marekebisho ya msingi katika mfumo wa uchaguzi na sheria zinazosimamia siasa nchini Tanzania. Msimamo huo uliathiri siasa kwa njia kadhaa: 1. Athari kwa...
  16. Mto wa mbu

    Hali inatisha notes za fedha zinapigwa chata ya No reform no election

    Hii ni Nini jamani, au ndo civil disobedience, na vijana Sahivi wameapa kuzipiga chata notes za TSH chapa ya no reform no election.
  17. 888I

    GE2025 "Tutalinda Kura 2025" — Lakini Kwa Mfumo Huu? Hebu Tuache Kujidanganya

    Katika taifa ambalo mgombea kama Boniface Mwabukusi — sasa ni Rais wa TLS — anasimulia jinsi kura zake zilivyokusanywa, kupuuzwa, na mwisho kuchomwa moto huku akiambiwa “nenda ukalalamike popote,” mtu yeyote anayesema atalinda kura 2025 bila kutanguliza mabadiliko ya sheria na mfumo, ama...
  18. Kimbesa11

    Tetesi: Kama ni kweli viongozi wa CHADEMA mpaka sasa wanaamini No Reforms no Election, basi chama hakina viongozi

    Husika na mada tajwa hapo juu: Nashangazwa kuona slogan ya no reform no election ikiendelezwa na viongozi wakuu wa chadema ili hali wanaona kuna maelfu kwa maelfu ya watu wanachukua form za kugombea uongozi ndani ya Nchi yetu. Hii ni ishara kuwa chadema hakuna viongozi kabisa na sidhani Kama...
  19. Dr Akili

    GE2025 Hivi kampeni za CHADEMA za no reform no election zitaruhusiwa kwenda sambamba na zile kampeni za kuelekea uchaguzi zitakapofunguliwa?

    Hivi karibuni kampeni za kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025 zitaanza. Tarehe ya kuanza itatangazwa na Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi hivi karibuni. Vyama vyote vya siasa isipokuwa chadema viko kwenye harakati ya kupata orodha ya wagombea wao na kuiwakilisha INEC. Daftari la wapiga kura...
  20. stakehigh

    Watu wengi walipoteza akaunti zao katika sakata la kucomment "No reform No ELection'

    Sio la kushangaza ila wengi walikua hawajui ukicomment neno moja mara nyingi nyingi insta wanaichukulia kama violation of policy, wanaichukulia kama ni BOT, however baadhi ya vijana tuliwaonya mapema kabla ya kuchukua zile pesa ila hawakuskia leo hii akaunti zao zimekua ban kwa hela ya vocha tu!
Back
Top Bottom