njia

Tao-Njia is a studio album by American jazz trumpeter Wadada Leo Smith which was recorded in 1995 and released on the Tzadik Records' Composer Series.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Zitumie njia hizi kukabiliana na athari za u-extreme perfectionism

    Habari kwa wanajukwaa. Ni matumaini yangu muwazima wa afya. Awali ya yote kabla sijaenda kwenye mada nataka nielezee u-perfectionism kwa kifupi. Perfectionism ni hali ya kuwataka/kutarajia au kujitaka/kujitarajia wewe mwenyewe kufanya jambo/mambo bila ya kuwa na kosa/makosa yoyote. Watu ambao...
  2. JamiiForums Tanzania Ziko njia sahihi za kuingiza kipato mtandaoni

    Habari za asubuhi na hongereni kwa majukumu ya utafutaji. Kumekuwa na mijadala mingi sana huu ya pesa mtandaoni. Na kuna baadhi wametoa shuhuda jinsi wanavofanikiwa kwa njia mbalimbali za mtandaoni. Mtandaoni kuna pesa kikubwa upate njia sahihi za kufanya, tuache woga wa uthubutu na kuziba...
  3. JamiiForums Tanzania Gharama za ujenzi wa Barabara ya Njia 8 Kimara - Kibaha zapanda kutoka Bilioni 141 hadi Bilioni 218

    Wakati Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) ukieleza sababu ya ujenzi wa barabara njia nane kutoka Kimara jijini Dar es Salaam hadi Kibaha mkoani Pwani kuchelewa, ujenzi huo unatarajiwa kukamilika Aprili 15 mwaka huu. Ujenzi wa barabara hiyo yenye urefu wa kilomita 19.2 unaofanywa na kampuni...
  4. JamiiForums Tanzania Moja ya njia rahisi ya kuipeleka Bongo Hip-hop international

    Peace to brothers and sisters! Najua ziko njia kadhaa zinazoweza kuwapush wasanii wetu wa Hip-hop kuvuka mipaka hata nje ya Afrika,kutegemeana na strategies na plans za msanii husika. Nchi yetu imebarikiwa vipaji vingi sana vya ma Mc na Rappers wakali,japo hutumia lugha mama pendwa ya...
  5. JamiiForums Tanzania CHADEMA njia pekee ya kushika dola 2030, unganisheni nguvu na team Magufuli

    Miaka takribani 2 imepita toka afariki Hayati Rais wa awamu ya tano John Pombe Magufuli na juzi tarehe 17/03/2023 tumeazimisha miaka miwili ya kifo chake kwa masikitiko makubwa. Baada ya kufariki kiongozi wa awamu ya 5 nchi imepitia vipindi tofauti ambavyo vimethibitisha na kudhihirisha aina ya...
  6. JamiiForums Tanzania Ulitumia njia gani kuishi kwa mtu bila kukuchoka?

    Ndugu zangu humu hamjambo wote? Humu ndani kuna wakati tunakuwa au tumewahi kuishi kwa watu au ndugu, lakini huwa baada ya kuishi kwa kipindi fulani mkiwa pamoja linakuja suala la kuchokana au kuchokwa. Hii inatokana na wewe kuhitaji msaada wao zaidi hasa wa hifadhi na chakula. Sasa mimi...
  7. JamiiForums Tanzania Yanga kesho njia nyeupe kuelekea Robo fainali

    Baada ya kuwapigia soka Safi real bamako, kesho ni usiku wa kisasi mje kushuhudia pira Safi. Simba hongereni Sana watani Ila muache kuroga😁
  8. JamiiForums Tanzania Njia za kupata VISA ya Portugal ni zipi?

    Habari wana-JF. Ningependa kufahamu kwa nchi ambazo hazina balozi hapa nchini (Portugal) ni njia zipi za kufuata kufanya application hasa kwa Visa ambazo inakubidi application ufanyie nchini kwako. Retirement Visa / Portugal D7 Visa.
  9. D

    JamiiForums Tanzania Ni njia gani ya ajabu ambayo mhalifu alikamatwa?

    Mohammad Ashan alikuwa kamanda wa Taliban ambaye alisakwa kwa ku-organize mashambulizi dhidi ya wanajeshi wa Marekani. Kulikuwa na mabango mengi yaliyotangaza kwamba anatafutwa na maafisa wa Marekani na zawadi ya dola 100 kwa yeyote ambaye angetoa taarifa ambazo zingemfanya akamatwe. Cha...
  10. JamiiForums Tanzania Hizi ndizo zama za kila mtu abebe msalaba wake, njia ya msalaba

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Shida zako zilikuwa za familia, ukoo na jamii nzima. Furaha yako, ilikuwa ya familia, ukoo na jamii nzima. Mtoto wako alikuwa wa familia, ukoo na jamii nzima. Maadili yako yalikuwa ya familia, ukoo na jamii nzima. Huko ndiko tulipotoka, tumefika hapa ndiko...
  11. JamiiForums Tanzania Magomeni Kota - TBA fungulieni njia mbadala wakati huu wa ujenzi wa barabara

    Ni hivi, barabara zote za kuelekea barabara ya Morogoro zina marundo ya vifusi. Geti pekee kwa wakazi wenye magari la kuingia Magomeni Kota ni lile lililo mkabala na Turiani Sekondari. Kwa maelekezo ya TBA na walinzi wake, geti hilo sharti lifungwe saa 6 usiku. Hawa ni watu na siyo mifugo wa...
  12. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Njia ya Kusafirisha Umeme katika Mradi wa JNHPP Yafikia 92%

    Waziri wa Nishati, January Makamba amesema kuwa, Serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) inaendelea na utekelezaji wa mradi wa njia ya kusafirisha umeme kutoka Bwawa la Julius Nyerere hadi Chalinze pamoja na ujenzi wa Kituo cha kupoza umeme cha Chalinze ambapo ujenzi wa njia ya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa jinsi ya kutuma maombi JWTZ kwa njia ya barua pepe (email)

    Habari wakuu, Nilikua naomba msaada wa jinsi ya kutuma maombi JWTZ kwa njia ya Email. Naomba mnielekeze jinsi ya kutuma unavyo upload barua na viambata vyote. Asanteni.
  14. JamiiForums Tanzania Njia 10 za kuongeza thamani ya ardhi yako

    Utangulizi. Thamani ya ardhi yako inapoongezeka huathiri bei ya ardhi husika. Mara nyingi thamani 6a ya ardhi na bei yake huenda pamoja lakini sio lazima. Thamani inaweza kupanda na bei isiongezeke. Vilevile bei inaweza kuongezeka bila hata thamani ya ardhi kuongezeka. Thamani ya ardhi hupanda...
  15. JamiiForums Tanzania Njia za kushinda soko la ushindani kibiashara

    Habari wakuu, Niende kwenye mada Moja kwa Moja : tufahamu biashara kwa Sasa Kila unachokifanya haufanyi peke yako Kuna mwingine nae anafanya inafanya na yako inaweza ikawa tofauti ndogo, vitu ambavyo vinachangia kufanya vizuri kwa bidhaa yako(kupata wateja) ni pamoja na: 1) Brand name hii...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Tafuteni njia bora, Vicoba ni upotevu wa pesa!

    Kwa sisi wataalamu wa Fedha huwezi kuita uwekezaji kama hakuna vitu viwili Risk & Return. Sijui kwa kiswahili nisema vipi. Vicoba ni wizi tu maana pesa haiendi kwenye uzalishaji wowote lakini kibaya ukitoa pesa kuna faini. Hivyo Fedha mnaweka bank ambako kuna fees bila riba, hakuna faida yoyote...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Kongamano la Utimiaji wa Mambo ya Kisasa kwa Njia ya Kichina na Fursa kwa Afrika lafanyika

    Kongamano la Utimiaji wa Mambo ya Kisasa kwa Njia ya Kichina na Fursa kwa Afrika lililoandaliwa na Idara ya Asia na Afrika ya Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) limefanyika kwa njia ya mtandao, na kuwashirikisha wahariri na wanahabari wa vyombo muhimu vya habari vya nchi za Afrika...
  18. JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kuua upinzani ambayo Hayati Magufuli hakuitaka. Inafanya kazi vizuri

    Magufuli alikuwa mbishi tu. Alishauriwa kuwa hawa wapinzani kula nao. Usiwaache na njaa. Hizi kelele ni sababu wana njaa. Hakusikiliza akasema yeye hawezi ishi kinafiki. Matokeo yake tukayaona. Ila wenzie wanajua..ni kula nao tu. Kwa sasa tunamshukuru Rais Samia hana baya. Anakula nao...
  19. JamiiForums Tanzania Njia niliotumia kupata kazi bila ya kuwa na msaada wa connection yoyote

    Wakuu! Huwa wanasema sharing is caring. Ngonja ni wape Tips wapamabanaji wenzangu na watu wote ambao bado wanatafuta nafasi za kazi na pia kwa wanafunzi ambao bado wapo chuo. Hii trick niliitumia mm mwenyewe kama kufanya majaribio ya kupata nafasi amabazo hazipatikani kirahisi UTANGULIZI...
  20. JamiiForums Tanzania Njia 3 Rahisi Za Kukusaidia Kuhakikisha Unadumisha Upendo Wa Mwanamke Wako

    Ukiwa na mwanamke mwenye furaha ni raha sana ndani. Vitu vinakua rahisi, pia utaweka nguvu zako kwenye kazi/ biashara kwa amani. Raha ya upendo wa dhati. Wote mnakua mpo kwa ajili ya kuhakikisha mwenzio ana furaha. Wengi hudhani mwanamke anakua tu ivo bila kushughulika. Lakini ukweli ni kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…