nit

The National Institutes of Technology (NITs) are autonomous public institutes of higher education, located in India. They are governed by the National Institutes of Technology Act, 2007, which declared them as institutions of national importance alongside Indian Institutes of Technology. These institutes of national importance receive special recognition from the Government of India. The NIT Council is the supreme governing body of India's National Institutes of Technology (NIT) system and all 31 NITs are funded by the Government of India. These institutes are among the top-ranked engineering colleges in India and have one of the lowest acceptance rates for engineering institutes, of around 2 to 3 per cent, second only to the Indian Institutes of Technology (IITs) in India. All NITs are autonomous which enables them to set up their own curriculum. The language of instruction is English at all these institutes. As of 2019, the total number of seats for undergraduate programs was 21,133 and for postgraduate programs 8,050, in all the 31 NITs put together.

View More On Wikipedia.org
  1. Traxtion

    Wahitimu wanne wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) wamefanikiwa kubuni gari inayotumia umeme

    Wahitimu wanne wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) wamefanikiwa kubuni gari inayotumia umeme baada ya kusukumwa na udadisi wa kutatua changamoto za usafiri hususani upande wa uchafuzi wa mazingira na unafuu wa gharama. Tafadhali serikali, najua vitu vingi mnaboronga lakini kuhusu hili la...
  2. Mad Max

    Muhitimu wa NIT ametimba na Mabodyguard kwenye mahafali!

    Baada ya kupata degree kwa tabu, dogo ameona aje na wajomba wailinde degree yake. Karibu mtaani kijana.
  3. bob_fundi

    Mechanical ya arusha technical na nit ipo bora

    Habr Kama kichwa kinavyo jieleza hapo naomba ufafanuzi mzuri kuhusu hivyo vyuo viwili
  4. Luca Paguro

    Kati ya NIT na MUST niende wapi?

    Wakuu baada ya kumaliza PCM form 6 nilichagua kujiunga na kozi ya Mechanical kwenye vyuo vinne Tanzania, ngazi ya Bachelor Degree Selection zimetoka. Vyuo ni NIT, DIT, MUST na ATC ATC nimekosa Mechanical wamenichagua Mechatronics. Sasa hii siitaki Lakini NIT na MUST nimepata Mechanical ambayo...
  5. Roving Journalist

    Waziri Kombo asimulia Madereva 75 wa Tanzania walivyofeli kuendesha magari Qatar

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo akisimulia mkasa wa Maderva wa Tanzania walivyokwama kuendesha magari Qatar licha ya kuwa ni wahitimu wa Chuo cha NIT, alisema hayo Mei 7, 2025 alipokutana na Wahariri wa Vyombo vya Habari, Dar es Salaam...
  6. N

    Mabadiliko ya katiba na mifumo ya nchi hayaepukiki: Madereva 70 toka Tanzania wenye vyeti toka NIT wafeli mtihani wa driving Doha, Qatar

    Wakati raia wengi wakitaka mabadiliko kuanzia kwenye katiba na mifumo mingine inayoongoza nchi ili kuendana na mabadiliko ya science na technologia, Watanzania 70 wamejikuta wakishindwa usahili wa kuendesha magari ya kisasa aina ya VOLVO nchini Qatar na kubaki wakishangaa. Hayo yamesemwa na...
  7. mwanamwana

    Basi la mafunzo la NIT laparamia maduka na pikipiki eneo la Maji Chumvi, Tabata

    Nimekuta hili Basi la Mafunzo la Chuo cha Usafirisha (NIT) likiwa limevamia maduka na baadhi ya pikipiki zikiwa uvunguni mwa gari hili hapa eneo la junction kona na mlima mkali Maji Chumvi. Sijaweza kupata madhara yaliyotokea. Kama alikuwa anaendesha mwanafunzi wa mafunzo ndo basi tena...
  8. Yusufu Mjasili

    Tunatengeneza furniture za maofisini na majumbani kwa gharama nafuu. Tupo Mabibo jijini dar es salaam karibu na chuo cha usafirishaji NIT. 0715 494920

    Karibu sana..
  9. Yusufu Mjasili

    Kama una matairi mabovu kabisa nanunua. Tupo dar mabibo mzambarauni karibu na chuo cha usafirishaji NIT. Piga namba hiyo tufanye biashara. 0715 494920

    Ndio, itakuwa na maana sana kama utakuwa nayo mengi, idadi yoyote nachukua. Yakuwa makubwa makubwa ndio hayahitaji zaidi.
  10. Pfizer

    TANROADS kwa kushirikiana na NIT waanzisha kituo cha umahiri cha usalama barabarani

    Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) kwa kushirikiana na Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) wameanzisha kituo cha umahiri (Centre of Excellence) cha usalama barabarani, hatua inayolenga kuimarisha elimu, tafiti na teknolojia katika kupunguza ajali za barabarani...
  11. Jaji Mfawidhi

    Kuita IFM, DIT, NIT na CBE kama vyuo ni makosa makubwa sana

    Vyuo vya ufundi kama VETA (Vocational Education and Training Authority) Vyuo vya ualimu kama DUCE (Dar es Salaam University College of Education) Vyuo vya afya kama Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS) IFM , CBE, DIT Wanafunzi mpaka anahitimu hajui kama anasoma kwenye...
  12. A

    KERO Changamoto ya usajili wa wanafunzi chuo cha NIT baada ya mfumo wa ulipaji ada kubadilishwa

    Chuo cha Taifa cha Usafirishaji kimekuwa na changamoto kwenye suala la usajili kutokana na kubadilishwa kwa mfumo wa ulipaji ada kutoka mara 4 kwa mwaka wa masomo mpaka mara 2 kwa mwaka wa masomo Wanafunzi wengi tunapata shida kufanya usajili kwasababu ya hali ngumu za kimaisha za familia zetu...
  13. Erythrocyte

    Profesa Mgaya ateuliwa kuwa Mkuu wa chuo cha Usafirishaji (NIT)

  14. Candela

    Naomba ufafanuzi kuhusu NIT Second round

    Wadau mwaka jana nilimsaidia mtu kuomba chuo diploma. Alikuwa amechelewa hivyo katika kutafuta nikapata NIT wako na second round application, nikamuombea hapo sasa mpaka leo akaunti yake inasema "application submitted keep visiting for updates". Anahisi sijamuombea mpaka akaniomba 10,000 yake...
  15. Candela

    CHUO CHA USAFIRISHAJI NIT ACHENI UTAPELI

    Guys, niliombwa kumfanyia mtu maombi ya chuo na alichagua NIT, Nilifanya application second round na nikalipia na ikabaki kusubiri chaguzi, cha achabu nina wiki sasa nikijaribu kuingia kuangakia STATUS wanasema INCORRECT LOGIN, mwenye nilimuombea anaona kama sikuomba nimekula 10000 yake. Kama...
  16. Jovinnydinho

    Naomba utaratibu wa kupata cheti kingine cha NIT, nilichokuwa nacho kimepotea

    Naitwa Hussein Issa Nzomkunda nliibiwa begi lenye vyeti vyote ila hivo vingine nilishapata utaratibu wa kuvipata isipokua cha NIT tu. Kwa anaejua utaratibu wa kufuata anisaidie tafadhali.
  17. Roving Journalist

    Waziri Mbarawa: Ujio wa ndege mpya, Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kupewa ndege za mafunzo ili Wazalishe Marubani

    Shirika la ndege Tanzania (ATCL) linatarajia kupokea ndege ya abiria ya masafa ya kati aina ya B737-9MAX ambayo uundaji wake umekamilika itakayowasiri kesho Oktoba 03, 2023. Ndege hiyo yenye uwezo wa kubeba abiria 181 katika madaraja mawili ambapo daraja la kawaida “economyclass” itabeba...
  18. benzemah

    Rais ateua Wenyeviti Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania na Chuo cha Taifa cha Usafirishaji

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavYo:- 1. Amemteua Bw. Andrew Wilson Massawe kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI). Bw. Massawe anajaza nafasi ya Dkt. Tausi Mbaga Kida aliyeteuliwa kuwa...
  19. Gooluckyshy

    Nimesoma NIT kozi ya Advanced Driver's Grade II VIP. Naomba kazi nina uzoefu wa miaka 4

    Naitwa Goodluck nina umri wa miaka 3, nimesoma NIT kozi ya Advanced Driver's Grade Two-VIP. Nina uzoefu wa miaka 4 katika kazi ya udereva na nina endesha gari za aina zote. License Class A, A2, B, C1,C2,C3,D na E.
  20. LAZIMA NISEME

    Miradi ya kimkakati Tanzania yawa chachu kwa vijana kuchangamkia kozi zote zinazohusu Reli, Meli na Anga zinazotolewa NIT

    Dhamira njema iliyooneshwa na serikali katika kukazania kujenga miradi ya kimkakati imetoa hamasa kwa Watanzania wengi kuchangamkia fursa ya kusoma kozi za huduma za usafiri wa reli, meli, bandari na anga katika chuo cha usafirishaji tanzania (NIT) Kwa Mujibu wa Mkuu wa Chuo amesema awali...
Back
Top Bottom