njia

Tao-Njia is a studio album by American jazz trumpeter Wadada Leo Smith which was recorded in 1995 and released on the Tzadik Records' Composer Series.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Luteni Colonel Daniel Davis wa Jeshi la Marekani anasema hakuna njia yoyote ya kijeshi itayoifanya Ukraine iishinde Urusi vitani

    Luteni Colonel Daniel Davis wa Jeshi la Marekani ambaye amewahi kupigana vita nne tofauti anasema kuwa tuache kupumbazana, kudanganya na kupeana matumaini hewa, kiuhalisia hakuna njia yoyote ile ya kijeshi ambayo Ukraine inaweza kutumia kuishinda Urusi kwenye vita vinavyoendelea Ukraine...
  2. JamiiForums Tanzania Mke wangu ameniacha njiapanda

    Wakuu mmebarikiwa sana na Mwenyezi Mungu. Jana usiku ulitokea msala mmoja mimi na mke wangu. Smartphone ya mke wangu ilivujia wino kwa bahati mbaya bado hajaipeleka kwa fundi sasa J5 aliniomba simu yangu aweke application ya business WhatsApp ili achart na marafiki zake nikamwambia sawa. Sasa...
  3. JamiiForums Tanzania Chief Hangaya tumia njia za jadi kuiendesha nchi, hutajutia

    Kitu cha kwanza walichokifanya wakoloni walipokuja kwetu ni kutuambia kuwa kila kitu chetu hakifai, ni duni, ni uchenzi. Hii ikasababisha watu wabadilishe hata namna ya kuvaa, kuchana nywele, kula, matibabu, ulinzi na utawala. Tulifuta kabisa tawala na viongozi wa jadi na kukumbatia utamaduni wa...
  4. JamiiForums Tanzania Nitumie njia gani Kuongeza Uboho (bone marrow)?

    Habari wakuu, naomba kufahamu njia hususani vyakula, vinavyoweza kunisaidia kuongeza uboho. Mimi ni mdau sana wa mbuzi choma, story za vijiweni zinadai kuwa mbuzi choma ni chanzo cha upungufu wa uboho, ningependa kufahamu vyakula vya kuuongeza ili ni balance mambo. Asanteni.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Njia 5 za kuwa salama ukiwa Mtandaoni: Faragha ya Mtumiaji

    Njia 5 za kuwa salama ukiwa Mtandaoni faragha ya Mtumiaji Kumbuka - Hakuna usiri uwapo Mtandaoni kwa sababu huenda kuna mtu au mfumo unakufuatia uendapo na ufanyacho. Njia za kuwa salama ni zifuatazo; 1- Tumia Password imara 2- Ruhusa uthibitisho wa njia mbili (Two factor Authentication) 3-...
  6. JamiiForums Tanzania Wakazi wa Madaba wampongeza Rais Samia kwa Tsh bilioni 1.5, Mbunge Mhagama awaonesha vijana njia

    Wananchi wa Jimbo la Madaba wakiongozwa na Mbunge wa Jimbo hilo, Dkt. Joseph Mhagama wamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kupata tuzo ya mafanikio ya ujenzi wa miundombinu. Pongezi hizo zimetolewa Juni 4,2022 wakati wa tamasha la kutambua vipaji kupitia sanaa na michezo jimboni humo...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Miundombinu inayojali mazingira na kuzingatia mahitaji ya wanyama pori ndio njia mwafaka ya kutunza asili

    Na Ronald Mutie. Wakati wa mchakato wa usanifu, wataalam wa reli hii ya kisasa SGR kati ya Mombasa na Nairobi nchini Kenya walichukua hatua kadhaa zilizolengwa kushughulikia masuala ya mazingira, kama vile kulinda mimea na wanyama mbalimbali wa porini. Tangu kufunguliwa kwake Mei mwaka 2017...
  8. JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kupata mafanikio kwenye ufugaji wa kuku wa mayai

    Cage za kuku wa mayai. Layers Cage. ¹kutokana na mfumo wa cage zetu ulivyo boreshwa kuku watakuwa salama saana na kuepuka magonjwa kwa asilimia zaidi ya 85%. ²Usalama wa mayai ni 100% mfumo uliowekwa ni wa kisasa na kumfanya kuku asiyakalibie mayai. ³utafuga kuku wengi saana katika eneo...
  9. JamiiForums Tanzania Siamini kama utajiri unapatikana kwa njia ngumu zenye mateso

    Tokea zamani nimekuwa siamini msemo unaosema kwamba utajiri unahitaji uvumilivu,subira,kupitia magumu nakadhaalika. ninachoamini ni kwamba utajiri sio mgumu kupatikana ni rahisi lakini huwenda njia zake hizo watu hawazijui(zina siri) Tukumbuke kuwa kitu kuwa rahisi haina maana kwamba watu...
  10. JamiiForums Tanzania Vyama vya siasa vya upinzani jifunzeni njia tofauti za kuomba maji ya kunywa na kupewa

    Unaweza kupewa glasi iliyojaa maji ya kunywa kwa njia tofauti. Unaweza kuomba au kuagiza upewe maji, unaweza kubembeleza au kufoka upatiwe maji ya kunywa ukapewa, na unaweza kuyachukuwa mwenyewe bila kuomba ukayapata. Njia zote hizi zina lengo moja tu la kupata maji glasi moja tu ukate kiu bila...
  11. JamiiForums Tanzania Ajira zinazopatikana katika njia za Digitali (Freelancing Jobs)

    Freelancing jobs: Hizi ni kazi za mtandaoni ambazo mtu unafanya ukiwa katika ofisi yako ama nyumbani kwako zinaitwa freelancing jobs, ajira hizi unakuwa hujaajiriwa na mtu yeyote bali umejiajiri mwenyewe, kwa lugha nyepesi unaweza kuita kazi za mkataba/ contact jobs. Hapa ni wewe na mwenye kazi...
  12. JamiiForums Tanzania Iringa: Ufugaji Samaki Bwawa la Nzivi Mufindi kwa Njia ya Vizimba Waanza

    Mafundi wakijenga Kizimba ndani ya Bwawa la Nzivi, Wilaya ya Mufindi Mkoani Iringa kwa ajili ya ufugaji samaki Uwekezaji mkubwa wa ufugaji samaki kwa njia ya vizimba imetajwa kuwa ni fursa kubwa ya uwekezaji katika Bwawa la Nzivi wilaya ya Mufindi mkoani Iringa. Hatua ya uwekezaji huo mkubwa...
  13. JamiiForums Tanzania Nini njia ya kukomesha wizi huu majumbani?

    Niende moja kwa moja kwenye mada kama maeneo nayoishi kumekuwa na vitendo vya wizi mchana na usiku ila style wanayotumia wizi ni kama aina mpya flani kwani kama miezi miwili kuna wezi walivamia usiku kwenye duka la vifaa vya ujenzi na kuiba bila kuvunja grill yaani walifungua kufuli kama kwao...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Tanzania yatangaza kuchukua hatua za kudhibiti wanyama pori wanaopotea njia

    Mamlaka za Tanzania zimetangaza kuchukua hatua za muda mrefu na mfupi zinazolenga kudhibiti wanyama pori wanaopotea njia kutoka kwenye maeneo yao wanayohifadhiwa na kufanya uharibifu kwenye vijiji. Kwenye taarifa yake Waziri wa Maliasili na Utalii Pindi Chana amesema wanyama hao wakiwemo tembo...
  15. JamiiForums Tanzania Mimi ni muheshimiwa, natafuta njia ya kupotea hata kwa miezi mitatu...

    Wakuu.... Nimeamua kushuka hapa Tinde, nilikua safarini kuelekea huko kijijini kwetu kutoka Daslam nilipo vunja udugu wa dam, baada ya kuona sitendewi haki ugenini. Na baada ya kuuza ng'ombe zangu 12, nikaona niwakomeshe kwa kuenda kulala stendi ili niondoke nyumbani kwao. Sasa lengo na...
  16. JamiiForums Tanzania Ni mashine gani ambayo ukiipata itafungua njia zako za kibiashara?

    Kila mtu ana ndoto ya kuwa na mradi mkubwa wa biashara. Lakini lazima tukubali ili ufike sehemu lazima uanzie somewhere. Kwa wajasiriamali wengi huwa tunatamani ukipata mashine au kifaa fulani basi itakufungulia milango na kukusogeza sehemu kuzifikia ndogo zako. Mimi moja ya mashine...
  17. D

    JamiiForums Tanzania TANROADS na TRC wekeni matuta kwenye makutano ya barabara na njia za treni; Alama na ishara hazitoshi maeneo hayo

    Ile kanuni ya treni kwamba huwa haigongi bali hugongwa haikuwa na maana hii kama inavyoelezwa na wengi! Kama ni sheria au kanuni Basi waliopitisha hawakufikilia vizuri! Treni haigongi porini lakini linapokuja suala la muingiliano wa njia za treni na barabara treni inaweza kugonga! Kwasababu...
  18. JamiiForums Tanzania Naishauri Serikali isiwatumie ambao sio watumishi kwenye sensa, maeneo mengi wameharibu kazi na hakuna njia ya kuwajibisha

    Naishauri Serikali isiwatumie watu ambao sio watumishi wa umma kwenye zoezi la sensa na sababu ni hizi. 1. Wengi wanaomba maeneo ambayo hawayajui hivyo wanalipua ili wawahi kuondoka mfano mtu anakaa Dar es Salaam anaomba kazi ya sensa Matombo hapa atalipuwa ili amalize haraka aondoke. 2...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Matunda ya miaka mitano tangu ufanyike Mkutano wa Kwanza wa “Ukanda Mmoja, Njia Moja” yaliwa hadi na wananchi wa kawaida

    Pili Mwinyi Pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” (BRI) lililotangazwa na rais wa China Xi Jinping mwaka 2013, kwa sasa linaonekana kuzaa matunda matamu kwa nchi zote zinazoshiriki kwenye pindekezo hili. Ukiwa sasa huu ni mwaka wa tano tangu Mkutano wake wa kwanza wa ushirikiano wa kimataifa...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Biashara ya bidhaa za Afrika kwa njia ya mtandao wa Internet kupanua mauzo ya bidhaa za Afrika nchini China

    Fadhili Mpunji Mwezi Aprili mwaka huu shughuli nyingi ya mauzo bidhaa za Afrika kwenye mtandao wa internet ilifanyika nchini China. Wateja wa miji mbalimbali ya China walitumia muda wao kwenye simu na kompyuta zao, wakitazama, kusikiliza, kuchagua na kununua bidhaa mbalimbali kutoka nchi za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…