Ukame mbaya unaotokana na msimu wa mvua kwenda tofauti na matarajio kwa miaka mitatu mfululizo umepelekea mazao kuharibiwa, mifugo kufa na watu wapatao Milioni 13 katika Mataifa ya Kenya, Ethiopia na Somalia kukumbwa na njaa
Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula (WFP) linasema...