nje ya nchi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Vyuo Vikuu vya nje ya nchi vinavyotoa kozi za Mtandaoni (Online)

    Habarini. Kwa mwenye uzoefu wa vyuo vikuu vya nje ya nchi vyenye hadhi, vinavyotoa kozi mbalimbali online, naomba anisaidie majina ili niweze kuvifatilia
  2. E

    Kampuni gani Bora kuagiza Gari nje ya nchi? Japan, UK, Singapore etc

    Nimeona kampuni kadhaa zinatoa huduma ya kuagiza Magari used nje ya nchi. Ipi ni Bora kwa uaminifu ,huduma na ufanisi wa kutuma pesa, Kati ya hizi; 1. Be forward, 2. SBT Japan, 3. Enhance Auto.
  3. Wanaoipinga CCM ni kosa kukimbilia nje ya nchi?

    Kuna mzaha hufanywa na baadhi ya watu dhidi ya wanasiasa wanaoipinga CCM wanapokimbilia nje ya Tanzania. Kuna hoja kwamba huwezi kupigania maslahi ya Tanzania na watanzania ukiwa nje ya Tanzania. Na wengine hufika mbali zaidi kwa kuwaita watu hao ni vibaraka wa mabeberu. Lakini Historia ya...
  4. Waziri Jerry Silaa: Tumeanza kuuza Internet nje ya nchi

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa amesema Tanzania imeanza kuuza intaneti nje ya nchi baada ya mkongo wa taifa kuongezewa uwezo.
  5. M

    MIKOPO KWA WANAOTAKA KUNUNUA MAGARI NDANI YA NCHI NA NJE YA NCHI.

    habari Suala la usafiri, iwe ni usafiri wa kibiashara au usafiri binafsi ni muhimu Kwa maendeleo ya Taifa na wananchi wanalitambua Hilo changamoto huja katika kumudu gharama za Kodi, bima, usafirishaii na hata Bei halisi ya gari. OZB CAR IMPORTERS Kwa kuiona changamoto ya gharama kuwa kubwa na...
  6. M

    Mikopo kwa wanaotaka kununua magari ndani ya nchi na nje ya nchi

    Habari, Suala la usafiri, iwe ni usafiri wa kibiashara au usafiri binafsi ni muhimu Kwa maendeleo ya Taifa na wananchi wanalitambua Hilo changamoto huja katika kumudu gharama za Kodi, bima, usafirishaii na hata Bei halisi ya gari. OZB CAR IMPORTERS Kwa kuiona changamoto ya gharama kuwa kubwa na...
  7. M

    Ulipaji wa gharama za kuagiza gari toka nje ya nchi

    Habari Pasipo kupoteza muda naomba niende kwenye mada na kutoa ufafanuzi yakinifu kuhusiana na ulipaji wa gharama za kuagiza gari Toka nje ya nchi. ULIPAJI wa gharama za uagizaji wa gari Toka nje ya nchi huwa upo wa aina mbili. Aina ya kwanza ni kulipa kiasi chote Kwa pamoja yaani full...
  8. M

    Mchanganuo wa gharama za kuagiza gari toka nje ya nchi

    Habari, Pasipo kupoteza muda naomba niende Moja Kwa moja kwenye mada na kutoa ufafanuzi yakinifu. Katika mchakato wa kuagiza au kununua gari Toka nje ya nchi kama vile Japan China marekani Dubai na uingeeeza(UK) huwa kuna gharama tofauti tofauti ambazo ningependa tuzijadili hata kama ni Kwa...
  9. Kuzuiwa Lema kutoka nje ya nchi ni dalili viongozi wa Chadema wapo kifungoni.

    Mamlaka ya uhamiaji siku ya jana hapo Namanga ilimzuia Lema kwenda Kenya, Lema anakuwa kiongozi wa pili kizuiwa kutoka nchini na kunyang'anywa hati yake ya kusafiria, hii ya hati ni kauli ya Lema mwenyewe. Je, viongozi wa Chadema wapo kizuizini?
  10. M

    Karibu tufanye TATHIMINI ya Kodi za TRA Kwa magari yanayoagizwa Toka nje ya nchi

    Habari Nimeandaa Uzi huu Kwa lengo maalum la kufanya TATHIMINI Kwa pamoja ktk magari used yanayotoka nje ya nchi katika Kodi za TRA pekee, Bei halisi za magari nitazitoa katika official website ya beforwad na Kisha kufanya evaluation au TATHIMINI Kwa kiswahili Karibuni Asante 8686153806
  11. M

    Be forward special thread karibu uagize magari Toka nje ya nchi

    Habari Baada ya kuiona changamoto ambayo watu WENGI huipata wakiwa na uhitaji wa kuagiza magari nje ya nchi mbali mbali kama vile Japan China na marekani hususani kuhusu Bei za magari Kodi zake za tra na gharama zingine, nimeamua kuandaa Uzi huu makusud ili kuweza kusaidia wale wote WENYE...
  12. M

    Kwa wenye uhitaji wa kuagiza magari nje ya nchi

    Habari Nimeandaa Uzi huu katika jukwaa hili Kwa lengo kuu Moja kutoa msaada na huduma Kwa wale wote ambayo watakuwa wanahitaji kuagiza magari nje ya nchi Mosi watapewa ushauribwa kitaalamu na kuweza kuchukua uamuzi WA busara lkn pia watapewa Elimu ya Kodi ili kujua kipi wafanye kabla ya...
  13. Watanzania Mnao ishi nje ya nchi mna Vichwa vigumu zaidi ya Kamongo,ni kwamba hamuelewi au mmegoma kuelewa?

    Mara zote huwa nikiwakandia Hawa jamaa zetu wanaoishi nje ya nchi naonekana (ga) kama si Muungwana lakini ukweli ni kwamba,Hawa jamaa Wana Vichwa vigumu zaidi ya Kamongo ! Ninao jamaa kadhaa ambao wanaishi na kufanya kazi (Canada,Marekani, Australia & Scandinavian countries) Najua pia hao...
  14. Thamani ya mazao ya kilimo nje ya nchi yameongezeka

    THAMANI YA MAZAO YA KILIMO NJE YA NCHI YAMEONGEZEKA Thamani ya mauzo ya mazao ya kilimo nje ya nchi imeongezeka kwa asilimia 195 kutoka Dola za Marekani bilioni 1.2 mwaka 2019/20 hadi bilioni 3.54 mwaka 2023/24 sawa na ongezeko la asilimia 195. Haya ni mafanikio ya Bajeti ya serikali ya mwaka...
  15. Hizi ndizo sababu zinazomfanya Tundu Lissu kuwa shujaa wa taifa la Tanzania. Ndani na nje ya nchi amepata sifa kubwa

    Kutaka taifa la Watanganyika kuwa na katiba ambayo italinda na kutetea rasilimali za Watanganyika. Kuwa msema kweli na kutopindisha maneno. Kuwa Mzalendo wa kweli.
  16. C

    Msaada anaejua namna ya Kuandaa ndizi kwajili ya Export kwenda nje ya Nchi Nimuajiri anahitajika hata saivi

    Habari Ndugu Nina ndugu zangu waarabu wamepata tenda uko kwao ya kupeleka ndizi kwa maana ya export kwenda nje ya nchi za uarabuni na wamenieka mimi kuwa mtu kati yao niwasaidie na tunagawana percent ila sina ninachojua kwenye uandaaji na packaging ili zifike salama ninachojua ni ndizi...
  17. Trump atangaza kutoza ushuru wa 100% kwa filamu zinazotengenezwa nje ya nchi kuokoa Hollywood 'inayokufa'

    Rais wa Marekani Donald Trump siku ya Jumapili alitangaza kutoza ushuru wa asilimia 100 kwa filamu zinazotengenezwa nje ya nchi hiyo, akisema tasnia ya filamu ya Marekani inakufa kwa "kifo cha haraka sana" Credit: reuters.com === U.S. President Donald Trump on Sunday announced a 100% tariff...
  18. Hivi hii shahada nje ya nchi inaweza kunisaidia lolote?

    Kosea vyote ila usikosee kuoa na kuchagua course ya kusoma chuo kikuu, utakuwa umeua future Yako. Nauliza hii bachelor degree in Gender and Development kwa nchi kama Dubai Qatar Canada Sweden inaweza kunisaidia kitu?? Kwa wale wenye uzoefu na maisha ya nje ya nchi
  19. Kuagiza Lorry kama spare kutoka nje ya nchi ili kupunguza makali ya Kodi

    Habari za jioni wakuu , nimeangalia kikokotoo Cha TRA kuhusiana na uagizwaji wa scania P420 8x4 skip loader ya 2011 na Kodi yake imekuja wa kutosha almost 82,000,000Tsh Sasa nilikuwa Nauliza kwa wajuzi kuwa inawezekana ukaagiza gari ambayo ikatenganishwa cabin , engine na Chasis ili kuja...
  20. E

    Fursa: Nafasi 700 za Kazi za Kuangalia Wazee New Zealand

    Fursa: Nafasi 700 za Kazi za Kuangalia Wazee New Zealand (Kupitia Danvast Career Search) Habari wanajamii, Nimekutana na tangazo la kazi ambalo naona linaweza kuwasaidia baadhi yetu humu. Kuna nafasi 700 za kazi za kuangalia wazee (Caregiver Jobs) katika nyumba za kulelea wazee New Zealand...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…