Michepuko uimarisha ndoa na uchumi kama utawatumia vizuri

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,482
40,495
Kuna rafiki yangu mmoja yupo kwenye ndoa huu ni mwaka wa 19, wameishi pamoja na mkewe kwa muda mrefu, na hii imechangiwa pia kwa kufanya kazi mkoa ambapo wote wanaishi pamoja.

Amejitahidi kujiwekeza anavyoweza ila mwaka juzi alipata uhamisho wa kikazi wa kwenda mkoa wa mbali.

Kufika huko mkoani akaanza maisha mapya ya ubachela, mbaya zaidi hakuwa na mchepuko. Ikawa anajitahidi kila wakati kumtumia mkewe nauli ili aende akamalize haja zake.
Basi jamaa ikabidi apambane anavyoweza ili aweze kurudi nyumbani akaishi na mkewe kwa kujiajiri, akafanikiwa kununua Hiace.

Kutokana na nguvu ya kumpenda mkewe pamoja na kuhisi labda wakulungwa wanamfaidi, akaamua kuacha kazi, na kurudi kwa mkewe.

Mbaya zaidi, gari yake bado hajaikamilisha kwenye usajili, imepaki nyumbani tu, na amekuwa ni baba wa nyumbani. Mpaka mkewe ameanza kumdharau, kwa sababu hakuna mapato yanayoingia.

Na mapenzi yameanza kuchuja

Chakujifunza: nguvu ya mwanaume ni pesa, huko alipo kama angekuwa na mchepuko pesa ingekuwepo na heshima ingekuwepo.​
 
Matokeo ni baada ya kufa aje atuletee testimony kuwa nyumba ndogo inaimarisha ndoa too bad mnaendaga kuzaa huko Kuna mbuzi Moja ilianzisha Uzi eti wyf hajaniweka kwenye list ya beneficiary wake, beneficiary my foot😏
 
Kuna rafiki yangu mmoja yupo kwenye ndoa huu ni mwaka wa 19, wameishi pamoja na mkewe kwa muda mrefu, na hii imechangiwa pia kwa kufanya kazi mkoa ambapo wote wanaishi pamoja.

Amejitahidi kujiwekeza anavyoweza ila mwaka juzi alipata uhamisho wa kikazi wa kwenda mkoa wa mbali.

Kufika huko mkoani akaanza maisha mapya ya ubachela, mbaya zaidi hakuwa na mchepuko. Ikawa anajitahidi kila wakati kumtumia mkewe nauli ili aende akamalize haja zake.
Basi jamaa ikabidi apambane anavyoweza ili aweze kurudi nyumbani akaishi na mkewe kwa kujiajiri, akafanikiwa kununua Hiace.

Kutokana na nguvu ya kumpenda mkewe pamoja na kuhisi labda wakulungwa wanamfaidi, akaamua kuacha kazi, na kurudi kwa mkewe.

Mbaya zaidi, gari yake bado hajaikamilisha kwenye usajili, imepaki nyumbani tu, na amekuwa ni baba wa nyumbani. Mpaka mkewe ameanza kumdharau, kwa sababu hakuna mapato yanayoingia.

Na mapenzi yameanza kuchuja

Chakujifunza: nguvu ya mwanaume ni pesa, huko alipo kama angekuwa na mchepuko pesa ingekuwepo na heshima ingekuwepo.​
Jamaa fala Sana!!
Mwanaume unaachaje kazi kumfuata mke?
Akili hii mwanaume unaitoa wapi!?
Mke wangu hata Kama Ana cheo gani siwezi acha kazi nimfuate.
Labda kuwe na sheria inayonilazimisha kufanya hivyo.
Vinginevyo Bora kuacha wamle tu huko aliko
 
ujinga wake usihuhusishe na kubaki njia kuu,hajatumia akili kuacha kazi kwani kama shida ilikuwa uchi si mkewe angemfata?narudia usisingizie kuchepuka
Mke atamfuata mara ngapi mkuu?; wengine kuvumilia wiki 2 tu ni mtihani
 
Back
Top Bottom