nisaidieni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nisaidieni mawazo

    nilikuwa na mwanaume X tulibahatika kupata mtoto mmoja akaniacha akaoa mwanamke mwingine amekaa nae miaka minne hakumpelekea barua Wala mahali katika kuishi nae wakapata Tena mtoto,nilivyoona anaishi na mwanamke mwingine mimi nikaendelea na maisha yangu na nimepata ajira tofauti na eneo...
  2. N

    Nimechoshwa na tabia za mume wangu na dada yake nisaidieni nifanye nini?

    Ahsanteni
  3. Jana nimelala geto kwa demu wangu huko mbagala leo nimeamka hivi, nisaidieni kujua hii ni condition gani?

    Wakuu! Jana nimelala geto kwa demu wangu huko mbagala leo nimeamka hivi, nisaidieni kujua hii ni condition gani?
  4. Mafundi nisaidieni hichi kitanda ninunue mbao ngapi za mninga?

    Habari zenu? Wakuu nisaidieni hapa nahitaji kupunguza gharama, hichi kitanda mafundi wananitaji bei kubwa sana. Hivyo nimeona ili kupunguza gharama ni bora nikanunue mbao mwenyewe, fundi nitakubaliana naye matengenezo tu vifaa vingine vyote juu yangu. Wajuzi nisaidieni hapo ninunue mbao ngapi...
  5. Usaili wa ajira za polisi 2025

    Jamani naomba nisaidieni location ya ofisi ya polisi wanapofanyia usaili (kuanzia kesho) kwa watu wa kidato cha nne na sita wilaya ya ilala. siku na muda kamili kwa ziada ya maelezo nitashukuru
  6. Wakuu nisaidieni

    MToto anapelekwala clinic anapoanza kuzaliwa hadi miaka mingapi??
  7. Nahitaji msaada please kama kuna Dawa nisaidieni napata Msongo

    Mimi tatizo langu kubwa ambalo linaloninyima raha ni kuwa korodani zangu naona si kubwa kiasi kile ambacho ngependa ziwe. Napenda kawe kafurushi flani hivi hata nikiwa sina nguo zinaning'inia (pumbuh mzigo) napenda sana. Hizi nlizo nazo of course demu wengine husema wanazipenda nikiwa nyuma yao...
  8. Sijui huyu mwanamke wa kiganda amenipangia nini?? Nisaidieni

    Habari wanazengo; Hapo nyuma nilishawahi leta Uzi na kuuelezea namna nilivyopata Binti wa kiganda amabaye anamahaba mazito Tanzania hamna. Mimi kama single father nikamwambia aende kwao aseme na wazazi wake kua amepata mchumba wakumuoa ili nipewe taratibu.... Lakini kilichotokea kumbe...
  9. Nisaidieni, Hili husiano likivunjika sitaki kuanzisha husiano jengine!

    Husiano hili lipo kwenye hatihati ya kuvunjika, sitaki livunjike kwasababu itakuwa ngumu tena kuanzisha mengine kutokana na historia yangu juu ya mahusiano kuwa tata vitimbwi haviishi!. Huyu mpenzi wangu wasasa kuna kitu alizingua!, sijui alifikiria nini na hili wazo alilipata wapi! just from...
  10. B

    Nisaidieni Kazi. Nina elimu ya kidato cha nne

    NATAFUTA KIBARUA NDUGU ZANGU Mimi Ni kijana (me), mkazi wa TABATA KINYEREZI. Nina elimu ya kidato cha nne na ninategemewa na familia yangu—mke na watoto wawili. Kutokana na changamoto za maisha, natafuta kibarua chochote cha halali ili niweze kuhudumia familia yangu. Nina uwezo wa kufanya kazi...
  11. Wana MMU nisaidieni, nifanyeje?

    Mimi si mpenzi wa MMU na huwa naingia huku kwa nadra sana. Lakini kila jukwaa unapata yanayohusika nayo, na ni bora basi niwaeleze mkasa wangu ili wajuvi jukwaa hili mnisaidie. Iko hivi, mimi nina mchepuko, ni mtoto mzuri sana na ninaye siku nyingi. Nikimwomba aje niko safari Dodoma, Arusha...
  12. T

    Je, nini kitangulie Mabadiliko ya Sheria au Utashi wa Kisiasa kuhusu Uchaguzi huru?

    Kuna tatizo kubwa sana kuhusu uchaguzi huru wazi na wa haki nchi hii kiasi cha kwamba kila mwananchi amekata tamaa na suala hili. Mimi na wananchi tunajiuliza tatizo ni kukosekana kwa utashi wa kisiasa na Rais na viongozi wengine kuwa na utashi wa kisiasa wa kutoa miongozo thabiti ya walio...
  13. D

    Wakuu nisaidieni, hivi zamani pia jukumu la mwanaume lilikua pia kusaidia familia ya mkewe?

    Wakuu thread tajwa izingatiwe. Hata nikijaribu kujifariji, ila ukweli unasimamia kua, kuoa kunaongeza utegemezi Kwa mwanaume. Ili limepelekea wengi , hasa tunaotoka familia duni na uwezo wa kati kutopiga hatua mara baada ya kuoa. Kuna wimbi kubwa sana la kijana wa kiume kubebeshwa majukumu...
  14. M

    Nisaidieni barua ya posa sample yake

    Nataka nitoe barua nikaoe sasa niachane na huyu anaenitesa bila taarifa nataka ashangae tu nmeoa mke mwngine Ili ajifunze zaid kwamba mwanaume ni mwanaume usishindane nae Kwahyo natarajia sample hapa za hizo barua maboss zangu Waadha salaam
  15. Jamani mafundi ujenzi nisaidieni hili.

    Nilikuwa nataka kusikimu nyumba yangu sasa nikamuambia fundi wangu anipigie hesabu ya vitu vinavyo hitajika,akapiga akanitumia picha ya vitu vinavyo hitajika. Lakini cha kushangaza mikanda ile ya pembeni haikuwa kwenye orodha ,ikabidi nimpigie kumuuiliza nikijua labda kasahau, lakini alicho...
  16. Wakuu nisaidieni katika mawazo

    Wakuu kuna sehemu boss kahitaji watu wa finance na account kwa ajiri ya auditing, sasa tunafanya nahitaji kuuliza wenye experience unapomaloza auditing kuna uwezekano wa kupata ajira hapohapo katika kampuni hio? (Internal audit) Umuhimu wake ni upi??
  17. NISAIDIENI UTOFAUTI KATI YA X BOX NA PS MAANA NACHANGANYIKIWA

    Kama nilivyosema ninataka nianzishe biashara ya ps ama Playstation wengi wanavyoiita ila kumekuwa na makampuni mawili yanayoproduce deki tofautitofauti za games ambayo ni PS ya Sony na X BOX ya Microsoft Sasa hapo ndo nachanganyikiwa nashindwa kuelewa ipi ni bora kuliko nyingine jamani wadau...
  18. Msaada wa dawa ya kuua mzige wanaokula mazao

    Wadudu hawa wameniharibia ekari mbili za zao la mbazi tafadhali anaejua sumu ya wadudu hao anisaidie
  19. Nisaidieni kujua kwanini huyu kaka kaniganda kwa miaka minne

    Habari zenu Wana Jf naomba nieleze kwa ufupi ...Mimi ni binti WA kike ila Kuna mkaka nilikiwa nae kwenye mahusiano nikiwa sekondari ila nlimuacha baada ya kugundua alinificha kuwa alikuwa na mtoto Mara kadhaaa tangu kuachana nae amekuwa akinitafuta kwa miaka minne tokea 2020 na kusem kuwa...
  20. Nimetokea kukuikubari hii impreza xv 2012. Nisaidieni tamu na chungu zake

    Karibuni wakuu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…