Habari za muda huu,
Swali langu ni mahususi kwa nafasi ya uspika lakini pia linaweza kujibiwa kwa nafasi nyingine ambazo mchakato wake wa uteuzi wa wagombea unaanza kwa kuchukua fomu kwa vyama husika. Swali ni:
Je, ikitokea wote waliochukua fomu ya kuwania nafasi fulani hawana sifa kamili...