nimepata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nimepata kuamini kuwa, hakuna mwanaume anayekula mke wa mtu kwa kudhamiria

    Wiki iliyopita nilikutana na mwanamke niliyefahamiana zamani sana, tena utotoni kabisaa, hata ugwadu wa barehe niliumalizia kwake, sio mimi tu, hata na marafiki zangu waliponea kwake na kwa marafiki zake kwa ujumla. Nilikutana nae maeneo ya Sinza Siku iliyofuata alinialika kwake maeneo ya...
  2. JamiiForums Tanzania Nimepata ajira ambayo PAYE yake ni zaidi ya mshahara wa serikali nilioenda kufanyia interview Dodoma

    Mwaka jana mwezi September nilienda usahili pale utumishi Dodoma na niliweka mrejesho hapa. Usaili wa utumishi (kwenye interview ya mchujo) unawalenga wanafunzi na wahitimu wapya Kimsingi mimi kama expert (niko internationally certified) sikupenda aina ile ya interview kuulizwa masuala ya...
  3. JamiiForums Tanzania Je tatizo hili ni facebook yangu?

    Yaani huko juu namba chochote wala sehemu ya kusearch au kuona ujumbe hakuna.
  4. JamiiForums Tanzania Nimepata rafiki wa kizungu nianze na shida gani kumweleza anisaidie

    Nimepata rafiki wa kizungu nianze na shida gani kumweleza
  5. JamiiForums Tanzania Nimepata kazi Upwork ila sina ujuzi nayo nataka nimpatie mtu

    Habari jaribuni kuangalia hii kazi hapa chini Sio mjuzi kutumia jukwaaa hili ila nilijaziwa profile na mtu so kuandika sio hobby yangu kabisa kuliko pesa itembeee nimeamua kusghare na marafiki zangu hapa kama unaona dili karibu sana inaliapa $700+ huko Nimeshabonyeza accept
  6. JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri, nahisi ni tatizo

    Natumaini ni wazima Sio muandishi mzuri mnivumlie Kama ilivo kawaida ya maisha nimepitia mambo kadhaa hapa siku za karibuni ambayo yakanifanya nisiwe sawa hayakuwa mazuri Baada ya muda kidogo hivi nikaanza kujihisi homa nikaenda hospitali sikukutwa na tatizo lolote zaidi ya dalili ya...
  7. JamiiForums Tanzania Nimepata mwanamke kwenye mkutano wa CHADEMA

    Sina mengi ya kuzungumza zaidi ya furaha yangu. Kiukweli nimempata mwanamke kwenye mkutano wa CHADEMA, kwahiyo leo itakuwa full raha bhahahahahah!
  8. JamiiForums Tanzania Asante Mungu nimepata mwanamke mwenye hisia kali za imani ya kweli katika mapenzi

    Hello Umofia kwenu! Niende kwenye maada, baada ya kuwa na ubize mwingi sana nikiwa katika mizunguko yangu hapa Dodoma hatimaye, Mungu kanikutanisha na mwanamke ambaye ameniipenda siku ya kwanza na ametoa machozi ya mapenzi. Akiwa na mdogo wake wa kike mwenye umri wa kati 22-24, yeye ana 28yrs...
  9. JamiiForums Tanzania Nimepata kidonda kikubwa kwenye kichwa cha uume baada ya kunywa malafin

    Wakuu nimemeza malafin kwaajili ya malaria, siku ya pili yake nikahisi maumivu kwenye uume kucheki kuna kama vijipele hivi, nikavichukulia poa kuamka siku ya pili yake limekua donda, yani ni kama jeraha la moto linanikondesha sana kwani siwezi nikasema kuwa ni gonjwa la zinaa coz sijasex...
  10. JamiiForums Tanzania Nimepata kazi shirika la wakimbizi(UNHCR) south sudan

    Saludo, Kila siku naendelea kumshukuru Mungu kwa mafanikio yangu ya kila siku haipiti siku bila kupata kitu ambacho kinanipa furaha maishani japo moment za huzuni zipo but all in all namshukuru mungu for everything. Hello niwatangazia umma au member wa jamii forums ya kwamba nimepata mchongo I...
  11. JamiiForums Tanzania Nashukuru nimepata Passport kwa msaada wa @imhotep

    Wakuu habari Baada ya kuweka uzi kuulizia namna ya kuingia Lusaka Zambia nilipata mawazo mengi ya kujenga na pia uzi huu ulinikutanisha na huyu member anayejiita imhotep ambaye aliniongoza kwenye mchakato mzima wa kubadili pass yangu ya zamani na kufanikisha kupatikana kwa pass mpya. Asante...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Lukuvi: Nimepata kura za heshima na ujasiri

    Wakuu habari za Jpili, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Mzee lukuvi alikuwa na maana gani kusema maneno yale huko Chamani Mambuzii?
  13. D

    JamiiForums Tanzania Finally nimepata watoto mapacha kwa njia ya surrogate

    Baada ya kukataliwa na wanawake wote nilio-waaproach, finally niliamua kutumia surrogate ili kujenga familia upinzani ulikua mgumu Ila finally nimefanikiwa Ila ndio hivyo watoto hawatakua na mama sababu mbegu za kike nilinunua Life is good kama ukikubali ukweli kwamba love relationship is not...
  14. JamiiForums Tanzania Leo nimetumia choo kichafu sana mjini baada ya kushikwa na tumbo, sijui nimepata wapi ujasiri

    Yaani nikikumbuka nacheka sana, kile choo huwa nasemaga sitawahi nije nikitumie kwa jinsi kilivyo kichafu, na kweli imekuwa hivyo miaka yote. Ila bhana leo sijui imekuwaje, nilishikwa na tumbo la 5G halafu kile choo ndio the nearest, aisee, nimekitumia kwa furaha zoote, tumbo acheni nyie, aaagh!
  15. JamiiForums Tanzania MSAADA: Nimepata mgonjwa wa ajabu nyumbani

    Duniani kuna magonjwa mengi mengine ni psychological made. Anyway, mimi nmepokea mgeni ambaye amekuja likizo maalum. Jamaa yangu wa kitambo sana. Ilikuja tu tokea akawa amemaliza chuo kaajiriwa sehemu akafundishwa kunywa pombe...akaja kuwa komba. Wamehangaika naye sana. Mpaka mke amechoka...
  16. JamiiForums Tanzania Nadhani nimepata Changamoto labda kisaikolojia au kiafya. Napofanya tendo

    Wadau. Kama hili nalozungumza litakuumizal/litakuuma basi pole tu. Ni miezi kama 4 sasa najikuta napofanya mapenzi na mtu kumaliza ni shida. Nakosa kuenjoy sababu inaweza fika hata saa zima.simalizi. so mwenzi anaomba twende mapumziko. Au nikimaliza goal la kwanza. Round ya pili nitapata hamu...
  17. JamiiForums Tanzania Nimepata uzoefu kuzuia wizi wa mtandaoni

    Kwanza nitafurahi nikipokea pole baada ya kuibiwa mara 2 kwa njia ya mtandao.Vile vile wanaoibiwa na serikali itafaidika ikinisikiliza namna wizi huo unavyoweza kama si kuzuilika basi kupunguzwa kwa kiasi kikubwa.. Wezi daima watakuwepo isipokuwa kama kuna nia safi ya kuwashughulikia basi huwa...
  18. JamiiForums Tanzania Nimepata shida ya haraka naitoa Toyota Cluger : DFU kwa Tsh. Milioni 18 tu

    Nimepata shida ya haraka, Naitoa #Toyota Kluger FU kwa Tsh. Milioni 18 tu #Eng ; vvti 2az #Eng ; capacity 2360 #KL. ; 89600 ☎️0747744895 Karibuni
  19. JamiiForums Tanzania Tetesi: Mdude Chadema: Nimepata taarifa kuwa Ikulu wana mpango wa kunishughulikia kama enzi za mwendazake

  20. JamiiForums Tanzania Decoder ya Azam ni moja ya Decoder za ovyo/cheap quality ambazo nimepata zitumia

    Nimeshabadilisha remote mara 3. Remote bado mpya unabonyeza Menu yenyewe ina change program. Unaongeza sauti sometimes ina change channel. Unarudi Back inakupeleka kwenye menu. Unaweza bonyeza button hata mara tatu isi respond na hapo umeielekeza kabisa karibu na decoder siyo kwamba ipo mbali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…